Uliza lolote kuhusu mgogoro ndani ya DRC hasa mapigano kati ya M23 na FARDC

Uliza lolote kuhusu mgogoro ndani ya DRC hasa mapigano kati ya M23 na FARDC

kwataarifa yako genocide ni tatu tu duniani ambazo zimeisha fanyika ya isirael,kosovo na watusi sasa hiyo ya congo nimuendelezo wa ya watusi kwani wanao ua huko ni interahamwe za rwanda.

huo wimbo wenu wa genocide umechuja, narudia tena umeshachuja tungeni mwingine!
 
awali nilikuwa sijamuelewa vizuri mukamasimba. Kumbe haina haja ya kujadiliana nae. Kwa taarifa yake huwezi hata siku moja ukafananisha rwanda na tz, ukubwa, mali, watu, politics, diplomacy nk. Kam nchi na sisi tuna matatizo yetu lakini sio kama ya rwanda.wachnagiaji wamesema mengi sana ambapo limekuwa somo zuri san kwa wote. Mawazo yako hayo hayakuasaidii lolote ndugu yangu. Bishana kwa hoja ila si kwa nguvu na kutukana.

kwa historia yetu sisi ni dola kuu la afrika mashariki tukiwa na historia nzuri ya kuwakomboa wenzetu tukitumia jeshi letu la ukombozi na bado tunaendelea na ukombozi pamoja na upinzani mkubwa tunaoupata kutoka kwa majirani wenye uchu wa madaraka na damu za watu.
 
watusi watasema chochote ilimradi tu wapate huruma ya jumuiya ya kimataifa

Rwanda aihitaji huruma ya mtu yeyote kwani wakati watu walikua wakiua watu hapa rwanda hakuna aliye wasaidia ni wawo wenyewe walio mwagadamu zao ili waikomboe nchi,na kwa vyovyote vile hata akija nani naimani wanyarwanda watasimama kama wanaume na watashinda kwani hata daudi alimshinda goliathi nauhakika.
 
Tayari mkuu wa M23 Bertrand Bizimwa kakimbilia Uganda kwa Bwana yake aliyekuwa akimpatia msaada.Kwa mujibu wa vyonzo mbali mbali majeshi ya DRC na ya UN yakiongonzwa na vijana shupavu JWTZ yamebakiza kilometa tano kufika katika mpaka wa DRC na Uganda.
 
Mmioena hii?

www.newvision.co.ug

"Bisii" The Bisiimwa's vehicles enter Uganda. (photo: Goodluck Musinguzi/NewVision Uganda)

Just head this news on BBC World News Radio, and now cross-posting the following report written by Goodluck Musinguzi, published at NewVision, UGANDA that, the rebel leader crossed Uganda in a convoy of two vehicles as UN forces and Congolese forces led by South Africans reached within five kilometres towards his political base.

A Uganda security officer confirmed the development and said Bisiimwa was being questioned by the security operatives at

Bunagana at Uganda-Congo border.

Rebels on Monday abandoned a key military base but vowed to fight on despite four days of a successful army offensive that has stoked tensions with neighbouring Rwanda.

A string of victories by government forces backed by a new U.N. intervention brigade has boosted belief that Congo's army could finally quell a 20-month insurgency which has displaced tens of thousands of people in the mineral-rich area.

The March 23 Movement (French: Mouvement du 23-Mars), often abbreviated as M23 and also known as the Congolese Revolutionary Army, is a rebel military group based in eastern areas of the Democratic Republic of the Congo (DRC), mainly operating in the province of North Kivu

mkuu flash hider uko sawa kabisa..mimi niliona katika twitter ya fardc13 .wakati wao m23 wanasema jamaa kaenda kuungana na m23 delegation pale kampala kumbe kaUSAIN BOLT.
 
Hawa jamaa ni wajinga. Si wakumbuke yaliyompata Idd Amin wa Uganda zamani zile?.
 
hamna mwenye uwezo wa kumzuia mwingine asitoe mawazo yake, ila tunasisitiza awe mkweli ili mjadala uwe mzuri na tuelimishane ukweli na si uwongo

Ndugu yangu katika hili swala la watusi watu wengi huongea uongo dhidi yao na ndio maana wahutu waliweza kuwaangamiza juu ya hayo masomo yachuki waliyo tiwa kichwani,na kinacho nishangaza nina wapa ukweli wote kuhusu hao watu lakini watu wanang'an'gania wanayotaka kusikia,ninacho jua ukweli utajulikana,watusi wanaonewa sana,hata wakichinjwa hakuna mtu wa kuwatetea lakini kinacho julikana mungu yuko pamoja nao atawalinda kama walivyo weza kuwashinda wauwaji nchini rwanda.
 
Hivi ni kweli kwamba M23 wameamua kuingia mitaani na kupigana wakiwa na mavazi ya kiraia? Je huno hapo kutakuwa na kazi kubwa kwa JWTZ na washirika wake kupambana na hao wajinga?
Je mpaka sasa hivi JWTZ imefanikiwa kuwaua wapinaji wangapi wa M23?
 
kagame upande mwema upande mnafiki!

Kagame hana unafiki wowote,subiri sasa M23 wama withdrawal sio tatizo tena kwa kongo na hata UN imelisema hilo,sasa subiri utaona kitu kilicho waleta SADC na mfaransa kivu,ndio mtatambua mnafiki ni nani?
 
Sema wamepigwa! Ila dah kaka big up Una roho ngumu!
 
M23 is now non existent; nenda kuwaunge mkono huko porini

M23 no existence militarily but ideologilically it is there and will last forever,hivi watusi wote wa kongo wamefukuzwa kutoka katika nchi yao lakini sikumoja watarudi na kama congo imeamua kutatua kwa njia hiyo imejidanganya ni kwamba watarudi kwa aridhi ya mababu zao, hakutakua amani kivu daima.
 
Acha upotoshaji, Watusi Kwao ni RWANDA sio Congo!
 
Acha upotoshaji, Watusi Kwao ni RWANDA sio Congo!

Ndio nakubali kabla ya mipaka watusi wa kivu walikua wanyarwanda lakini baada ya kukata mipaka waligeuka wacongomani,nafikiri kunahaja ya kurudiwa kwa mipaka kwani hii mipaka itatuletea matatizo.
 
Ndio nakubali kabla ya mipaka watusi wa kivu walikua wanyarwanda lakini baada ya kukata mipaka waligeuka wacongomani,nafikiri kunahaja ya kurudiwa kwa mipaka kwani hii mipaka itatuletea matatizo.

Kwani Wanyarwanda ni watu gani?
 
Tumetangaziwa gapa GOMA leo hii ni mwisho wa M23. Sijui ikoje.

kweli ni mwisho lakini tatizo halija tatuliwa,umemkimbiza M23 na amehama mzima mzima ikimaanisha kwamba hajatoweka kesho kesho kutwa atarudi,kinacho wauma FRANCE NA SADC nia yao haikua M23 nikama vile ulikua na kiu ukapewa kidogo na kunyan'ganywa kabla hauja maliza kiu.
 
Tayari mkuu wa M23 Bertrand Bizimwa kakimbilia Uganda kwa Bwana yake aliyekuwa akimpatia msaada.Kwa mujibu wa vyonzo mbali mbali majeshi ya DRC na ya UN yakiongonzwa na vijana shupavu JWTZ yamebakiza kilometa tano kufika katika mpaka wa DRC na Uganda.

Hongera sana vijana shupavu,lakini mkumbuke jamaa wanawapisha hujui kesho itakuaje congo ni kubwa.
 
kweli ni mwisho lakini tatizo halija tatuliwa,umemkimbiza M23 na amehama mzima mzima ikimaanisha kwamba hajatoweka kesho kesho kutwa atarudi,kinacho wauma FRANCE NA SADC nia yao haikua M23 nikama vile ulikua na kiu ukapewa kidogo na kunyan'ganywa kabla hauja maliza kiu.

Kama nia yao haikuwa M23, kumbe bado wanasababu mkononi ya kuendelezea nia yao. Maana, kama kweli nia yao sio m23 wata demand serikali ziwakamate hao m23, kama hawakamati basi watafuatwa. Kama marekani alivyomfuata Osama afghan. Kama UN wanasababu nyingine bado wana option nyingi mkononi.
 
Awali nilikuwa sijamuelewa vizuri MUKAMASIMBA. Kumbe haina haja ya kujadiliana nae. Kwa taarifa yake huwezi hata siku moja ukafananisha Rwanda na TZ, ukubwa, mali, watu, politics, diplomacy nk. Kam nchi na sisi tuna matatizo yetu lakini sio kama ya Rwanda.Wachnagiaji wamesema mengi sana ambapo limekuwa somo zuri san kwa wote. Mawazo yako hayo hayakuasaidii lolote ndugu yangu. Bishana kwa hoja ila si kwa nguvu na kutukana.

FLASH HIDER mbona unanigeuka sasa kwani nani amalinganisha rwanda na tanzania? kwakweli kamatanzania kungekua na viongozi kama kagame nahiyo mimali udongoni na fikiri tz ingekua juu kuzidi south afrika,kwa kweli rwanda hai lingani na tz nakubali,ila kuna ka short circuit somewhere.
 
Hivi ni kweli kwamba M23 wameamua kuingia mitaani na kupigana wakiwa na mavazi ya kiraia? Je huno hapo kutakuwa na kazi kubwa kwa JWTZ na washirika wake kupambana na hao wajinga?
Je mpaka sasa hivi JWTZ imefanikiwa kuwaua wapinaji wangapi wa M23?

Wata watoa wapi? sasa ndio kamchezo kameanza,hao politician acha waende watu wavita waanze kazi ya kuchomoa mmoja baada ya mwingine,afadhali hii move waichukue kwa tahadhari kwani game imebadilika naona umeliona hilo.
 
Back
Top Bottom