FLASH HIDER
JF-Expert Member
- Jul 13, 2012
- 397
- 508
- Thread starter
- #941
Hope so. Nasikia wanakutana huko SA kuzungumzia hili. Kazi ipo hapao.
SADC at work no going back
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SADC at work no going back
Hope so. Nasikia wanakutana huko SA kuzungumzia hili. Kazi ipo hapao.
Ebu kaulize wahusika nigga..!!!!!
Hata wewe, masuala yako ya baamed kakataa kiroba kataka bia,, Kawaambie wenzako sio mimi, shenzi.
mukama wa simba kakimbilia wapi? aje atupe dondoo la jeshi shupavu la m23 lisiliorudi nyuma dhidi ya wajeshi wazee wa jwtz ambao sio wazoefu wa vita vya msituni!!
atueleze jinsi jwtz wazee wanavyochapwa na vijana wadogo.....atueleze kuwa vita sio historia ya miakaya 1978 ama ya ukombozi wa bara laAfrika.....
Angola watawekwa kwenye maeneo yote yaliyotekwa ili FIB waendelee kusafisha vikundi vyote vya waasi
Jamani acheni matusi, si lugha njema kwa waungwana.
from colonel Kazarama Vianney M-23
FARDC leo asubui ilijaribu kutupa
compora kwenye positions zetu.
ntamugenga, bweza, bugusa na
cyanzu, vijana wamekasirika sana ivi
wameteremuka wakifwatiliya adui.
mapambano inakaribiya bunagana.
vita inaendeleya ku 5kms na
BUNAGANA mahali wanaita gisiza.
vijana wameuzingira muji wa
Tchegerero. Fardc imeanza babaika.
njia wako nayo yakukimbiliya ni
uganda. musubiri mutaona.
tunasimama vizuri sana. musijali. vile
tulijibeba na habatufukuze njo gitsi
tutarudi
Sawa Kaka. Kwa heshima yako mkuu. Lakini yeye ndiye alianza kwa kufananisha jeshi letu na baamed aliye kataa kiroba (Somalia) na kutaka bia (DRC).
Mtu wa namna hii kama anaongea mbele yangu uso kwa uso!, napata kesi kaka.
FLASH HIDER
Inasemamwa JE KUNA UKWELI HAPO?
"JWTZ wakongo wanasema binduki ya Tanzania iko nguvu kabisa ukiishikia unayua hii niyakutanzania iko natofauti ya Zimbabwe, masasi yake iko kabambe hongera MUNUSCO ikiongozwa na majemedali toka Tz "
Mkuu hizo niporojo za wa congoman makenga mbona yupo tena wa afya,hivi limekua tatizo kwani jamaa wameingia maporini na wameanza kuwafanyia ambush kitu ambacho congo na FIB wanaogopa ndio maana wanalazimisha maongezi yaendelee kampala ili waweze kupunguza hasira za M23.
Mnaambush masufuria ya mama ntilie COWARDS
Ndugu zanguni wanajamii, hapa GOMA muda huu ni shangwe tupu. Eneo la Tshanzu lililokuwa linatajwa kama ngome kuu ya M23 limeshachukuliwa na FARDC. Baada ya tangazo hilo, wananchi wameingia barabarani wakishangilia na kuimba. Bodaboda kama kawaida yao wanapita mjini na pikipiki huku wakipiga honi. Kinachoshangaza ambacho ninakifuatilia ni kwamba wanasifu Tanzania. Sijajua kilichofanyika huko front mpaka Tanzania ikawa na jina kubwa hivi hapa. Wadau nitawajuza kukipambazuka zaidi.
Mbona mtandao wenu wa CONGO DRC NEWS umeufunga?