Uliza lolote kuhusu mgogoro ndani ya DRC hasa mapigano kati ya M23 na FARDC


hawa jamaa hawataki kuuamini ukweli huu mchungu na mara wahutu wakigain power ya kigali hamna wakuwaonea tena watusi huruma kwani walishapata nafasi ya kuuonyesha ulimwengu wakaitumia kuangamiza jamii nyingine
 
Nikikutazama unamatatizo makuu mawili ni mtu mwenye roho mbaya na tena unawivu hupendi kuona mtu mwingine akiendelea,unamchukia pk anaishi kwa mali zako?

Siyo mali zangu, ni mali zinazopatikana kwa kumwaga damu ya wa Congo, na kwa Taarifa yako M23 wakishang'olewa Congo ndiyo itakuwa mwanzo wa kuteteleka kwa uchumi wa Rwanda. Wanya Rwanda lazima mjue Mungu hakukusudia Kivu iwe mali yenu, acheni Tamaa, hizo tamaa zenu zitaja wapelekea muutamani hata mkoa wa Kagera kama Id Amin kitu kitachopelekea JWTZ iwagonge wanajeshi wa Rwanda, na ikumbukwe kwamba wanyarwanda mmeumbika kwakweli
 
Mhutu Pasteur Bizimungu mlimfanya nini? na DRC mnatafuta nini?

Huyu bizimungu alikua raisi wa kwanza wa serikali ya RPF lakini kwa sababu za hao watu wa ulaya walianza kumdanganya akatoka katika mstari akaanza kutaka kuleta mambo ya ukabila ndio kuwekwa kando,rwanda haiko congo lakini congo kuna wauaji FDLR waliojihami kisilaha ambao wakotayari kuishambulia rwanda wakiungwa mkono na france,congo,sadic na UN,kwahiyo usalama wa rwanda uko hatarini,sasa hawajamaa mipango yao huwa inatatizwa na hao watusi wa congo kwani na wao vilevile wana athiliwa na FDLR kwakua rais wa rwanda ni mtusi basi watu hu conclude kwamba watusi wa congo ni watu wa kigali hiyo ndio sababu rwanda ina changanywa katika sakata la congo.
 

watu tunajua tunachokiandika, wanyarwanda waliolazimishwa ukimbizi na kagame ni bomu linalosubiri kulipuka, sema vizuri usikike kupambana na ukoloni mambo leo kwa kuvamia mataifa mengine? Rwanda inaongoza kwa kupokea misaada mingi kutoka mataifa ya ulaya magharibi kama fidia ya kusaidia uporaji wa maliasili ya DRC hili ni wazi na wala halina mjadala, Kagame aliyewekwa madarakani kwa msaada wa FBI hawezi kuwa mpinga ukoloni mambo leo hta siku moja, rwanda tangu uhuru haina historia ya kuupinga ukoloni mambo leo ndani na nje ya rwanda. stuka
 
Lindeni ajira zenu nyie watusi, tumikia kafiri upate ujira wako.
 

Nafikiri uchumi wa nchi sio madini bali ni kua na viongozi wenye uwezo wakuongoza nchi na hicho rwanda inacho kuna nchi nyingi zenye madini lakini mpaka sasa ni masikini ikiwemo tz,nafikiri kwasasa rwanda ina vision nzuri na inawatu walio serious tena amani ndogo congo inaathiri uchumi wa rwanda kwani congo ikitengamaa rwanda itafaidika kwa kufanya business nayo lakini kwa sasa utajiri unaenda kwa watu wachache na ambao hawachangii lolote kwa ukuaji wa uchumi wa rwanda .
 

kwa asili DRC haina kabila la watusi, wote ni wakimbizi waliohifadhiwa baada ya vita ya mwaka 1959 na kuendelea HADI 1994 na hili ndio tatizo kubwa la DRC pale kagame anapotaka kuwatimua wenyeji kutoka kivu ya kaskazini na kuanzisha bahima empire ya watusi hili haliwezi kukubalika na ulimwengu uliostarabika. FLDR ni wanyarwanda walionyimwa haki ya kuishi nchini mwao kwa kuhofiwa kumwondoa kagame na genge lake la kitusi madarakani. FLDR ni mchanganyiko wa wahutu na watusi wasiopenda udikteta na ukandamizaji wa kagame.
 
Mkuu,Hiyo quote uliyoifanya na majibu uliyotoa ni too irrelevant.Kwa hio kwa sababu ufaransa ili wa train FDLR ninyi mkaamua kuifadhili M23? Gentleman,two wrongs does not make a right.And why should france need to go to Rwanda? kwa sababu ya U francophone?? really...come on ...be serious chap...too low arguments
 
Serilali ya sasa inalijua hilo kwani wana experience yake na ndio maana wanafanya iwezekanavyo ku poza hali hiyo kwa kuunganisha watu kwani wengi wako inje kwa sababu ya uoga wabure tu walifikiri patakua kulipiza kisasi,lakini wako makini kwahilo it is aprocess huwezi geuza mind za mtu siku moja,sijui kama unafuatilia speech za kagame ungeweza gundua kua ni panafrikan,rwanda haipokei misaada mingi kutoka kwa nchi za ulaya kwa sababu hizo.
 

Mkuu naona historia ya rwanda unaijua kwa undani sana. Au na wewe ndio wale wale wa 1994?
 

Wewe nafikiri umeshindwa kuelewa mfaransa ana interest gani na kuishambulia rwanda kwasababu huelewi interest za ufaransa afrika,mfaransa usicheze na lugha yake,nakutokana na jeuri ya rwanda mfaransa ameanza kupoteza influence katika nchi ambazo alikua akizitawala wengi wameanza kumchallenge na kwayeye kuipatisha adabu rwanda nikutaka kutoa message kwa hizo nchi zingine,na kingine ni ushiriki wao katika genocide in 1994 wanataka hiyo kashifa ifutike so long hii serikali itakua madarakani hiyo case ya mauaji ya kimbali itakua palepale.
 
nafikiri mukamasimba atafurahi maana anapenda sana sifa za kijinga

Wapi nimepewa sifa?na hizo sifa za kijinga nizipi? najua always ukweli unauma,yani watu wamekomalia rwanda,rwanda,mtusi,mtusi,kagame,eti wanaleta matatizo congo liinchi lenyewe kubwa,hata mnashindwa kuangalia tatizo halisi la congo ni uongozi na kujichanganya kwa wazungu katika siasa za congo,hivi pakija tokea vita za ndani tanzania kutokana na siasa mbovu mtaanza kusema ni rwanda,please rwanda ni nchi ya amani hawana muda wakuingilia siasa za mataifa mengine matatizo waliyo nayo yakuunganisha wanyarwanda yanatosha.
 
hawa jamaa hawataki kuuamini ukweli huu mchungu na mara wahutu wakigain power ya kigali hamna wakuwaonea tena watusi huruma kwani walishapata nafasi ya kuuonyesha ulimwengu wakaitumia kuangamiza jamii nyingine

Lakini lini muhutu alimuonea huruma mtusi?watusi ndio wanajaribu kuonyesha wahutu kwamba wao nitofauti hawana haja ya revange,na nikweli wahutu wakichukua madaraka hawatakua na huruma na watusi na hilo ndio agenda ya france na sadic,lakini this time watusi hawata tega mashingo ili wakatwe bali watajitetea kwa hali na mali pindi wakijaribu kurudisha wauaji madarakani,cha muhimu ni dunia kuipa muda serikali ya sasa ili iweze kuelimisha wanyarwanda kuishi pamoja kwa amani na kuachana na itikadi za kimbali.
 

Kwa hio mfaransa anapigania LUGHA? Kwamba Rwanda waongee kifaransa? Really,that is your argument.? Be serious bana. Kwa sababu hizo ulizosema hapo juu ndipo Rwanda ikaamua kuwafadhili M23 kuisumbua amani ya Congo......katika stori zako sioni kosa la Congo..........so why u guys mna disturb amani ya Sovereign DRC state?
 

Hapa umeleta Agenda nyingine tena ya SADC.....SADC nao wana interest gani Rwanda? Kwa hio SADC nzima inapambana na nyie......Security Council ya UN inapambana na nyie........Nchi yenyewe haina kitu ......unataka kuniambia wote hawa ni wajinga wabebwe tu...Really?
 
Sikubaliani na wewe kwani congo ya sasa imetokana na mipaka iliyotiwa na wakoloni,lakini hapo mwanzo ilikua pori bila mpaka na eneo la kivu wakati mmoja liliku chini ya utawala wamfalme wa rwanda,hapa kua na mipaka nakubali kuna watusi wa 1959 lakini wengi walirudi rwanda lakini kuna hao wa zamani kabla ya mipaka 90%ya wakazi wa kivu kaskazini wanaongea kinyarwanda,kingine hakuna kabila ya mtusi au muhutu kabila ni mnyarwanda.
 
mkuu FLASH HIDER hongera sana kwa kazi nzuri.najua huwezi kukubari kuwa wewe "asset agent" wetu hapo goma,dah ila wewe mkareee jooo.
miaka kumi c mchezo..u must have gathered lot of intels bout m23.
 
Last edited by a moderator:

SADC wao nikichekesho wao wako pale kulinda interest za south afrika,south afrika ana contracts za uchimbaji madini kivu na mafuta,M23 inaonekana kua kikwazo kwani wao hawakubaliani na contracts zinazo fanywa na kabila kwani eneo lakivu linabaki masikini wakati wana madini na kwakua kuna hiyo connection ya utusi wanafikiri jeuli ya kuchallenge kabila wanaitoa rwanda,lakini niyakawaida kwa wa mtwara wangeweza kuchallenge tz kwa silaha wenda mungesema anapata msaada toka musumbiji kutokana na umakonde.
 
pk akubali kupokea wanyarwanda wote bila kujali hutu/tutsi watoke drc no matter wamekaa miaka 50 au zaidi warudi nyumbani yao wajenge nchi yao,leadership mean you combine all that have diff idea you put them together in the manner of one things one heart and one spirit BUT PK GOES ANTICLOCKWISE he believe in separation egoism and brutality
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…