bado nasema
mukamasimba hajielewi, ukiongea uwongo unatakiwa uwe unakumbuka vizuri.
mukamasimba anamaanisha kwamba m23 wamepelekwa na kagame kule drc ili kupambana na fdlr ili wawazuie wasije wakarudi rwanda(wawa-disturb fdlr).
Kwa upande mwingine
mukamasimba anasema b4 mipaka haijagawanywa na wazungu watu walikuwa wana-move tu ndiyo watutsi wakawa wameenda kivu mipaka ilivyogawanywa wakawa wako huko kivu, (wahutu hawakwendaga kivu b4 mipaka haijagawanywa) sasa kama watutsi wa drc wako huko kivu wanaleta fujo hukko nyie rwanda (tutsi
mukamasimba) inawahusu nini kama hao huko drc (m23)wakipigwa tu kwa sababu wanaleta fujo, wanauwa watu, wanabaka watoto/wamama, uwizi wa madini, uwizi wa mali za innocent civillians??
Au unamaanisha jaluo wa kenya akifanya uvunjifu wa sheria/amani huko kenya then akapigwa tu ina maana jaluo wa tz na serikali yake waende huko kenya wakawasaidie wajaluo wenzao kwa sababu wajaluo wanapigwa huko kenya??
Hawa watutsi waliohamia uganda, kenya, kigoma/kagera tz, burundi mbona hawaleti fujo/vita?? Mbona hakuna m23 huko??
Au kwanini huwaongelei hao???
M23 ni wanyarwanda raia hai wa rwanda tena watutsi waliovamia drc kwa ajili ya kuiba diamond na rasilimali nyingine kwa manufaa ya rwanda.
Rwanda ina rasilimali gani mpaka sasa inayojulikana??
mukamasimba wewe ni al saif wa kagame na nadhani unakesha kwenye jf kumtetea kagame tatizo ni kwamba unachanganyikiwa hujui hata uliandika nini b4 au hii id ya
mukamasimba inatumika na more than 1 user.