MUKAMASIMBA
JF-Expert Member
- Aug 11, 2013
- 1,655
- 362
Kwahiyo MUKAMASIMBA mambo yakiwa si shwari hapo BUNAGANA wewe unafurahia? Lengo lako nini hasa? Unataka watu wafe? Kwani hutaki kuamini kuwa kuna watu wanaoitwa Wahutu tena nao wana haki ya kuishi? Umeelimishwa na Wasomi wazuri tu hapa JF nikadhani utaalewa. Usiwe na damu ya kushambikia watu kuuawa. Tuzungumzie masuala ya maana ya jinsi ya kuijenga DRC nayo ifaidi amani kama nchi nyingine. Tuzungumzie namna ya kuimarisha ulinzi katika maeneo ambayo yamekwishakombolewa na FARDC kutoka kwa M23.
Sasa wewe watajenga congo kivipi wakati tabaka fulani la wakongo wanabaguliwa?kwanza watulie waelewane lakini kama ni vita M23 wataipigana mpaka wasikilizwe,kuhusu kuua raia M23 haiuwi raia hatakidogo wao wanapambana na jeshi,narudia kukuambia FIB wamebamizwa huko bunagana.