MUKAMASIMBA,
..nani atatoa fedha za ku-support mradi wa kuishambulia Rwanda?
..haya mambo ninavyoelewa mimi huwa yanaamuliwa[yanapewa baraka] na wakubwa, na nchi za Kiafrika huwa ni vibaraka/watekelezaji tu.
..kwa mfano, Mzee Kabila alipowatibua wakubwa, ndipo Rwanda na Uganda zilipopewa "dili" ya kwenda kumpindua.
..unless, unaamini kuwa Rwanda waliporuka all the way to Kitona na kujaribu kuizingira Kinshasa walikuwa na nia ya kuwasaka Interahamwe.
..kwa mtizamo wangu utawala wa Kagame bado unaheshimika kimataifa, na vilevile anakingwa na guilty ya mataifa makubwa kutokushiriki kuzuia genocide ya 1994. kwa msingi huo siyo rahisi ktk siku za karibuni kwa mataifa hayo kubariki uvamizi dhidi ya Rwanda.
..kuhusu m23, na taarifa kwamba wanakimbilia porini. Really!? This is 21 century, halafu kuna watu wanafikiria kuishi maporini?! Waathirika wakubwa wa uamuzi huo ni vijana[who form the majority of m23 fighters] ambao baadaye watashindwa kujichanganya na kupambana ktk dunia hii ya utandawazi.