Uliza lolote kuhusu mgogoro ndani ya DRC hasa mapigano kati ya M23 na FARDC

Uliza lolote kuhusu mgogoro ndani ya DRC hasa mapigano kati ya M23 na FARDC

mukama wa simba kakimbilia wapi? aje atupe dondoo la jeshi shupavu la m23 lisiliorudi nyuma dhidi ya wajeshi wazee wa jwtz ambao sio wazoefu wa vita vya msituni!!
atueleze jinsi jwtz wazee wanavyochapwa na vijana wadogo.....atueleze kuwa vita sio historia ya miakaya 1978 ama ya ukombozi wa bara laAfrika.....
 
Kwa kuweka rcords sawa, hakuna jwtz BALI NI fib (RSA, TZ na Malawi.) Hapa GOMA watu wameambiwa wajiandae kusherehekea kesho kwani utakuwa mwisho wa M23. Tunasubiri kwa hamu tuone.

mukama wa simba kakimbilia wapi? aje atupe dondoo la jeshi shupavu la m23 lisiliorudi nyuma dhidi ya wajeshi wazee wa jwtz ambao sio wazoefu wa vita vya msituni!!
atueleze jinsi jwtz wazee wanavyochapwa na vijana wadogo.....atueleze kuwa vita sio historia ya miakaya 1978 ama ya ukombozi wa bara laAfrika.....
 
from colonel Kazarama Vianney M-23

FARDC leo asubui ilijaribu kutupa
compora kwenye positions zetu.
ntamugenga, bweza, bugusa na
cyanzu, vijana wamekasirika sana ivi
wameteremuka wakifwatiliya adui.
mapambano inakaribiya bunagana.
vita inaendeleya ku 5kms na
BUNAGANA mahali wanaita gisiza.
vijana wameuzingira muji wa
Tchegerero. Fardc imeanza babaika.
njia wako nayo yakukimbiliya ni
uganda. musubiri mutaona.
tunasimama vizuri sana. musijali. vile
tulijibeba na habatufukuze njo gitsi
tutarudi
 
Mbona mtandao wenu wa CONGO DRC NEWS umeufunga?

from colonel Kazarama Vianney M-23

FARDC leo asubui ilijaribu kutupa
compora kwenye positions zetu.
ntamugenga, bweza, bugusa na
cyanzu, vijana wamekasirika sana ivi
wameteremuka wakifwatiliya adui.
mapambano inakaribiya bunagana.
vita inaendeleya ku 5kms na
BUNAGANA mahali wanaita gisiza.
vijana wameuzingira muji wa
Tchegerero. Fardc imeanza babaika.
njia wako nayo yakukimbiliya ni
uganda. musubiri mutaona.
tunasimama vizuri sana. musijali. vile
tulijibeba na habatufukuze njo gitsi
tutarudi
 
Hivi huko Tshanzu kuna net mpaka huyu KAZALAMA akatuma comments zake. Ni kwanini wamamua kufunga mtandao wao wa CONGO DRC NEWS.? Or it is the biggining of an end?
 
Pole sana. Katika jamii, watu wa aina hii wapo.

Sawa Kaka. Kwa heshima yako mkuu. Lakini yeye ndiye alianza kwa kufananisha jeshi letu na baamed aliye kataa kiroba (Somalia) na kutaka bia (DRC).
Mtu wa namna hii kama anaongea mbele yangu uso kwa uso!, napata kesi kaka.
 
FLASH HIDER
Inasemamwa JE KUNA UKWELI HAPO?
"JWTZ wakongo wanasema binduki ya Tanzania iko nguvu kabisa ukiishikia unayua hii niyakutanzania iko natofauti ya Zimbabwe, masasi yake iko kabambe hongera MUNUSCO ikiongozwa na majemedali toka Tz "

Aisee umenifanya nicheke sana.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hizo niporojo za wa congoman makenga mbona yupo tena wa afya,hivi limekua tatizo kwani jamaa wameingia maporini na wameanza kuwafanyia ambush kitu ambacho congo na FIB wanaogopa ndio maana wanalazimisha maongezi yaendelee kampala ili waweze kupunguza hasira za M23.

Mnaambush masufuria ya mama ntilie COWARDS
 
Ndugu zanguni wanajamii, hapa GOMA muda huu ni shangwe tupu. Eneo la Tshanzu lililokuwa linatajwa kama ngome kuu ya M23 limeshachukuliwa na FARDC. Baada ya tangazo hilo, wananchi wameingia barabarani wakishangilia na kuimba. Bodaboda kama kawaida yao wanapita mjini na pikipiki huku wakipiga honi. Kinachoshangaza ambacho ninakifuatilia ni kwamba wanasifu Tanzania. Sijajua kilichofanyika huko front mpaka Tanzania ikawa na jina kubwa hivi hapa. Wadau nitawajuza kukipambazuka zaidi.
 
"The government of the Democratic Republic of Congo has claimed victory over M23 rebels in the east of the country.

A government spokesman said the last remaining rebels had either fled across the border or surrendered and their weapons had been destroyed overnight.
The M23 have not publicly commented on the claim. Kinshasa earlier rejected rebel calls for a truce."

BBC AFRICA
 
Back
Top Bottom