Uliza lolote kuhusu mgogoro ndani ya DRC hasa mapigano kati ya M23 na FARDC

FLASH HIDER hawa waasi wanapata wapi siraha wanazozitumia?
 
Last edited by a moderator:

Nitakujulisha

1. Baada ya maamuzi ya SADC ilitumwa "racking" upelelezi wa kujua M23 wana nini wako wapi njia zao za mawasiliano na reinforcements zinaingilia wapi.

2. Baada ya taarifa hizo wana medani wakapanga jinsi ya kuendesha vita na kutayarisha kikosi maalum cha jeshi la Congo mafunzo yakifanyika bongo

3. Ikaombwa ridhaa ya UN

4. Vikakusanywa vikosi chini ya uongozi wa makamanda wa kitanznia

5. Mnyukano ukaanza na matokeo ndiyo hayo

Muulize Kagame na M7 kwa nini hawakutia mguu. M23 wana nafasi ya mwisho kutangaza mwisho wao na kujisalimisha; wakikaidi watafuatwa huko wanakokimbilia hiyo itakuwa awamu ya 4 na kubakiza awamu ya 5.

SIYO SIRI hutaki acha
 
FLASH HIDER tupelekee hongera zetu kwa vijana wa JWTZ , muziki wa organ waliyoipiga kwa hakika M23 wamejua kulisakata.
Na ile kibri ya PK eti atamfafanyizia Jk ilituudhi sana, na aseme sasa.
 
Last edited by a moderator:
FLASH RIDER tupelekee hongera zetu kwa vijana wa JWTZ , organ waliyoipiga kwa hakika M23 wamejua kulisakata.
na ile kibri ya PK eti atamfafanyizia Jk ilituudhi sana, na aseme sasa.

hasira zetu zitaisha paada ya kumtoa pk kwa tanganyika jeki hapo kigali.
 
Jamani MUKAMASIMBA nae atakuwa anakimbia mpaka sasa au yuko sehemu ambayo haina network
 
Last edited by a moderator:
ahsante kwa ufafanuzi wako mzuri mkuu

swal langu ni kwa hali ilivyo sasa,unaona vita ndo suluhisho la huu mgogoro?
 
kuna malalamiko kuwa wakina mama wanabakwa sana hapo goma na miji mingine,vip JWTZ nayo ni sehemu ya hayo malalamiko?
 
Nilieleza awali kuwa silaha walizipata kutokana na 3 sources:

1. Waliondoka nazo kutoka katika vikosi walivyokuwa kabla ya kuanzisha M23.

2. Walizipora mwaka jana kutoka kwa FARDC baada ya kuuchukua mji wa GOMA.

3. Wanasaidiwa na Rwanda pamoja na uganda (ingawa uganda iliacha kuwasaidia muda mrefu sasaa)
 
Tamko la M23 LEO



de fin de rébellion
La Direction du Mouvement du 23 Mars annonce à l'opinion nationale et internationale qu'elle a décidé à dater de ce jour de mettre un terme à sa rébellion et de poursuivre, par des moyens purement politiques, la recherche des solutions aux causes profondes qui ont présidé à sa création.
A cet effet, le Chef d'Etat-major Général ainsi que tous les commandants des grandes unités de l'Armée Révolutionnaire Congolaise sont priés de préparer les hommes des troupes au processus de désarmement, démobilisation et réinsertion sociale dont les modalités sont à convenir avec le Gouvernement de la République Démocratique du Congo.
Fait à Kampala, le 05 Novembre 2013
Le Président du Mouvement du 23 Mars
Bertrand BISIMWA


Branch of the Movement of March 23 announcement at the national and international opinion she decided from that day to put an end to his rebellion and further, by purely political means, the search for solutions to the root causes led to its creation.
To this end, the Chief of General Staff and the commanders of all major units of the Congolese Revolutionary Army are requested to prepare men troops in the disarmament, demobilization and reintegration whose terms are to be agreed with the Government of the Democratic Republic of Congo.


 

QUOTE=Erickb52;7741490]Ni kweli...ila labda kuna mahali pengine wanapata msaada masopakyindi[/QUOTE]

Mkuu kuna hii tetesi.........
 
Ni kweli na ilikuwa hapo awali hasa baada ya M23 kuchukua mji huu wa GOMA. Vitendo vingi vinafanywa na waasi pamoja na jeshi la Serikali FARDC. Majeshi ya UN (JWTZ) likiwemo, hayajawahi kulalamikiwa kuhusu vitendo hivyo.

kuna malalamiko kuwa wakina mama wanabakwa sana hapo goma na miji mingine,vip JWTZ nayo ni sehemu ya hayo malalamiko?
 
Sidhani kama MUKAMASIMBA atasikika maana huku GOMA jahazi lao la M23 LIMESHAZAMA. Nitawaletea picha nzima kilichofanyika baada ya muda mfupi.

Bwana Flash Hider nakufuatilia kwa makini sana,hiyo nikawaida ya wakongomani wanasheherekea hata wakipigwa,vita bado haijaisha simuda murefu nitakupatia habari za front.
 
[h=1]FARDC, FDLR clash in Bunagana[/h]
Reports from locals indicate that at least 25 civilians and Congolese army (FARDC) soldiers were killed on Sunday, November 3, at the Uganda – Congo Border town of Bunagana following fierce fighting between FARDC and FDLR

This comes as a surprise since the two forces have been fighting alongside each other as allies. The fighting which intensified at around 4:00pm saw a big number of civilians cross the border into Uganda fleeing from the fighting between the two factions of the FARDC , FDLR- MONUSCO coalition.
The coalition occupied Bunagana on Wednesday following the withdrawal of M23 rebels.
According to sources, the clashes between the allies could have been fuelled by FARDC's refusal to give up weapons to FDLR which is believed to be the deal between the two sides. The sources believe that the incident was not a mistake, but a result of the lack of confidence by FDLR towards its ally (FARDC).
"The FDLR are accusing FARDC for being liars. They don't have confidence in President Joseph Kabila KABANGE on his support to infiltrate Rwanda," says the source who adds that the deal was to help FARDC fight M23 and then FARDC would in return help the FDLR to return home in Rwanda.
It is reported that about 1,000 FDLR militias from Busanza and Karambi were supposed to strengthen the Bunagana front to launch the final assault scheduled for today.
They have however, changed goal posts and instead of occupying the front line against the M23 in Cyanzu, the FDLR have decided to take the road back to Rwanda through the Virunga National Park.
Sources say that Colonel Gasari is leading the contingent of 1,000 militias who entered the Virunga National Park at the foot of mount Sabyinyo. Among the officers commanding the troops, people noticed commanders YASOLO, Gavana , KASONGO,MWAMI , Koffi and Claude the commander of the troops that were based at Kinyana .
"The commanders are determined to return to Rwanda to fight based on the recommendations of Tanzanian and Congolese presidents," says the source.
Having been unable to convince their allies until the end of the war, FARDC opened fire and clashes lasted more than two hours before seeing the FDLR disappear heavily armed, in the forest for a new adventure.
This incident is expected to harm relations between the allies (FARDC and FDLR). The Tanzanian contingent that is in the Intervention Brigade tried to convince the FDLR to wait until the end of M23 and plan an organized departure to Rwanda, something the FDLR didn't accept.
 
Hebu MUKAMASIMBA fafanua hapa

La Direction du Mouvement du 23 Mars annonce à l'opinion nationale et internationale qu'elle a décidé à dater de ce jour de mettre un terme à sa rébellion et de poursuivre, par des moyens purement politiques, la recherche des solutions aux causes profondes qui ont présidé à sa création.
A cet effet, le Chef d'Etat-major Général ainsi que tous les commandants des grandes unités de l'Armée Révolutionnaire Congolaise sont priés de préparer les hommes des troupes au processus de désarmement, démobilisation et réinsertion sociale dont les modalités sont à convenir avec le Gouvernement de la République Démocratique du Congo.
Fait à Kampala, le 05 Novembre 2013
Le Président du Mouvement du 23 Mars


Bwana Flash Hider nakufuatilia kwa makini sana,hiyo nikawaida ya wakongomani wanasheherekea hata wakipigwa,vita bado haijaisha simuda murefu nitakupatia habari za front.
 

Kama kawaida yako, umeitoa wapi hii
 
[h=1]DR Congo M23 rebels 'end insurgency'[/h]
The M23 rebel group in the eastern Democratic Republic of Congo says it is ending its insurgency, hours after the government claimed military victory.
In a statement, the movement said it would adopt "purely political means" to achieve its goals and urged its fighters to disarm and demobilise.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…