MUKAMASIMBA
JF-Expert Member
- Aug 11, 2013
- 1,655
- 362
m 23 waliapa hawaondoki goma, kilichowakimbiza na kuacha silaha nyingi na vyakula ni nini? au walikuwa hawajui walichokuwa wanakisema?
Kwa watu wakawaida kamanyie hamuwezi kujua kinacho endelea,wakati mwingine inabidi kua flexible,katika mambo ya kijeshi inabidi kumsoma mwenzako akibadilisha nawewe unabadilisha,sasa kutokana na wingi wa majeshi ya UN jamaa wameona hawawezi kua defensive tena sasa inabidi wabadili wawe offensive ni wao watakao kua waki attack kama ilivyo kua kwa FARDC NA UN,hivi UN watakua defensive sana na M23 watakua offensive ambacho itakua advantage kwa M23 ambao ni wachache mpaka watakapo kubali kuwasikiliza na kuwapa wanavyo taka.