Uliza lolote kuhusu mgogoro ndani ya DRC hasa mapigano kati ya M23 na FARDC

Du!we mnyarwanda kabisa jinsi ulivyo na uchungu na kagame inadhihilika,ungekua mtanzania ungeyaona ya kikwete kwani naye wapinzani hawafumbii macho.

Ujana wangu nimeishi na kusoma kule....The guy is bad na tofauti ya yeye na Iddi Amini ni kwamba PK amesoma na ana wasomi wanaomsaidia kwa ushauri ila uuaji ni ule ule japo PK hali watu.
 
Sasa kama unakiri kuwa tulikubaliana na masharti sisi wenyewe kinachokufanya ulalame kuhusu WB na IMF ni nini? Matatizo yetu tumejiletea wenyewe kabla ya IMF na WB kuingia, walipokuja na baada ya kuingia.
Wewe jamaa usigeuze maneno! hapa nlipobold hakireflect nilichoandika kuhusu genesis ya foreigner's involvement, soma kwa umakini. Lakini si hivyo tu kama unajua Tanzania's economic history in early to mid 80's, huwezi comment kitu kirahisi hivyo.Mtazamo wako naufananisha na mtu aliyevamiwa na jambazi akawekewa mtutu wa bunduki atoe hela, halafu akatoa kwa ajili ya kuokoa maisha yake! Baadae jirani yake amlaumu kuwa shauri yako umetoa hela zako, si ungekataa.
 
..... kazi ya JWTZ ni kumkimbiza adui na kumtoa ndani ya mipaka yake pia....UGANDA 1978, COMORO 2000's

Why Not in Somalia jeshi la Tz bado sanaaaa.....!!!! Waliombwa na AU kwenda somalia wakaogopa.
 
Sibishani na wewe ila soma historia ya TZ vizuri. Hapo kwenye red nadhni umepotopka kidogo kaka. 1978/79 kule Uganda ilikuwa ni vita au hutambui?

Kumbe hapa tunabishana sio kuelekezana fact dah kazi ipo DNA HAIBADILIKI.....
 
[h=1]M23 forces are quite intact.[/h]
M23 fighters
[h=3]SOME POINTERS AS THINGS UNFOLD[/h]By Dr Antoinette KANKINDI

1) In Bunagana: Julien Paluku was supposed to appear last thursday in Bunagana and the population was waiting for him. He never came. This is what happened: he was airlifted by MONUSCO up to Tschengerero, where he made a super brief appearance and huddled back to the helicopter promptly. He understood that FARDC-FDLR-FIB-MONUSCO have been disbanded in Jomba by M23 soldiers. Whatever happened to all the triumphalism he used in Rutshuru, reinstating the maire. The media close to the International community's agenda will not tell you that FARDC coalition units 805 and 806 were destroyed in Jomba. So Paluku might have taken my warning yesterday into account, even if minimally, he knows he should not go into Bunagana. And he is already moving around on by choppers, not safe to go by road. I am too sure the choppers are that safe either. And he is not the only one to know that Bunagana isn't a secured position for the government. No media will report on the Jomba destruction of Units 805 and 806 because they cannot find a way of blaming that on Rwanda or Uganda and it would mean they must acknowledge what I said yesterday: M23 forces are quite intact.

2) FARDC-FDLR-FIB-MONUSCO coalition in Bunagana: They came, yes. They brought their arsenal to fight what they are calling, to use Jeune Afrique expression "une centaine d'irréductibles retranchés à Chanzu". Ok, only a few hundreds? That's what they pay the media to say. But this coalition knows the moment of walks in the park could shortened. Do you want a proof? They have collected their stock of arms and now are taking them back to Rutshuru. Why? They are afraid, the Jomba episode was quite swift, they know they are not in their "territory" just as yet. The problem is that they are protecting their ammunition, but they have to stick around to give the International community leverage to continue talking about FARDC victories. However, now they are hungry. Remember what FARDC do when they are hungry or simply whenever they can? They loot. That is what the Bunagana population waiting for Paluku had to put up with. Next thing you'll hear about rape, assassinations, etc… And mind you Human rights watch and enough project won't right any reports on that. You can thank me for telling you, haha.

3) Why are the coalition soldiers getting hungry? Because MONUSCO that's been proving food supplies cannot cope with 20,000 soldiers swarming the area from Kibumba to Bunagana. This International Community is just unbelievable! If you commit to feed Kabila's coalition including génocidaires, then feed them well and daily wherever you have pushed them to go, if not they are a danger for civilians with this looting and extortion.

4) What is transpiring from Kampala: the International Community ally to Kabila is making sure we are advancing towards war no matter what. The reason is that the only talk going for Kabila is reintegration, may be with some amnesty; and for the International community, the only word is disarmament of M23. Note that they both know that Reintegration and Disarmament are out of question. Kinshasa and IC cannot hide their determination to perpetuate the war since their demands actually means simply that. Did I say my people need patience? I should add more determination than ever. In this era of corrupt deals everywhere, we must dare to stand and not compromise on what we believe in.
M23 forces are still intact and General Makenga is using his time in thorough training. His resistance with the support of his people, wherever we are is the key to the problem at hand.
 
Hivi akili zako ziko kichwani au kwenye ma------??et Idd Amin alipigana peke ake!! Rudi darasani ukasome historia ndo urudi tena hapa kuchamba ok....Ki Rwanda chenu kikijaribu tu kitapata kipigo cha mbwa mwizi na huo ndo utakua mwisho wa utawala wa watutsi huko rwanda...maana kwa sasa tu mkia uko matakoni hakuna a wala che...kimyaaa kama wamemwagiwa maji...chezea JWTZ ww.
Mahali popote utasema nakupa ukweli mtupu usio chakachuliwa mkuu,upo hapooo?
 
Hivi akili zako ziko kichwani au kwenye ma------??et Idd Amin alipigana peke ake!! Rudi darasani ukasome historia ndo urudi tena hapa kuchamba ok....Ki Rwanda chenu kikijaribu tu kitapata kipigo cha mbwa mwizi na huo ndo utakua mwisho wa utawala wa watutsi huko rwanda...maana kwa sasa tu mkia uko matakoni hakuna a wala che...kimyaaa kama wamemwagiwa maji...chezea JWTZ ww.

Maneno yako yapo sahihi sana. Huyu bwana haijui historia ya TZ. Nenda SA, MSUMBIJI, ZIMBABWE, NAMIBIA nk kote huko wanajua kuwa ukitaka kuwa mjeshi wa ukweli, kajifunzie TZ. Leo hii hata Uganda kuna JWTZ wanafundisha huko. Angekuwa hai ningekueleza nenda kamwulize Gddafi. Mbaka leo ndege zake alizokuwa anazitumia kuishambulia TZ kumsaidia Idd Amini zipo Bongo. Ukweli kivita TZ iko mbali sana. Ila tafadhalini jamani, tujaribu kidogo kupunguza jazba.
 
Ni kweli kabisa hapa Goma kuna muda kunakuwa na matatizo ya Umeme (low voltage). Nina kaofisi hapa town nilifunga inverter inayonisaidia. Haya yote niyaandikayo ninayafanyia nikiwa ofisini kwangu nikisubiri deal. Lakini suala kwani ni nini? Ni location yangu au taarifa nilizonazo ambazo hata wewe ukijenga tu interest zipo tele. Soma mitandaoni kila kitu kipo tena wazi. Usiumize kichwa kaka.

.
Goma nasikia umeme ni matatizo ila nakuona uko kwenye net 24hrs. halafu unatuambia kuwa wewe ni mfanyabiashara. mfanyabiashara gani anakaa kwenye internet masaa yote hayo? Usitudanganye bwana.
 
Nia yangu ilikuwa ni kuweka sawa kumbukumbu kuhusu vita ya Uganda, sikutaka kuzungumzia sababu za kwanini sisi ni masikini. Hayo ni ya wachumi na wanasiasa ambako mimi sitaki kuingia katika mjadala huo kwa sasa.

Unataka kutuambia kuwa hiyo vita ndio imesababisha umaskini wetu? Sasa mbona uganda ilibaki ni kifusi tu baada ya vita lakini sasa wanapaa. Mimi nazani hio sio execuse kabisa. Sema tuna uongozi mbovu tu
 
M23 forces are quite intact.

M23 fighters
SOME POINTERS AS THINGS UNFOLD

By Dr Antoinette KANKINDI

1) In Bunagana: Julien Paluku was supposed to appear last thursday in Bunagana and the population was waiting for him. He never came. This is what happened: he was airlifted by MONUSCO up to Tschengerero, where he made a super brief appearance and huddled back to the helicopter promptly. He understood that FARDC-FDLR-FIB-MONUSCO have been disbanded in Jomba by M23 soldiers. Whatever happened to all the triumphalism he used in Rutshuru, reinstating the maire. The media close to the International community's agenda will not tell you that FARDC coalition units 805 and 806 were destroyed in Jomba. So Paluku might have taken my warning yesterday into account, even if minimally, he knows he should not go into Bunagana. And he is already moving around on by choppers, not safe to go by road. I am too sure the choppers are that safe either. And he is not the only one to know that Bunagana isn't a secured position for the government. No media will report on the Jomba destruction of Units 805 and 806 because they cannot find a way of blaming that on Rwanda or Uganda and it would mean they must acknowledge what I said yesterday: M23 forces are quite intact.

2) FARDC-FDLR-FIB-MONUSCO coalition in Bunagana: They came, yes. They brought their arsenal to fight what they are calling, to use Jeune Afrique expression "une centaine d'irréductibles retranchés à Chanzu". Ok, only a few hundreds? That's what they pay the media to say. But this coalition knows the moment of walks in the park could shortened. Do you want a proof? They have collected their stock of arms and now are taking them back to Rutshuru. Why? They are afraid, the Jomba episode was quite swift, they know they are not in their "territory" just as yet. The problem is that they are protecting their ammunition, but they have to stick around to give the International community leverage to continue talking about FARDC victories. However, now they are hungry. Remember what FARDC do when they are hungry or simply whenever they can? They loot. That is what the Bunagana population waiting for Paluku had to put up with. Next thing you'll hear about rape, assassinations, etc… And mind you Human rights watch and enough project won't right any reports on that. You can thank me for telling you, haha.

3) Why are the coalition soldiers getting hungry? Because MONUSCO that's been proving food supplies cannot cope with 20,000 soldiers swarming the area from Kibumba to Bunagana. This International Community is just unbelievable! If you commit to feed Kabila's coalition including génocidaires, then feed them well and daily wherever you have pushed them to go, if not they are a danger for civilians with this looting and extortion.

4) What is transpiring from Kampala: the International Community ally to Kabila is making sure we are advancing towards war no matter what. The reason is that the only talk going for Kabila is reintegration, may be with some amnesty; and for the International community, the only word is disarmament of M23. Note that they both know that Reintegration and Disarmament are out of question. Kinshasa and IC cannot hide their determination to perpetuate the war since their demands actually means simply that. Did I say my people need patience? I should add more determination than ever. In this era of corrupt deals everywhere, we must dare to stand and not compromise on what we believe in.
M23 forces are still intact and General Makenga is using his time in thorough training. His resistance with the support of his people, wherever we are is the key to the problem at hand.
Mkuu are you sure si Jeshi la Rwanda hilo?
Kama ndilo liseme basi ili kieleweke na vijana wapashe misuli kwa kazi ya kufyeka na kumaliza udhia.
 
Mkuu inabidi upate habari toka sehemu mbalimbali kwani kabila aliisha nunua mashirika yahabari mashuhuri kuupata ukweli siorahisi,wewe pima mwenyewe na situation inayoendelea congo nautaujua ukweli,rwanda haimo.
 
[h=1]wakati tunaendelea kumchana Kagame na serikali yake, hebu tusome kidogo taarifa hiyo hapo chini. Katikati ya machafuko na hivyo vita mashariki mwa DRC, Kagame anendelea kufanya kazi zake zingine. Tujifunze haya mazuri kutoka kwake badala ya kumshambulia kwa tuhuma zisizo na msingi.
..........................................................................................................................................................................................................

Rwanda's improving business environment is turning heads[/h] BY Kate Douglas | 1 November 2013 at 15:56

This week the World Bank and IFC released the 2014 global Doing Business report that shows Rwanda has shot up 22 spaces in the rankings since last year, now in 32nd place in the world in terms of overall ease of doing business.

Rwanda has overtaken South Africa for the title of the second easiest country in Africa in which to start and run a business, having been in fourth place in Africa in last year's rankings. Mauritius remains in first place.
According to the report, economies are ranked on their ease of doing business, from 1-189. A high ranking on the index (from 1-90 for example) means the regulatory environment is more conducive to starting and operating a local firm. The rankings for all economies in the 2014 report are benchmarked to June 2013, and see the inclusion of four new economies in the rankings this year, two of which include Libya and Africa's newest country, South Sudan.
Of the 10 economies that have improved the most across three or more areas measured by Doing Business in 2012/13, Rwanda is the second best performing country globally in the 2014 report. Interestingly, Djibouti is in 6th place globally, Côte d‘Ivoire is in 7th and Burundi is in 8th place in this ranking.
In last year's Doing Business report, Rwanda was also highlighted as one of the countries in the world that has made great strides to improve its business environment.
Alongside climbing the overall global rankings, Rwanda has performed well in a number of categories this year.
In the ease of starting a business category, Rwanda comes in at an impressive 9th place out of 189 global economies. "Rwanda made starting a business easier by reducing the time required to obtain a registration certificate," stated the report.
In the registering property category, which looks at how easy it is for an entrepreneur to transfer property, Rwanda jumped from 62nd place to an astounding 8th place in the global rankings.
Rwanda also saw improvements in the category of getting credit, where it jumped from a global ranking of 24 to 13th place. In the protecting investors category,
Rwanda jumped from 32nd place last year to 22nd place this year. There were also gains in the rankings concerning the ease of resolving insolvency, where Rwanda leapt from 166th position in last year's rankings to 137th place this year.
Trading across borders remains a low performing category for Rwanda, ranking in at 162nd globally. However, according to the Doing Business 2014 report, "Rwanda made trading across borders easier by introducing an electronic single-window system at the border".
Furthermore, Rwanda is the top country in the world to have advanced the furthest towards the regulatory frontier since 2005.
"The distance to frontier measure shows how far on average an economy is at a point in time from the best performance achieved by any economy on each Doing Business indicator since 2003, or the first year in which data for the indicator were collected," the report explains.
Of the 50 economies narrowing the distance to frontier the most since 2005, 19 were in Africa. Burkina Faso was in 6th place in this index, Burundi in 9th, Egypt in 10th and Mali in 11th, followed by Sierra Leone in 12th place globally.
Read our country profile on Rwanda to find out more about the East African country's business

Why Not in Somalia jeshi la Tz bado sanaaaa.....!!!! Waliombwa na AU kwenda somalia wakaogopa.

Hata jeshi la Angola, Misri, Algeria, Cuba, German, China na Russia ni bado saaaanaa kwa kuwa hawapo somalia!!!!!!!!!!!!?. Duuh!, hakika ni wazi kuwa umetumia products za makalio yako kufikiri !.
 
[h=1]United Kingdom's Proxy Wars in Africa: The Case of Rwanda and DR Congo[/h]
The Rwandan genocide and 6,000,000 Congolese and Hutu refugees killed are the culminating point of a long UK's battle to expand their influence to the African Great Lakes Region. UK supported Kagame's guerrilla war by providing military support and money. The UK refused to intervene in Rwanda during the genocide to allow Kagame to take power by military means that triggered the genocide. Kagame's fighters and their families were on the Ugandan payroll paid by UK budget support.

· 4 Heads of State assassinated in the francophone African Great Lakes Region.
· 2,000,000 people died in Hutu and Tutsi genocides in Rwanda, Burundi and RD.Congo.
· 600,000 Hutu refugees killed in R.D.Congo, Uganda, Central African Republic and Rep of Congo.
· 6,000,000 Congolese dead.
· 8,000,000 internal displaced people in Rwanda, Burundi and DR. Congo.
· 500,000 permanent Rwandan and Burundian Hutu refugees, and Congolese refugees around the world.
· English language expansion to Rwanda to replace the French language.
· 20,000 Kagame's fighters paid salaries from the British Budget Support from 1986 to present.
· £500,000 of British taxpayer's money paid, so far, to Kagame and his cronies through the budget support, SWAPs, Tutsi-dominated parliament, consultancy, British and Tutsi-owned NGOs.
· Kagame has paid back the British aid received to invade Rwanda and to strengthen his political power by joining the East African Community together with Burundi, joining the Commonwealth, imposing the English Language to Rwandans to replace the French language; helping the British to establish businesses and to access to jobs in Rwanda, and to exploit minerals in D.R.Congo.

United Kingdom's Proxy Wars in Africa: The Case of Rwanda and DR Congo
 
Mkuu inabidi upate habari toka sehemu mbalimbali kwani kabila aliisha nunua mashirika yahabari mashuhuri kuupata ukweli siorahisi,wewe pima mwenyewe na situation inayoendelea congo nautaujua ukweli,rwanda haimo.
Uwe mkweli vile vile kwa nafsi yako.
Hao askari unaowaonyesha si rag tag outfits.
Ni watu wako organised kama a regular army, which can only mean ni extension ya jeshi la Rwanda.
Kumsingizia Kabila haiwasaidiii sana maana hata drones za kuchunguza miennendo ya hao M23 mko kwenye record kupinga hilo.
 
United Kingdom's Proxy Wars in Africa: The Case of Rwanda and DR Congo

The Rwandan genocide and 6,000,000 Congolese and Hutu refugees killed are the culminating point of a long UK's battle to expand their influence to the African Great Lakes Region. UK supported Kagame's guerrilla war by providing military support and money. The UK refused to intervene in Rwanda during the genocide to allow Kagame to take power by military means that triggered the genocide. Kagame's fighters and their families were on the Ugandan payroll paid by UK budget support.

· 4 Heads of State assassinated in the francophone African Great Lakes Region.
· 2,000,000 people died in Hutu and Tutsi genocides in Rwanda, Burundi and RD.Congo.
· 600,000 Hutu refugees killed in R.D.Congo, Uganda, Central African Republic and Rep of Congo.
· 6,000,000 Congolese dead.
· 8,000,000 internal displaced people in Rwanda, Burundi and DR. Congo.
· 500,000 permanent Rwandan and Burundian Hutu refugees, and Congolese refugees around the world.
· English language expansion to Rwanda to replace the French language.
· 20,000 Kagame's fighters paid salaries from the British Budget Support from 1986 to present.
· £500,000 of British taxpayer's money paid, so far, to Kagame and his cronies through the budget support, SWAPs, Tutsi-dominated parliament, consultancy, British and Tutsi-owned NGOs.
· Kagame has paid back the British aid received to invade Rwanda and to strengthen his political power by joining the East African Community together with Burundi, joining the Commonwealth, imposing the English Language to Rwandans to replace the French language; helping the British to establish businesses and to access to jobs in Rwanda, and to exploit minerals in D.R.Congo.

United Kingdom's Proxy Wars in Africa: The Case of Rwanda and DR Congo
Hapo kwenye red.
Ndiyo maana Kagame alithubutu kusema atamfanyizia Kikwete!!!!!
Kumbe anafadhiliwa.
 
Why Not in Somalia jeshi la Tz bado sanaaaa.....!!!! Waliombwa na AU kwenda somalia wakaogopa.
mkitukaribisha somalia tutakuja....tuiteni kwa UN RESOLUTION kama ya Congo......sio kusubiri kushambuliwa kwanza!
Tunaenda kwa resolution ya kumfuta adui.....
 
Back
Top Bottom