mokala1989
JF-Expert Member
- May 4, 2013
- 2,236
- 728
Mimi sijabisha hayo nasema kwamba and I am sticking to my point that Kagame ni kikwazo katika ukanda huu wa Afrika. Yeye na Museveni wakiendelea kuishi ukanda wetu wa Afrika hautakuwa na amani which will give al shabab nguvu zaidi ya kushambulia Kenya na zitazuka chaos za hajabu hajabu tu kiasi kwamba wananchi wengi watateseka. Uganda kuna wanyarwanda wengi sana wakimbizi na wengi wao wanamlalamikia Kagame na utawala wake ila wakiwa Rwanda hawawezi kulalamika kuogopa kunyongwa na kufungwa. Sasa jiulize watu kama hawa wakipata fursa ya kumpindua Kagame na kumfanyia maovu unafikiri watamwachia? People are tired na the day will come tu. Watutsi walikimbia Rwanda na kuishi nje ya nchi toka 1959 mpaka 1994.....kwa nini wahutu waliopo Uganda na DRC pamoja na European diaspora wasijipange upya (which they do) kuja kuichukua Rwanda? Kumbuka vita vya kikabila ni sawa na vita ya kidini kwani wanaoshindwa wanakuwa hawakubali matokeo.
hawa jamaa hawataki kuuamini ukweli huu mchungu na mara wahutu wakigain power ya kigali hamna wakuwaonea tena watusi huruma kwani walishapata nafasi ya kuuonyesha ulimwengu wakaitumia kuangamiza jamii nyingine