Uliza lolote kuhusu mgogoro ndani ya DRC hasa mapigano kati ya M23 na FARDC

Mh!! Naomba unijibu kwa mstari mmoja tu, Rwanda inawasaidia M23?



Lakini rwanda ina utajiri gani wa ku support vita ya M23? mara rwanda masikini,mara matajiri sasa mimi siwaelewi,jamani tuongee ukweli hapo.[/QUOTE]
 
Kumbe nia ya M23 ni kupambana na FDLR?

 
Nadhani muda mfupi ujao sitaendelea kuumiza kichwa kumjibumukamusima

.
pia naomba ufafanuzi wanaongea kinywaranda ni kabila gani? Maana hapa usi associate na rwanda. Maana kw maelezo yako kinyarwanda kilikuwepo kabla ya rwanda. Sasa wanaongea kinywaranda ni kabila gani?
 
Pia naomba ufafanuzi wanaongea kinywaranda ni kabila gani? maana hapa usi associate na Rwanda. maana kw maelezo yako kinyarwanda kilikuwepo kabla ya rwanda. Sasa wanaongea kinywaranda ni kabila gani?

Wanao ongea kinyarwanda niwanyarwanda pure,lakini ukumbuke rwanda kabla ya mipaka ya wakoloni haikua ndogo kama hii ya sasa,sasa katika kukatakata ndio wengine walibaki congo,uganda,na kama congo kunawano itwa abanyamasisi,abanyarucuro,abajomba lakini wanaongea kinyarwanda na wengine wako uganda wanaitwa abafumbira wanaongea kinyarwanda,kitu kinacho watofautisha na watu wengine wao huifadhi culture ya kinyarwanda hawaipotezi ndio sababu wakati wate wanaongea kinyarwanda wanaitwa wanyarwanda kwa mtu yeyote atamwambia rudi rwanda kwasababu unaongea kinyaranda tu.
 
Jibu swali, ndiyo au hapana. Waungwana hujibu kadiri walivyoulizwa.


mh!! Naomba unijibu kwa mstari mmoja tu, rwanda inawasaidia m23?



Lakini rwanda ina utajiri gani wa ku support vita ya m23? Mara rwanda masikini,mara matajiri sasa mimi siwaelewi,jamani tuongee ukweli hapo.
[/quote]
 

mungu wa yacob ninayemwamini halindi wahalifu, na ndiyo maana magaidi wenzenu wa m 23 wanazidi kufyata mkia na sasa ni mwendo wa kigali
 

Lies! What talks? Talking to who? Few weeks ago they walked out....now what talks in Kampala? According to media,He is just running away because FARDC and FIB forces are just 5 km away from his last camp at Bunagana!
 
Last edited by a moderator:
Kumbe nia ya M23 ni kupambana na FDLR?

Nia yao kuu ni kujilinda na mashambulizi ya FDLR na kuhakikisha jamii zao zinaishi kwa amani ndani ya congo lakini hao FDLR wanakumbatiwa na wakuba france kabila hawezi kufanya chochote kwa sasa ndio maana unaona wameanza kushinikiza rwanda kuongea nao ili waende kwa usalama bila kuchukuliwa kwa nguvu,unajua tangu FDLR ingie kivu watusi wa hapo hawajawa na amani tena.
 
Wewe bwana naona una ajenda ya siri na DRC, mbona huzingumzii kabisa waliobaki Burundi. Au unadhani hatujua RWANDA-URUNDI? Kuwa mkweli kaka.

 

Ndio maana mi namwambia MUKAMASIMBA jamaa ile ni SOVEREIGN state...sijui kama anaelewa maana ya hilo neno...........Amini nakwambia hakuna nchi yoyote duniani itakubali ujinga huo...Kabila amekuwa na subira tu.....
 
Last edited by a moderator:
Acha wewe, nadhani wewe hujawahi kukaa hapa GOMA. ---- mtu anawataka hao M23. Wanalinda maslahi ya nani. Kama ni ya wananchi wa KIVU kwani tena wawabake, wawapole mali zao. Jamii zipi unazozitaja? Hoja zako hazina mashiko, zimetawaliwa na utashi wa kifikra.

 

hii itakuwa mpya, yaani M 23 waiombe serikali ya DRC wanayoipinga iwaondoshe waasi wa FLDR? Maajabu, kwa hiyo m 23 mnajali zaidi masilahi ya rwanda kuliko mnavyojali nchi yenu ya DRC? mimi nafikiri waasi kwa waasi wangeungana kusaidiana kuziondosha serikali wanazozipinga! lakini kwa hili ni tofauti kwa sababu M 23 inalinda masilahi ya watusi DRC na FLDR inadai haki ndani ya Rwanda! kwa hiyo ni nja mbili zinazokinzana
 
Naomba MUKAMASIMBA asikimbi uzi huu baada ya siku bili au tatu. Huyo Makenga ametajwa kukimbillia Rwanda bila walinzi. Rais ndiyo huyo!

Lies! What talks? Talking to who? Few weeks ago they walked out....now what talks in Kampala? According to media,He is just running away because FARDC and FIB forces are just 5 km away from his last camp at Bunagana!
 

m 23 (millitary wing ya jeshi la Rwanda) ipo DRC kufanya hujuma dhidi ya wacongo na mali zao
 
Pia naomba ufafanuzi wanaongea kinywaranda ni kabila gani? maana hapa usi associate na Rwanda. maana kw maelezo yako kinyarwanda kilikuwepo kabla ya rwanda. Sasa wanaongea kinywaranda ni kabila gani?

Jhaha! Watakuambia KITUSI, Na cha ajabu hawa fiki hata Nusu ya Population ya Wahutu.
 

Naona unaanza kudanganya sasa.
Kabla ya kukata mipaka inakuwa je Rwanda ilikuwepo? sasa huu ni usanii sasa, yani nchi zingine hazikuwepo ila Rwanda ilikuwepo ndo ilikatwa mipaka?
 
Naomba MUKAMASIMBA asikimbi uzi huu baada ya siku bili au tatu. Huyo Makenga ametajwa kukimbillia Rwanda bila walinzi. Rais ndiyo huyo!

swali, kwanini viongozi wa magenge ya kihuni ya m 23 wakizidiwa wanakimbilia rwanda au uganda na si majirani wengine au serikali ya DRC?
 
Unajua MUKAMASIMBA kwa hoja zako unazidi kupandikiza chuki ili watu wengine waendelee kuwachukua Watusi hata wale waliokuwa hawana chuki nao (Mfano mimi)

 
Wanarudi kwa ALIYEWATUMA, ANAYEWALIPA, ANAYEWAONGOZA. Hawawezi kuingia TZ maana watakamatwa kwesho tu. Kwanini Rwanda mpaka leo haitaki kuwarejesha wafuasi wa Ntaganda? pamoja na kuombwa na DRC mara nyingi?

na
swali, kwanini viongozi wa magenge ya kihuni ya m 23 wakizidiwa wanakimbilia rwanda au uganda na si majirani wengine au serikali ya DRC?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…