Uliza lolote kuhusu mgogoro ndani ya DRC hasa mapigano kati ya M23 na FARDC

m 23 waliapa hawaondoki goma, kilichowakimbiza na kuacha silaha nyingi na vyakula ni nini? au walikuwa hawajui walichokuwa wanakisema?

Kwa watu wakawaida kamanyie hamuwezi kujua kinacho endelea,wakati mwingine inabidi kua flexible,katika mambo ya kijeshi inabidi kumsoma mwenzako akibadilisha nawewe unabadilisha,sasa kutokana na wingi wa majeshi ya UN jamaa wameona hawawezi kua defensive tena sasa inabidi wabadili wawe offensive ni wao watakao kua waki attack kama ilivyo kua kwa FARDC NA UN,hivi UN watakua defensive sana na M23 watakua offensive ambacho itakua advantage kwa M23 ambao ni wachache mpaka watakapo kubali kuwasikiliza na kuwapa wanavyo taka.
 
Aljazira wanadai zaidi ya wakimbizi 800,000 wamekimbilia ugandaje namba hii ni sahihi ya watu waliokimbia makazi yao?(yaani mtaani hapana watu kabisa)

Huko kumezuka kikundi kingine kina itwa M18 ndicho kinapambana na FRDC ituri.
 
M23 no existence militarily but ideologilically it is there and will last forever,hivi watusi wote wa kongo wamefukuzwa kutoka katika nchi yao lakini sikumoja watarudi na kama congo imeamua kutatua kwa njia hiyo imejidanganya ni kwamba watarudi kwa aridhi ya mababu zao, hakutakua amani kivu daima.

maneno ya mkosaji
 
Aljazira wanadai zaidi ya wakimbizi 800,000 wamekimbilia ugandaje namba hii ni sahihi ya watu waliokimbia makazi yao?(yaani mtaani hapana watu kabisa)

janja ya wavamizi wa kitusi kutaka kurudi kongo
 
Mimi namini huko VIRUNGA tutume FDLR tu!

Mbona FDLR ndio wako mstari wambele na watanzania kuwapiga M23! hakuna cha ajabu wakati wote hawa FDLR wametumiwa mstari wambele wakihaidiwa kusaidiwa kuishambulia rwanda na kutokana na mapigo ya M23 baadhi wamenza kurudi rwanda na wengine kama 20 wamezuiliwa na UN eti wasirudi kwani wanahofu ya kutobolewa siri yao na UN.
 
Kwa watu wakawaida kamanyie hamuwezi kujua kinacho endelea,wakati mwingine inabidi kua flexible,katika mambo ya kijeshi inabidi kumsoma mwenzako akibadilisha nawewe unabadilisha,sasa kutokana na wingi wa majeshi ya UN jamaa wameona hawawezi kua defensive tena sasa inabidi wabadili wawe offensive ni wao watakao kua waki attack kama ilivyo kua kwa FARDC NA UN,hivi UN watakua defensive sana na M23 watakua offensive ambacho itakua advantage kwa M23 ambao ni wachache mpaka watakapo kubali kuwasikiliza na kuwapa wanavyo taka.

unapokuwa mwongo jaribu kukumbuka na ulichodanganya, ulipost hapa m 23 wameondoka GOMA kupisha mazungumzo ya amani na bisimwa kaenda kuungana na wenzake kwenye mazungumzo kampala sasa imekuwa mbinu ya kivita
 
Mzee unaota vibaya,kagame haendi popote,lakini nikuulize kama kuna wapiganaji/wapinzani wa tanzania walioua watu tanzania wakaenda rwanda ikawahifadhi na kuwapa silaha za kushambulia tanzania wewe utafanyaje?

kwa bahati mbaya hapa kwetu TZ hatuna ujinga wa namna hiyo, hata ukifuatilia migongano yetu ya maslahi ya Taifa letu inamalizwa kwa nguvu ya hoja...tafakari kabla ya kutoa maoni yako
 
Hivi wewe MUKAMASIMBA unatetea tutsi, m23, Kagame au Rwanda??

msamehe bure tu mkuu, naona kapoteza network. Kipigo walichokipata m 23 kimewachanganya sana! kagame nafikiri anaattend toilet kila baada ya dakika. Kiujumla hamna tofauti kati ya m 23, rwanda na kagame. Kagame ni muuaji anayeongoza nchi ya rwanda kimabavu kwa kutumia kabila la kitusi waliowachache dhidi ya wengi wahutu. M 23 ni genge la kihuni lililoundwa na kagame kwa nia ya kupora mali asili ya DRC
 
Kumbe tunaongea na Ghost hata asiyejua nini kinachoendelea. Watu washatuma ujumbe UN na US kupata resolution ya kuwalazimisha Rwanda na Uganda wawanyang'anye silaha M23 na kuwakabidhi viongozi waliojisalimisha kwa ajili ya kushtakiwa, wewe bado unaota M23 leo hii?-Shabbash!

Kwanini msiwashuritishe nyinyi wenyewe mpaka amerika na UN? M23 wako congo na mtacheza nao hata miaka 100 mpaka mkubali.
 
Mzee unaota vibaya,kagame haendi popote,lakini nikuulize kama kuna wapiganaji/wapinzani wa tanzania walioua watu tanzania wakaenda rwanda ikawahifadhi na kuwapa silaha za kushambulia tanzania wewe utafanyaje?
Tanzania kwenye vita wajanja kama Marekani, haipigani nyumbani ila mpakani au kwa jirani na mwisho wa mchezo mpaka adui tumtie ndani. Omba tuwe hai yatakayojiri soon, ili uje kushuhudisha vizuri hapa jukwaani. Am telling u yule bwana wenu ndio anang'oka tena, hata ile strategy ya ki-Putin aliyokuwa anataka kuifanya haitawezekana tena. Ucha ubishani mkuu tunajua kila kinachoendelea tena kwa umakini mkubwa kama hujui kaa kimya uhabarishwe.
 
msamehe bure tu mkuu, naona kapoteza network. Kipigo walichokipata m 23 kimewachanganya sana! kagame nafikiri anaattend toilet kila baada ya dakika. Kiujumla hamna tofauti kati ya m 23, rwanda na kagame. Kagame ni muuaji anayeongoza nchi ya rwanda kimabavu kwa kutumia kabila la kitusi waliowachache dhidi ya wengi wahutu. M 23 ni genge la kihuni lililoundwa na kagame kwa nia ya kupora mali asili ya DRC
Hakuna naweza kukujibu kwani nimekuta uko muhutu warwanda interahamwe inayo jifanya mtanzania please usinipotezee pumzi yangu.
 
kwa bahati mbaya hapa kwetu TZ hatuna ujinga wa namna hiyo, hata ukifuatilia migongano yetu ya maslahi ya Taifa letu inamalizwa kwa nguvu ya hoja...tafakari kabla ya kutoa maoni yako

Bahati yenu,tena tumshukuru mungu ndio sababu huwezi muelewa kagame.
 
Tanzania kwenye vita wajanja kama Marekani, haipigani nyumbani ila mpakani au kwa jirani na mwisho wa mchezo mpaka adui tumtie ndani. Omba tuwe hai yatakayojiri soon, ili uje kushuhudisha vizuri hapa jukwaani. Am telling u yule bwana wenu ndio anang'oka tena, hata ile strategy ya ki-Putin aliyokuwa anataka kuifanya haitawezekana tena. Ucha ubishani mkuu tunajua kila kinachoendelea tena kwa umakini mkubwa kama hujui kaa kimya uhabarishwe.

Pole sana,nafikiri niliwaeleza kwamba watanzania congo walienda wakiwa na agenda nyingine na wewe umelithibitisha hilo asante kwa ku prove me right.
 
Kwanini msiwashuritishe nyinyi wenyewe mpaka amerika na UN? M23 wako congo na mtacheza nao hata miaka 100 mpaka mkubali.
Ndiyo maana nakwambia ww jamaa una IQ ndogo sana kama ya sisimizi au ni kama MZIMU, sasa hata nafasi ya International Organization huijui. Kwani hao FIB wako frontline ni kutokana na nn? Ndio kanuni za kimataifa zinavyoendeshwa kwanza unajenga hoja ili upate approval. Bwana wako akigoma ndio watu wanapitisha resolution jengine kwa kisingizio kiitwacho R2P, then watu wanaingia uwanjani. Leo itabidi PK akuongezee posho maana umejibu kila hoja utadhani mko 100.
 
Thank you kwa kunitukana.
 
Back
Top Bottom