MUKAMASIMBA
JF-Expert Member
- Aug 11, 2013
- 1,655
- 362
MUKAMASIMBA bado nasubiri jibu lako kwa swali langu hapo juu
[/QUOTE]Mimi nimeamua kuacha kubishana/kujadiliana na MUKAMASIMBA. Anataka kunilazimisha nianze kuwachukia watusi wakati ndiyo rafiki zangu na tunafanya nao kazi hapa. Hawa wa hapa GOMA ni wawazi sana kuhusu Rwanda na M23. Sijui huyu bwana hard core anautoa wapi.
QUOTE=juve2012;7695049]MUKAMASIMBA bado nasubiri jibu lako kwa swali langu hapo juu
ndio hapo sasa!kwa sera za mheshimiwa huyu,ina maana tuanze kufuatilia mipaka kwa empire za zamani zilizozingatia mipaka ya kikabila.Sasa sijui waluo,wamasai,wapare,wamakonde,na nchi nyingine kwenye makabila yaliyosambaa kwenye nchi zaidi ya moja nayo yakifuata sera hizi leo sijui itakuwaje!
Naona unaanza kudanganya sasa.
Kabla ya kukata mipaka inakuwa je Rwanda ilikuwepo? sasa huu ni usanii sasa, yani nchi zingine hazikuwepo ila Rwanda ilikuwepo ndo ilikatwa mipaka?
Hawa MONUSCO kazi yao kupora madini na kuuza ughaibuni, na wala soyo kulinda raia wa Congo kama walivyotumwa na Umoja wa Mataifa.
Ndio maana vita hazitaisha kongo hata tz ikianza kusikia utamu wa kupora haitatoka huko wataoa wacongomani na kuzamia huko.
sasa wewe ndio wazimu imekupanda eti rwanda iongee na fdlr? Sahaukabisa hiyo haita wezekana,kingine m23 haija chapwa hatakidogo wameondoka wote tena wazima wa afya njema,fib imeumizwa sana yani hasira nizote,wewe uliza goma wakupe mkanda wote uache kuongelea kitandani watu huko wanaumia sio mchezo.
umesema m23 wapo bunagana mpakani na uganda ikiwa na maana wanaweza kukimbilia uganda na sio rwanda.kwani wamesambaa kiasi gan?
hivyi ninvyoandika ninaangalia tv hapa, miji yote ambayo ilikuwa imekaliwa na m23 imekwishachukuliwa na fardc. Kanzia kiwanja, rumangabo, katale, kibati (ulichukuliwa siku nyingi) yote ipo chini ya fardc. Wamebakiza mji wa bunagana ambapo ni mpakani kabisa na uganda. Bila shaka kufikia kesho mtasikia m23 imekwisha. Tuombe yasitokee tena mauaji kwa jwtz maana naambiwa wanafanya kweli huko front.
bado nasema mukamasimba hajielewi, ukiongea uwongo unatakiwa uwe unakumbuka vizuri.
mukamasimba anamaanisha kwamba m23 wamepelekwa na kagame kule drc ili kupambana na fdlr ili wawazuie wasije wakarudi rwanda(wawa-disturb fdlr).
Kwa upande mwingine mukamasimba anasema b4 mipaka haijagawanywa na wazungu watu walikuwa wana-move tu ndiyo watutsi wakawa wameenda kivu mipaka ilivyogawanywa wakawa wako huko kivu, (wahutu hawakwendaga kivu b4 mipaka haijagawanywa) sasa kama watutsi wa drc wako huko kivu wanaleta fujo hukko nyie rwanda (tutsi mukamasimba) inawahusu nini kama hao huko drc (m23)wakipigwa tu kwa sababu wanaleta fujo, wanauwa watu, wanabaka watoto/wamama, uwizi wa madini, uwizi wa mali za innocent civillians??
Au unamaanisha jaluo wa kenya akifanya uvunjifu wa sheria/amani huko kenya then akapigwa tu ina maana jaluo wa tz na serikali yake waende huko kenya wakawasaidie wajaluo wenzao kwa sababu wajaluo wanapigwa huko kenya??
Hawa watutsi waliohamia uganda, kenya, kigoma/kagera tz, burundi mbona hawaleti fujo/vita?? Mbona hakuna m23 huko??
Au kwanini huwaongelei hao???
M23 ni wanyarwanda raia hai wa rwanda tena watutsi waliovamia drc kwa ajili ya kuiba diamond na rasilimali nyingine kwa manufaa ya rwanda.
Rwanda ina rasilimali gani mpaka sasa inayojulikana??
mukamasimba wewe ni al saif wa kagame na nadhani unakesha kwenye jf kumtetea kagame tatizo ni kwamba unachanganyikiwa hujui hata uliandika nini b4 au hii id ya mukamasimba inatumika na more than 1 user.
It is said the Hutu arrived in central east Africa somewhere in the 1st century. Before then, the land was inhabited by the Twa. The Twa were pushed out and forced to flee by the Hutu. The Tutsi invaded around the 15th century. They came from the horn of Africa.
History of Hutu – Tutsi Relations | The Rwandan GenocideThe Tutsi, or originally Cushite, people migrated to Rwanda from the southern Ethiopian highlands, and were much taller and thinner in physique than the Bantu or Twa. Throughout the entire history of their population of Rwanda, the Tutsi have never exceeded 15% of the population. Despite their lack of numbers, the Cushite people arrived as conquerors. The Cushite were cattle-herding warriors, and they impressed their power upon the Bantu (and Twa) of the region.
By the 15th century, the Cushite had gained complete rule. They established an pyramid-style political structure, with the head being an Mwami, a king of supposedly divine origin. The reign of the Tutsi Mwami over Rwanda continued for several hundred years very successfully. Hutus who were wealthy enough were accepted as part of the elite along with the Tutsi, while poorer Hutus lived quite comfortably to themselves, provided they pay a tax to the Mwami. In brief, the Tutsi were in power and as such elevated themselves to higher class than the Hutus
Mkuu Mukamasimba Watanzania hatuna hulka/kawaida ya kupora rasilimali za Mataifa mengine, pili - Tanzania ina wanawake/wasichana wa kila sampuli - chaguo lako, Watanzania si limbukeni wa kutekwa na wanawake wa nchi nyingine mpaka akajikuta amezamia kabisa - kama ni suala la nyumba ndogo atatafuta hapa hapa sio kukimbilia nchi za wenzetu.Ndio maana vita hazitaisha kongo hata tz ikianza kusikia utamu wa kupora haitatoka huko wataoa wacongomani na kuzamia huko.