Freeland
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 14,481
- 10,227
SADC wao nikichekesho wao wako pale kulinda interest za south afrika,south afrika ana contracts za uchimbaji madini kivu na mafuta,M23 inaonekana kua kikwazo kwani wao hawakubaliani na contracts zinazo fanywa na kabila kwani eneo lakivu linabaki masikini wakati wana madini na kwakua kuna hiyo connection ya utusi wanafikiri jeuli ya kuchallenge kabila wanaitoa rwanda,lakini niyakawaida kwa wa mtwara wangeweza kuchallenge tz kwa silaha wenda mungesema anapata msaada toka musumbiji kutokana na umakonde.
Hapa tunazunguka point....All this does not justify Rwanda ninyi wanyarwanda kuitetea M23.............m23 Wanapata wapi silaha? mtwara walileta upinzani hawakuwa na silaha...hao M23 wanapata wapi silaha? Na ni kwa nini kwa sababu ni watutsi wawe linked na Rwanda? huko Rwanda hakuna wahutu? au bado mambo yenu ya ukabila mnayaendeleza?
SADC.....Specifically Tanzania iko makini sana kujiingiza sehemu katika missions za UN........Amani ya Congo ni muhimu kwa ukanda wa SADC ambayo DRC ni mwanachama wake....SADC ina haki ya kumlinda mwanachama mwenzake kutokana na threat yoyote ile.....M23 ni waasi .....Serikali halali ni ya Kabila...SADC inatetea serikali halali......hata kama kuna internal weaknesses ndani ya serikali ya Congo...ni lazima SADC iisaidie DRC.....Sasa inashangaza sana ninyi waheshimiwa wa Rwanda mnawatetea waasi wanaopigana na serikali halali.......How comes msiandamwe na dunia nzima?
SADC kama jumuiya ya kimaendeleo inakaribisha investments between member countries...SA kuwa na migodi DRC sio dhambi kwa kuwa imeingia mikataba na serikali HALALI Ya DRC......Ndio maana hata huku Tanzania kuna makampuni mengi tu ya South Africa....Sasa how Comes kikundi cha waasi cha M23 kilazimishe kukalia sehemu ya Sovereign state na kuanza kujichimbia madini....That is un acceptable duniani kote...Cha ajabu Rwanda ndio ina wa support