Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 9,626
- 6,731
Du!we mnyarwanda kabisa jinsi ulivyo na uchungu na kagame inadhihilika,ungekua mtanzania ungeyaona ya kikwete kwani naye wapinzani hawafumbii macho.
Wewe jamaa usigeuze maneno! hapa nlipobold hakireflect nilichoandika kuhusu genesis ya foreigner's involvement, soma kwa umakini. Lakini si hivyo tu kama unajua Tanzania's economic history in early to mid 80's, huwezi comment kitu kirahisi hivyo.Mtazamo wako naufananisha na mtu aliyevamiwa na jambazi akawekewa mtutu wa bunduki atoe hela, halafu akatoa kwa ajili ya kuokoa maisha yake! Baadae jirani yake amlaumu kuwa shauri yako umetoa hela zako, si ungekataa.Sasa kama unakiri kuwa tulikubaliana na masharti sisi wenyewe kinachokufanya ulalame kuhusu WB na IMF ni nini? Matatizo yetu tumejiletea wenyewe kabla ya IMF na WB kuingia, walipokuja na baada ya kuingia.
..... kazi ya JWTZ ni kumkimbiza adui na kumtoa ndani ya mipaka yake pia....UGANDA 1978, COMORO 2000's
Sibishani na wewe ila soma historia ya TZ vizuri. Hapo kwenye red nadhni umepotopka kidogo kaka. 1978/79 kule Uganda ilikuwa ni vita au hutambui?
Mahali popote utasema nakupa ukweli mtupu usio chakachuliwa mkuu,upo hapooo?Hivi akili zako ziko kichwani au kwenye ma------??et Idd Amin alipigana peke ake!! Rudi darasani ukasome historia ndo urudi tena hapa kuchamba ok....Ki Rwanda chenu kikijaribu tu kitapata kipigo cha mbwa mwizi na huo ndo utakua mwisho wa utawala wa watutsi huko rwanda...maana kwa sasa tu mkia uko matakoni hakuna a wala che...kimyaaa kama wamemwagiwa maji...chezea JWTZ ww.
Hivi akili zako ziko kichwani au kwenye ma------??et Idd Amin alipigana peke ake!! Rudi darasani ukasome historia ndo urudi tena hapa kuchamba ok....Ki Rwanda chenu kikijaribu tu kitapata kipigo cha mbwa mwizi na huo ndo utakua mwisho wa utawala wa watutsi huko rwanda...maana kwa sasa tu mkia uko matakoni hakuna a wala che...kimyaaa kama wamemwagiwa maji...chezea JWTZ ww.
Goma nasikia umeme ni matatizo ila nakuona uko kwenye net 24hrs. halafu unatuambia kuwa wewe ni mfanyabiashara. mfanyabiashara gani anakaa kwenye internet masaa yote hayo? Usitudanganye bwana.
Unataka kutuambia kuwa hiyo vita ndio imesababisha umaskini wetu? Sasa mbona uganda ilibaki ni kifusi tu baada ya vita lakini sasa wanapaa. Mimi nazani hio sio execuse kabisa. Sema tuna uongozi mbovu tu
Kumbe hapa tunabishana sio kuelekezana fact dah kazi ipo DNA HAIBADILIKI.....
Mkuu are you sure si Jeshi la Rwanda hilo?M23 forces are quite intact.
SOME POINTERS AS THINGS UNFOLD
By Dr Antoinette KANKINDI
1) In Bunagana: Julien Paluku was supposed to appear last thursday in Bunagana and the population was waiting for him. He never came. This is what happened: he was airlifted by MONUSCO up to Tschengerero, where he made a super brief appearance and huddled back to the helicopter promptly. He understood that FARDC-FDLR-FIB-MONUSCO have been disbanded in Jomba by M23 soldiers. Whatever happened to all the triumphalism he used in Rutshuru, reinstating the maire. The media close to the International community's agenda will not tell you that FARDC coalition units 805 and 806 were destroyed in Jomba. So Paluku might have taken my warning yesterday into account, even if minimally, he knows he should not go into Bunagana. And he is already moving around on by choppers, not safe to go by road. I am too sure the choppers are that safe either. And he is not the only one to know that Bunagana isn't a secured position for the government. No media will report on the Jomba destruction of Units 805 and 806 because they cannot find a way of blaming that on Rwanda or Uganda and it would mean they must acknowledge what I said yesterday: M23 forces are quite intact.
2) FARDC-FDLR-FIB-MONUSCO coalition in Bunagana: They came, yes. They brought their arsenal to fight what they are calling, to use Jeune Afrique expression "une centaine d'irréductibles retranchés à Chanzu". Ok, only a few hundreds? That's what they pay the media to say. But this coalition knows the moment of walks in the park could shortened. Do you want a proof? They have collected their stock of arms and now are taking them back to Rutshuru. Why? They are afraid, the Jomba episode was quite swift, they know they are not in their "territory" just as yet. The problem is that they are protecting their ammunition, but they have to stick around to give the International community leverage to continue talking about FARDC victories. However, now they are hungry. Remember what FARDC do when they are hungry or simply whenever they can? They loot. That is what the Bunagana population waiting for Paluku had to put up with. Next thing you'll hear about rape, assassinations, etc… And mind you Human rights watch and enough project won't right any reports on that. You can thank me for telling you, haha.
3) Why are the coalition soldiers getting hungry? Because MONUSCO that's been proving food supplies cannot cope with 20,000 soldiers swarming the area from Kibumba to Bunagana. This International Community is just unbelievable! If you commit to feed Kabila's coalition including génocidaires, then feed them well and daily wherever you have pushed them to go, if not they are a danger for civilians with this looting and extortion.
4) What is transpiring from Kampala: the International Community ally to Kabila is making sure we are advancing towards war no matter what. The reason is that the only talk going for Kabila is reintegration, may be with some amnesty; and for the International community, the only word is disarmament of M23. Note that they both know that Reintegration and Disarmament are out of question. Kinshasa and IC cannot hide their determination to perpetuate the war since their demands actually means simply that. Did I say my people need patience? I should add more determination than ever. In this era of corrupt deals everywhere, we must dare to stand and not compromise on what we believe in.M23 forces are still intact and General Makenga is using his time in thorough training. His resistance with the support of his people, wherever we are is the key to the problem at hand.
Mkuu are you sure si Jeshi la Rwanda hilo?
Kama ndilo liseme basi ili kieleweke na vijana wapashe misuli kwa kazi ya kufyeka na kumaliza udhia.
Why Not in Somalia jeshi la Tz bado sanaaaa.....!!!! Waliombwa na AU kwenda somalia wakaogopa.
Mkuu are you sure si Jeshi la Rwanda hilo?
Kama ndilo liseme basi ili kieleweke na vijana wapashe misuli kwa kazi ya kufyeka na kumaliza udhia.
Uwe mkweli vile vile kwa nafsi yako.Mkuu inabidi upate habari toka sehemu mbalimbali kwani kabila aliisha nunua mashirika yahabari mashuhuri kuupata ukweli siorahisi,wewe pima mwenyewe na situation inayoendelea congo nautaujua ukweli,rwanda haimo.
Hapo kwenye red.United Kingdom's Proxy Wars in Africa: The Case of Rwanda and DR Congo
The Rwandan genocide and 6,000,000 Congolese and Hutu refugees killed are the culminating point of a long UK's battle to expand their influence to the African Great Lakes Region. UK supported Kagame's guerrilla war by providing military support and money. The UK refused to intervene in Rwanda during the genocide to allow Kagame to take power by military means that triggered the genocide. Kagame's fighters and their families were on the Ugandan payroll paid by UK budget support.
· 4 Heads of State assassinated in the francophone African Great Lakes Region.
· 2,000,000 people died in Hutu and Tutsi genocides in Rwanda, Burundi and RD.Congo.
· 600,000 Hutu refugees killed in R.D.Congo, Uganda, Central African Republic and Rep of Congo.
· 6,000,000 Congolese dead.
· 8,000,000 internal displaced people in Rwanda, Burundi and DR. Congo.
· 500,000 permanent Rwandan and Burundian Hutu refugees, and Congolese refugees around the world.
· English language expansion to Rwanda to replace the French language.
· 20,000 Kagame's fighters paid salaries from the British Budget Support from 1986 to present.
· £500,000 of British taxpayer's money paid, so far, to Kagame and his cronies through the budget support, SWAPs, Tutsi-dominated parliament, consultancy, British and Tutsi-owned NGOs.
· Kagame has paid back the British aid received to invade Rwanda and to strengthen his political power by joining the East African Community together with Burundi, joining the Commonwealth, imposing the English Language to Rwandans to replace the French language; helping the British to establish businesses and to access to jobs in Rwanda, and to exploit minerals in D.R.Congo.
United Kingdom's Proxy Wars in Africa: The Case of Rwanda and DR Congo
mkitukaribisha somalia tutakuja....tuiteni kwa UN RESOLUTION kama ya Congo......sio kusubiri kushambuliwa kwanza!Why Not in Somalia jeshi la Tz bado sanaaaa.....!!!! Waliombwa na AU kwenda somalia wakaogopa.