MUKAMASIMBA
JF-Expert Member
- Aug 11, 2013
- 1,655
- 362
Mimi sioni nikwa jinsi gani kagame na museveni wanachangia usalama mdogo afrika mashariki,al shabab kuishambulia kenya na fikiri yanatokana na uhusiano wa amerika na kenya sio m7 na pk,hao walio nje ni percentage ndogo ya wanyarwanda tena sio wote wanaopinga selikali ya rwanda,wengi wa hao wapinzani ni watu wasio kubaliana kisiasa,wengie walishiriki mauaji na wengine wezi walio toroka mkono wa sheria,naweza kukuambia kitu kidogo tu,mara baada ya kuingia madarakani kuna watu walio kamata ardhi kubwa kwasababu walikua na connection na utawala wa sasa na kagame hakulifuraia hilo ilibidi awanyanganye na kupatia wanchi hizo aridhi basi wengi wahao watu walio nyanganywa walikimbia nchi nakuanza kusema ni dikteta yeye ni mtu wa watu,hao siotishio sana,tukija kwa amani ya afrika hawa watu wako mstali wambele kupambana na ukoloni mambo leo na hili wazungu hawalifurahii ndio maana nchi za kiafrika zinatumiwa kubomoana ndio sababu utaona muungano wa nchi za afrika haita wezekana,ukichukulia mfano wakaribu EAC.
Mlipofika si pazuri sana. Tuwe na uvumilivu wa ndimi zetu
Ndugu zanguni hasa Watanzania,
Mimi ni mtanzania ninafanya biashara zangu huku DRC Goma kwa muda mrefu. Ninaishi hapa GOMA na nimekuwa nikisafiri kwenda sehemu mbalimbali ndani ya DRC.
Nimekuwa nikifuatilia mijadala kuhusu mgogoro wa M23 na serikali ya DRC, nimegundua watu wengi hawapo informed on what is going on.
Sasa kwa wale wenye swali au chochote wanachotaka kujua kuhusu mgogoro huu, mapigano yanayoendelea, na ushiriki na mapokeo ya WaKongo kuhusu JWTZ, mnaweza kuniuliza.
Nipo hapa kwa karibu miaka kumi na mbili sasa, bila sahaka nina kitu kipya ambacho huenda ninaweza kuwahabarisha.
Kagame mi namkubali yaani..hata kama kuna mengine ambayo c mazuri kayafanya.ana mipango mizuri anajaribu kufanya vile vinaendana na mazingira yake..i salute u tall tree.!
Unaweza kuamini Waziri wa Ulinzi wa sasa wa Rwanda, James kabarebe, amewahi kuwa Congo DRC Defence Chief of Staff! Pia ndiye aliyeanzisha Vita ya pili ya Congo!
Halafu Rwanda inasema haihusiki na yanayotekea Congo!
Unpacking Rwanda
Sikubaliani na wewe kwani congo ya sasa imetokana na mipaka iliyotiwa na wakoloni,lakini hapo mwanzo ilikua pori bila mpaka na eneo la kivu wakati mmoja liliku chini ya utawala wamfalme wa rwanda,hapa kua na mipaka nakubali kuna watusi wa 1959 lakini wengi walirudi rwanda lakini kuna hao wa zamani kabla ya mipaka 90%ya wakazi wa kivu kaskazini wanaongea kinyarwanda,kingine hakuna kabila ya mtusi au muhutu kabila ni mnyarwanda.
Hilo ni shamba la bibi.......tena mwambieni huyo mr. dhaifu siku nyingine akome kuingilia 'ma deal' ya warlods, tena ana bahati sana, siku nyingine yatamtokea puani, mbona walio mtangulia hawakufanya hivyo?
karibu mkuu!!!!Nashukuru MNDENGEREKO
Eti wewe siyo mpiganaji wa M23?,tunasikia kuna wanajeshi watanzania waliostaafu wenye asili ya kibanyamulenge wako huko wanatoa mafunzo ya kijeshi kwa M23 sambamba na kupigana vita kutaka kumega ardhi ya DRC kuanzisha himaya ya wahima huko DRC,Rwanda na Uganda?.
Unaweza kuamini Waziri wa Ulinzi wa sasa wa Rwanda, James kabarebe, amewahi kuwa Congo DRC Defence Chief of Staff! Pia ndiye aliyeanzisha Vita ya pili ya Congo!
Halafu Rwanda inasema haihusiki na yanayotekea Congo!
Unpacking Rwanda
Kama huyu jamaa anayesema wanyarwanda waende kuchukua ndugu zao walio kivu,kivipi?hao ni wakongomani mipaka waliikata wakabaki upande wa pili,mbona hamuwarudishi wajaruo mkiwaita wakenya? au wamakonde mkiwaita wamusumbiji? kama munataka kurudisha hao wanao ongea kinyarwanda nafukiri itakua vizuri wakirudi na aridhi ya mababu zao.
Mr.Freeland,unauliza M23 wanatoa wapi siaha?kwanza hawa watu niwapiganaji wasiku nyingi tangu enzi za kabila mkubwa,wamekua makamanda wa jeshi la kongo kwa muda murefu,wanapesa nyingi kutokana na biashara za madini,congo ina vikundi vingi vyenye silaha,wakati wote ukiwa na pesa silaha utazipata bila tabu,sasa sijui rwanda inahusikaje na kutoa silaha,nakubali SADC inaushirikiano wa kulindana lakini huko kulindana inabidi watu kua waangalifu isiwe kulindana kwa kukandamiza jamii fulani,kinachotakiwa nikusikiliza kiini cha tatizo na kulitatua sio vita,lakini congo wao wanasikia lugha ya bunduki,ndio sababu M23 wamekamata silaha ili jamii zao zipate amani ya kudumu waache kuwabagua.
Wanajeshi wa Tanzania? Sina taarifa hizo. Lakini logically nadhani haiwezekani. Unajua M23 chimbuko lake ni Rwanda. Sina kumbukumbu kama kumewahi kuwa na wanajeshi wa Tanzania huko Rwanda. Pia habari zote zilizopo hapa DRC zinaeleza Wanajeshi wa Rwanda. Leo hii kwenye magazeti ya leo hapa DRC wametoa vitambulisho vya wanayarwanda vilivyoachwa na wapiganaji wa M23.
Sasa kua alikua kiongozi kongo anahusikaje na vurugu za congo? hizo mai mai ni yeye anazipa silaha,nafikiri HIDER alijaribu kuligusia hili huko congo ni shamba la bibi kila tajiri anajeshi lake la kurinda migodi yake hata hao wazungu ndio kazi yao,kabarebe huyu niwajuzi tu mambo ya wapiganaji yalianza zamani,nafikiri tatizo M23 ni jeshi lililo organised lenye objectives ambazo zita wanyima hao wazungu kupora mali ya congo.
Ndani ya Congo kuna jamaa zako Kagame na Museveni M23 jina hili hutokana na tarehe 23 Machi mwaka 2009, siku siku ambayo serikali ya Congo ilifikia makubaliano ya amani na kundi la waasi wa CNDP.