MUKAMASIMBA
JF-Expert Member
- Aug 11, 2013
- 1,655
- 362
unapokuwa mwongo jaribu kukumbuka na ulichodanganya, ulipost hapa m 23 wameondoka GOMA kupisha mazungumzo ya amani na bisimwa kaenda kuungana na wenzake kwenye mazungumzo kampala sasa imekuwa mbinu ya kivita
MUKAMASIMBA,Hapo joka kuu umesema kama msomi,nakubaliana na wewe 100% lakini kuna watu wamekuja kwa agenda zao zingine wakijifunika mwamvuli wa UN,ambo hawataki M23 kabisaaa,tena M23 kwao ni kajisababu tu,lakini nia yao ni kuishambulia rwanda,sasa M23 kuingia porini imeharibu plan yao.
Mimi nawatetea wote kwani nimegundua asilimia kubwa humu jamvini wana tetea FDLR.
Ok, unatetea wote wapi?? Ina maana hata FDLR unawatetea au??
Acha upuuzi wewe,hunakifua cha kuingia rwanda,huwezi hata kuingi 1cm kama huja toweka duniani.
Utawalaani we mungu?
MUKAMASIMBA,
..nani atatoa fedha za ku-support mradi wa kuishambulia Rwanda?
..haya mambo ninavyoelewa mimi huwa yanaamuliwa[yanapewa baraka] na wakubwa, na nchi za Kiafrika huwa ni vibaraka/watekelezaji tu.
..kwa mfano, Mzee Kabila alipowatibua wakubwa, ndipo Rwanda na Uganda zilipopewa "dili" ya kwenda kumpindua.
..unless, unaamini kuwa Rwanda waliporuka all the way to Kitona na kujaribu kuizingira Kinshasa walikuwa na nia ya kuwasaka Interahamwe.
..kwa mtizamo wangu utawala wa Kagame bado unaheshimika kimataifa, na vilevile anakingwa na guilty ya mataifa makubwa kutokushiriki kuzuia genocide ya 1994. kwa msingi huo siyo rahisi ktk siku za karibuni kwa mataifa hayo kubariki uvamizi dhidi ya Rwanda.
..kuhusu m23, na taarifa kwamba wanakimbilia porini. Really!? This is 21 century, halafu kuna watu wanafikiria kuishi maporini?! Waathirika wakubwa wa uamuzi huo ni vijana[who form the majority of m23 fighters] ambao baadaye watashindwa kujichanganya na kupambana ktk dunia hii ya utandawazi.
msamehe bure tu mkuu, naona kapoteza network. Kipigo walichokipata m 23 kimewachanganya sana! kagame nafikiri anaattend toilet kila baada ya dakika. Kiujumla hamna tofauti kati ya m 23, rwanda na kagame. Kagame ni muuaji anayeongoza nchi ya rwanda kimabavu kwa kutumia kabila la kitusi waliowachache dhidi ya wengi wahutu. M 23 ni genge la kihuni lililoundwa na kagame kwa nia ya kupora mali asili ya DRC
janja ya wavamizi wa kitusi kutaka kurudi kongo
Hao m23 wameondoka maeneo waliokua wanakaa why jeshi la kongo halitoi maiti za wanamgambo wa m23 ...?????kama wameuwawa.
Haya na wewe umeamua kuiharibu Post yetu ya FLASH HIDER hivi hata vyombo vya habari husikilizi ???Hao m23 wameondoka maeneo waliokua wanakaa why jeshi la kongo halitoi maiti za wanamgambo wa m23 ...?????kama wameuwawa.
| |
| [h=2]Offensive of DRC's UN-backed military sends thousands fleeing into neighbouring Uganda. [/h] |
Mimi nawatetea wote kwani nimegundua asilimia kubwa humu jamvini wana tetea FDLR.
KINSHASA, Oct 30, 2013 (BERNAMA-NNN-SA NEWS) --
South Africa and the Democratic Republic of Congo (DRC) have signed a treaty for the construction of the 40,000-MW Grand Inga Hydro-electric Power Project on the Congo River, which is expected to become the biggest in the world, generating enough electricity to power half of Africa's needs.
The treaty also included provisions paving the way for South African utility Eskom and DRC utility Societe Nationale d'Electricite to enter into an agreement to facilitate execution of the project.
President Jacob Zuma, who made the announcement while addressing the Parliament of the DRC in Kinshasa Tuesday Oct 29, 2013, said the treaty was a major step towards the realisation of the long cherished dream of the people of the DRC.
"It is with great pleasure that an important treaty on the Grand Inga Hydro-power Project has been signed this morning. This long talked about project has got the potential to change the economic prospects of the DRC, the region and the continent," said Zuma, who is on an official visit to the DRC.
Ayaa sasa FLASH HIDER upo apooo!
Hii ni break newz! imetoka jana tuu kwenye vyombo mbali mbali vya habari,
Project hii ya Grand Inga Hydro-electric ina ya thamani ya $120 billion, Kimsingi wa South Africa hawatatoa cash ila walipeleka scope yao ya hii project World Bank kwa ajili ya mkopo, WB ika kubali kutoa mkopo kwa South Africa ili iweze kuendesha mradi huu kwa masharti ya kusimamia ulinzi na ?political stability kwa DRC ktk mpango mzima wa kutengeneza faida na kunusuru mihela ya WB na ndani ya miaka 20 wanatakiwa wawe wamerudisha mkopo na riba, hii project inatakiwa kuanza rasmi mwaka 2015!
Sasa ukiangalia vizuri hii si biashara bali ni 'wizi' wa mchana mchana yaani wa South Africa wamsaidie na kumlinda kabila ili aendelee kukaa madarakani huku wao wakijilipa sehemu kubwa ya returns & profits za Grand Inga Hydro-electric Power Project. All in all WB inasema project hii itanyanyua uchumi na maisha ya wacongoman kwa kiasi kikubwa!
Na sisi wa TZ sijui tumepata nini zaidi ya vi allowance vidogo vidogo vya MONUSCO kutoka UN, huku wajanja wakimsainisha kabila mikata ya kilaghai na kuchukua chao mapema wakati vijana wetu wa JWTZ wakitandikwa risasi kila siku wakirudishwa kwenye masunduku.
vipi yale mabomu yaliyopiga rwanda kagame akawa analilia UN kama mbuzi unafikiri ni kifua cha nani?
Bwana joka kuu unafikiri utafanyaje wakati congo haitaki kuwapa amnesty tena congo adhabu ya muasi ni kifo hapo nikuana tu, bora wakubali waelewane yaishe.
Ona wenzenu wanasaini madeal ya pesa nyingi nyinyi -->## #WHAT WE GET IS IN GOV'T SECRET, AND THIS IS FOR GENUINE AND PARMANENT ELECTRICITY FOR DRC, INCLUDING POWERFULL ARMY BASE WITH MODERN ARTiLLARY.SO THAT RESOURCE THIEVES CAN'T SUCCESS ANY MORE
Mokala, the fact that Rwanda did not act on the provocation by DRC forces does not mean that they are cowards. From my experience i know rwandese are not cowards.