Uliza lolote kuhusu mgogoro ndani ya DRC hasa mapigano kati ya M23 na FARDC


Hapa tunazunguka point....All this does not justify Rwanda ninyi wanyarwanda kuitetea M23.............m23 Wanapata wapi silaha? mtwara walileta upinzani hawakuwa na silaha...hao M23 wanapata wapi silaha? Na ni kwa nini kwa sababu ni watutsi wawe linked na Rwanda? huko Rwanda hakuna wahutu? au bado mambo yenu ya ukabila mnayaendeleza?

SADC.....Specifically Tanzania iko makini sana kujiingiza sehemu katika missions za UN........Amani ya Congo ni muhimu kwa ukanda wa SADC ambayo DRC ni mwanachama wake....SADC ina haki ya kumlinda mwanachama mwenzake kutokana na threat yoyote ile.....M23 ni waasi .....Serikali halali ni ya Kabila...SADC inatetea serikali halali......hata kama kuna internal weaknesses ndani ya serikali ya Congo...ni lazima SADC iisaidie DRC.....Sasa inashangaza sana ninyi waheshimiwa wa Rwanda mnawatetea waasi wanaopigana na serikali halali.......How comes msiandamwe na dunia nzima?

SADC kama jumuiya ya kimaendeleo inakaribisha investments between member countries...SA kuwa na migodi DRC sio dhambi kwa kuwa imeingia mikataba na serikali HALALI Ya DRC......Ndio maana hata huku Tanzania kuna makampuni mengi tu ya South Africa....Sasa how Comes kikundi cha waasi cha M23 kilazimishe kukalia sehemu ya Sovereign state na kuanza kujichimbia madini....That is un acceptable duniani kote...Cha ajabu Rwanda ndio ina wa support
 

Man ....you have given out a very brilliant point.
 

Hapa napo unajichanganya....Kama DRC haikuwepo basi na Rwanda haikuwepo..........
 

HAHAHAAA, don't break my ribs cause of laughter. Mbona huwa mnajifariji mkisema mauaji ya kimbari dhidi ya watusi na hamsemi genocide against wanyarwanda? Hivi nyie mnadhani umoja wa kitaifa ndani ya Rwanda utakuja kwa kufuta makabila ya watu ili kuwafanya wahutu wasahau kabila lao? Hamwezi kutafuta jinsi ya kuwa na umoja, ushirikiano na upatano wa kitaifa huku kila mtu akiwa anatambua na kujivunia kabila lake? Hakuna kabila linaloitwa mtanzania, mnyarwanda , mburundi au mzambia. Hiyo ni gia tu ya kutaka kuwapumbaza wahutu na watwa wasistukie agenda zenu za kutaka kuwakalia kimabavu.
 

Kaka ukiunganisha dotts, utagundua kuwa Rwanda inahusika katika hilo. Ujue kifo chake kilikuja muda mfupi baada ya yeye kuwaondoa wananyarwanda wote ambao walikuwa ni washauri wake. Kumbuka Waziri wa Ulinzi wa sasa wa Rwanda Bw James Kabelebe alikuwa ndiyo Mkuu wa Majeshi hapa DRC. Mtoto wake sidhani kama ulihusika..
 
This is a big lesson to me! kabila ya mtusi au muhutu kabila ni mnyarwanda. Ingawa sina uhakika lakini nadhani si kweli.

Hakuna Kabila bal
 

Flash hider hili swali langu lina tatizo au hulioni kiongozi samahan lakin km ntakua nimekukwaza in one way or another
 
Nimewahi kusoma sehemu au kuambiwa na jamaa kuwa huenda suala la kutoruhusu Watu wengine warudi Rwanda ni kutokana na udogo wa nchi ukilinganisha na idadi ya watu. Population density (wastani wa idadi ya watu wanaoishi katika Kila kilometa moja ya mraba) ya Rwanda ya sasa (2013) ni 430, Tanzania ni 51, DRC ni 30. Wakirudi hao mnadhani wataishi vipi na wapi baada ya miaka 10 ijayo? Ujue kama nilivyosema resorces pia ni chache Rwanda. Nasikia ndiyo maana TZ ilikataa ajenda ya ardhi kwa kulitabua hili mapemaaa. (I stand to be correctec)


 
MUKAMASIMBA hajielewi, anasema kabla mipaka haijawekwa na wazungu watutsi walikuwa wanajipitia tu ndiyo wakaingia Kivu lkn ni watutsi na nyie Rwanda mnawajua haswa, sasa kwanini msiende kuwachukua ndugu zenu muwarudishe nyumbani muwaambie acheni vita kwenye nchi ya watu kama wale wahutu wanavyotaka kurudi nyumbani lkn Kagame na wewe hamtaki warudi nyumbani??
Mfano wa nyie kutotaka kurudi nyumbani na kuleta vita kwenye nchi ya watu ndiyo kilichopelekea tukawafukuza haraka sana huku TZ(nadhani uliona wengine 30yrs in TZ) kwa sababu hamna adabu ya kuishi na mtu mwingine zaidi ya nyie wenyewe, Historically mnajieleza vizuri sana.
Huu umoja mliojiundia wa EAC nyie wanyarwanda ndiyo mtauvunja wenyewe kwa sababu ya ubinafsi na ututsi wenu, kamfano kadogo tu EAC headquater Arusha ukimkuta myarwanda(mtutsi) anafanya kazi pale unamkuta ana dereva kutoka kwao, housegirl/boy kutoka kwao mpaka secretary awe wa kwao sasa hii ni shida kubwa mtakapokutana face to face na Mkenya.
Cha msingi, mwambieni Kagame arudishe watu wenu hm na awafundishe tabia nzuri ya kuishi na watu wengine ambao siyo watutsi mkiweza hilo mtaishi na majirani vizuri sana na mtakaribishwa otherwise mtapigwa TU.
 
Last edited by a moderator:
Bro bila shaka nimekujibu. Unajua tunatofautiana saa moja kati ya TZ na hapa GOMA. Ndo nimefika ofcn.

Flash hider hili swali langu lina tatizo au hulioni kiongozi samahan lakin km ntakua nimekukwaza in one way or another
 


Asante sana FLASH Kwa habari motomoto. Je? Rwanda Uchumi wao unategemea nini? Wanapitisha makontena ya madini hapa Tanzania na moja limewahi ibiwa na lilipatikana na thamani yeke ilikuwa ni kubwa sana, Wana migodi wapi Wanyarwanda? Ni bidhaa gani kutoka Tanzania zina Fursa DRC na Bidhaa Gani za DRC zina Fursa Bongo? Ninaweza kuja Goma Kibiashara na Kurudi salama pamoja na SINTOFAHAMU Hiyo ya Vita vinavyoendelea????

 
Maneno haya yana ukweli ndani yake ila Kaka ni makali sana.

 
Man ....you have given out a very brilliant point.

Mbona rwanda inafanya hivyo,lakini ujue watu wengine inabidi wabadili ideology zao sana sana hao wauaji,na wanakaribishwa na kupelekwa shule ka ya miezi sita ili kuwafundisha jinsi ya kuishi nawenzao.
 
Ni kweli M23 imetokana na CNDP?
 
This is a big lesson to me! kabila ya mtusi au muhutu kabila ni mnyarwanda. Ingawa sina uhakika lakini nadhani si kweli.

Hakuna Kabila bal

Kabila lina tambuliwa na lugha,sasa awe mtusi au muhutu anaongea kinyarwanda hakuna kitusi au kihutu,tofauti ni kwamba watusi ni wafugaji na wahutu wakulima hakuna tofauti ya lugha sasa hiyo iliendelea hata wale ambao hawana nifugo waliuwawa just because wanazaliwa na hao wafugaji.
 
Nadhani humu JF kuna walimu wazuri sana wanaoelewa historia vizuri. Tufundisheni jamani.

 
Sidhani kama nina sifa hizo. Hebu fuatilia mchango wa wengine humu, utagundua kuna watu wanaelewa sana masuala ya dunia hasa ukanda wetu huu.

mkuu FLASH HIDER hongera sana kwa kazi nzuri.najua huwezi kukubari kuwa wewe "asset agent" wetu hapo goma,dah ila wewe mkareee jooo.
miaka kumi c mchezo..u must have gathered lot of intels bout m23.
 
No comment


 
Mlipofika si pazuri sana. Tuwe na uvumilivu wa ndimi zetu

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…