Uliza lolote kuhusu mgogoro ndani ya DRC hasa mapigano kati ya M23 na FARDC

kwataarifa yako genocide ni tatu tu duniani ambazo zimeisha fanyika ya isirael,kosovo na watusi sasa hiyo ya congo nimuendelezo wa ya watusi kwani wanao ua huko ni interahamwe za rwanda.

huo wimbo wenu wa genocide umechuja, narudia tena umeshachuja tungeni mwingine!
 

kwa historia yetu sisi ni dola kuu la afrika mashariki tukiwa na historia nzuri ya kuwakomboa wenzetu tukitumia jeshi letu la ukombozi na bado tunaendelea na ukombozi pamoja na upinzani mkubwa tunaoupata kutoka kwa majirani wenye uchu wa madaraka na damu za watu.
 
watusi watasema chochote ilimradi tu wapate huruma ya jumuiya ya kimataifa

Rwanda aihitaji huruma ya mtu yeyote kwani wakati watu walikua wakiua watu hapa rwanda hakuna aliye wasaidia ni wawo wenyewe walio mwagadamu zao ili waikomboe nchi,na kwa vyovyote vile hata akija nani naimani wanyarwanda watasimama kama wanaume na watashinda kwani hata daudi alimshinda goliathi nauhakika.
 
Tayari mkuu wa M23 Bertrand Bizimwa kakimbilia Uganda kwa Bwana yake aliyekuwa akimpatia msaada.Kwa mujibu wa vyonzo mbali mbali majeshi ya DRC na ya UN yakiongonzwa na vijana shupavu JWTZ yamebakiza kilometa tano kufika katika mpaka wa DRC na Uganda.
 

mkuu flash hider uko sawa kabisa..mimi niliona katika twitter ya fardc13 .wakati wao m23 wanasema jamaa kaenda kuungana na m23 delegation pale kampala kumbe kaUSAIN BOLT.
 
Hawa jamaa ni wajinga. Si wakumbuke yaliyompata Idd Amin wa Uganda zamani zile?.
 
hamna mwenye uwezo wa kumzuia mwingine asitoe mawazo yake, ila tunasisitiza awe mkweli ili mjadala uwe mzuri na tuelimishane ukweli na si uwongo

Ndugu yangu katika hili swala la watusi watu wengi huongea uongo dhidi yao na ndio maana wahutu waliweza kuwaangamiza juu ya hayo masomo yachuki waliyo tiwa kichwani,na kinacho nishangaza nina wapa ukweli wote kuhusu hao watu lakini watu wanang'an'gania wanayotaka kusikia,ninacho jua ukweli utajulikana,watusi wanaonewa sana,hata wakichinjwa hakuna mtu wa kuwatetea lakini kinacho julikana mungu yuko pamoja nao atawalinda kama walivyo weza kuwashinda wauwaji nchini rwanda.
 
Hivi ni kweli kwamba M23 wameamua kuingia mitaani na kupigana wakiwa na mavazi ya kiraia? Je huno hapo kutakuwa na kazi kubwa kwa JWTZ na washirika wake kupambana na hao wajinga?
Je mpaka sasa hivi JWTZ imefanikiwa kuwaua wapinaji wangapi wa M23?
 
kagame upande mwema upande mnafiki!

Kagame hana unafiki wowote,subiri sasa M23 wama withdrawal sio tatizo tena kwa kongo na hata UN imelisema hilo,sasa subiri utaona kitu kilicho waleta SADC na mfaransa kivu,ndio mtatambua mnafiki ni nani?
 
Kagame hana unafiki wowote,subiri sasa M23 wama withdrawal sio tatizo tena kwa kongo na hata UN imelisema hilo,sasa subiri utaona kitu kilicho waleta SADC na mfaransa kivu,ndio mtatambua mnafiki ni nani?

Sema wamepigwa! Ila dah kaka big up Una roho ngumu!
 
M23 is now non existent; nenda kuwaunge mkono huko porini

M23 no existence militarily but ideologilically it is there and will last forever,hivi watusi wote wa kongo wamefukuzwa kutoka katika nchi yao lakini sikumoja watarudi na kama congo imeamua kutatua kwa njia hiyo imejidanganya ni kwamba watarudi kwa aridhi ya mababu zao, hakutakua amani kivu daima.
 

Acha upotoshaji, Watusi Kwao ni RWANDA sio Congo!
 

Acha upotoshaji, Watusi Kwao ni RWANDA sio Congo!

Ndio nakubali kabla ya mipaka watusi wa kivu walikua wanyarwanda lakini baada ya kukata mipaka waligeuka wacongomani,nafikiri kunahaja ya kurudiwa kwa mipaka kwani hii mipaka itatuletea matatizo.
 
Ndio nakubali kabla ya mipaka watusi wa kivu walikua wanyarwanda lakini baada ya kukata mipaka waligeuka wacongomani,nafikiri kunahaja ya kurudiwa kwa mipaka kwani hii mipaka itatuletea matatizo.

Kwani Wanyarwanda ni watu gani?
 
Tumetangaziwa gapa GOMA leo hii ni mwisho wa M23. Sijui ikoje.

kweli ni mwisho lakini tatizo halija tatuliwa,umemkimbiza M23 na amehama mzima mzima ikimaanisha kwamba hajatoweka kesho kesho kutwa atarudi,kinacho wauma FRANCE NA SADC nia yao haikua M23 nikama vile ulikua na kiu ukapewa kidogo na kunyan'ganywa kabla hauja maliza kiu.
 

Hongera sana vijana shupavu,lakini mkumbuke jamaa wanawapisha hujui kesho itakuaje congo ni kubwa.
 

Kama nia yao haikuwa M23, kumbe bado wanasababu mkononi ya kuendelezea nia yao. Maana, kama kweli nia yao sio m23 wata demand serikali ziwakamate hao m23, kama hawakamati basi watafuatwa. Kama marekani alivyomfuata Osama afghan. Kama UN wanasababu nyingine bado wana option nyingi mkononi.
 

FLASH HIDER mbona unanigeuka sasa kwani nani amalinganisha rwanda na tanzania? kwakweli kamatanzania kungekua na viongozi kama kagame nahiyo mimali udongoni na fikiri tz ingekua juu kuzidi south afrika,kwa kweli rwanda hai lingani na tz nakubali,ila kuna ka short circuit somewhere.
 
Hivi ni kweli kwamba M23 wameamua kuingia mitaani na kupigana wakiwa na mavazi ya kiraia? Je huno hapo kutakuwa na kazi kubwa kwa JWTZ na washirika wake kupambana na hao wajinga?
Je mpaka sasa hivi JWTZ imefanikiwa kuwaua wapinaji wangapi wa M23?

Wata watoa wapi? sasa ndio kamchezo kameanza,hao politician acha waende watu wavita waanze kazi ya kuchomoa mmoja baada ya mwingine,afadhali hii move waichukue kwa tahadhari kwani game imebadilika naona umeliona hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…