Erickb52
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 18,534
- 11,449
FLASH HIDER hawa waasi wanapata wapi siraha wanazozitumia?
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ni wazi kuwa M23 ina vikosi vya jeshi la Rwanda na UgandaFLASH HIDER hawa waasi wanapata wapi siraha wanazozitumia?
Ndugu zanguni wanajamii, hapa GOMA muda huu ni shangwe tupu. Eneo la Tshanzu lililokuwa linatajwa kama ngome kuu ya M23 limeshachukuliwa na FARDC. Baada ya tangazo hilo, wananchi wameingia barabarani wakishangilia na kuimba. Bodaboda kama kawaida yao wanapita mjini na pikipiki huku wakipiga honi. Kinachoshangaza ambacho ninakifuatilia ni kwamba wanasifu Tanzania. Sijajua kilichofanyika huko front mpaka Tanzania ikawa na jina kubwa hivi hapa. Wadau nitawajuza kukipambazuka zaidi.
FLASH HIDER tupelekee hongera zetu kwa vijana wa JWTZ , muziki wa organ waliyoipiga kwa hakika M23 wamejua kulisakata.mukama wa simba kakimbilia wapi? aje atupe dondoo la jeshi shupavu la m23 lisiliorudi nyuma dhidi ya wajeshi wazee wa jwtz ambao sio wazoefu wa vita vya msituni!!
atueleze jinsi jwtz wazee wanavyochapwa na vijana wadogo.....atueleze kuwa vita sio historia ya miakaya 1978 ama ya ukombozi wa bara laAfrika.....
Hata wewe, masuala yako ya baamed kakataa kiroba kataka bia,, Kawaambie wenzako sio mimi, shenzi.
FLASH RIDER tupelekee hongera zetu kwa vijana wa JWTZ , organ waliyoipiga kwa hakika M23 wamejua kulisakata.
na ile kibri ya PK eti atamfafanyizia Jk ilituudhi sana, na aseme sasa.
Mkuu ni wazi kuwa M23 ina vikosi vya jeshi la Rwanda na Uganda
ahsante kwa ufafanuzi wako mzuri mkuuNdugu zanguni hasa Watanzania,
Mimi ni mtanzania ninafanya biashara zangu huku DRC Goma kwa muda mrefu. Ninaishi hapa GOMA na nimekuwa nikisafiri kwenda sehemu mbalimbali ndani ya DRC.
Nimekuwa nikifuatilia mijadala kuhusu mgogoro wa M23 na serikali ya DRC, nimegundua watu wengi hawapo informed on what is going on.
Sasa kwa wale wenye swali au chochote wanachotaka kujua kuhusu mgogoro huu, mapigano yanayoendelea, na ushiriki na mapokeo ya WaKongo kuhusu JWTZ, mnaweza kuniuliza.
Nipo hapa kwa karibu miaka kumi na mbili sasa, bila sahaka nina kitu kipya ambacho huenda ninaweza kuwahabarisha.
kuna malalamiko kuwa wakina mama wanabakwa sana hapo goma na miji mingine,vip JWTZ nayo ni sehemu ya hayo malalamiko?Ndugu zanguni wanajamii, hapa GOMA muda huu ni shangwe tupu. Eneo la Tshanzu lililokuwa linatajwa kama ngome kuu ya M23 limeshachukuliwa na FARDC. Baada ya tangazo hilo, wananchi wameingia barabarani wakishangilia na kuimba. Bodaboda kama kawaida yao wanapita mjini na pikipiki huku wakipiga honi. Kinachoshangaza ambacho ninakifuatilia ni kwamba wanasifu Tanzania. Sijajua kilichofanyika huko front mpaka Tanzania ikawa na jina kubwa hivi hapa. Wadau nitawajuza kukipambazuka zaidi.
FLASH HIDER hawa waasi wanapata wapi siraha wanazozitumia?
United Kingdom's Proxy Wars in Africa: The Case of Rwanda and DR Congo
The Rwandan genocide and 6,000,000 Congolese and Hutu refugees killed are the culminating point of a long UK's battle to expand their influence to the African Great Lakes Region.
UK supported Kagame's guerrilla war by providing military support and money.
The UK refused to intervene in Rwanda during the genocide to allow Kagame to take power by military means that triggered the genocide.
Kagame's fighters and their families were on the Ugandan payroll paid by UK budget support.
· 4 Heads of State assassinated in the francophone African Great Lakes Region.
· 2,000,000 people died in Hutu and Tutsi genocides in Rwanda, Burundi and RD.Congo.
· 600,000 Hutu refugees killed in R.D.Congo, Uganda, Central African Republic and Rep of Congo.
· 6,000,000 Congolese dead.· 8,000,000 internal displaced people in Rwanda, Burundi and DR. Congo.
· 500,000 permanent Rwandan and Burundian Hutu refugees, and Congolese refugees around the world.
· English language expansion to Rwanda to replace the French language.
20,000 Kagame's fighters paid salaries from the British Budget Support from 1986 to present.·
£500,000 of British taxpayer's money paid, so far, to Kagame and his cronies through the budget support, SWAPs, Tutsi-dominated parliament, consultancy, British and Tutsi-owned NGOs.
· Kagame has paid back the British aid received to invade Rwanda and to strengthen his political power by joining the East African Community together with Burundi, joining the Commonwealth, imposing the English Language to Rwandans to replace the French language; helping the British to establish businesses and to access to jobs in Rwanda, and to exploit minerals in D.R.Congo.
United Kingdom's Proxy Wars in Africa: The Case of Rwanda and DR Congo
kuna malalamiko kuwa wakina mama wanabakwa sana hapo goma na miji mingine,vip JWTZ nayo ni sehemu ya hayo malalamiko?
Sidhani kama MUKAMASIMBA atasikika maana huku GOMA jahazi lao la M23 LIMESHAZAMA. Nitawaletea picha nzima kilichofanyika baada ya muda mfupi.
Bwana Flash Hider nakufuatilia kwa makini sana,hiyo nikawaida ya wakongomani wanasheherekea hata wakipigwa,vita bado haijaisha simuda murefu nitakupatia habari za front.
[h=1]FARDC, FDLR clash in Bunagana[/h]
Reports from locals indicate that at least 25 civilians and Congolese army (FARDC) soldiers were killed on Sunday, November 3, at the Uganda Congo Border town of Bunagana following fierce fighting between FARDC and FDLR
This comes as a surprise since the two forces have been fighting alongside each other as allies. The fighting which intensified at around 4:00pm saw a big number of civilians cross the border into Uganda fleeing from the fighting between the two factions of the FARDC , FDLR- MONUSCO coalition.
The coalition occupied Bunagana on Wednesday following the withdrawal of M23 rebels.
According to sources, the clashes between the allies could have been fuelled by FARDCs refusal to give up weapons to FDLR which is believed to be the deal between the two sides. The sources believe that the incident was not a mistake, but a result of the lack of confidence by FDLR towards its ally (FARDC).
The FDLR are accusing FARDC for being liars. They dont have confidence in President Joseph Kabila KABANGE on his support to infiltrate Rwanda, says the source who adds that the deal was to help FARDC fight M23 and then FARDC would in return help the FDLR to return home in Rwanda.
It is reported that about 1,000 FDLR militias from Busanza and Karambi were supposed to strengthen the Bunagana front to launch the final assault scheduled for today.
They have however, changed goal posts and instead of occupying the front line against the M23 in Cyanzu, the FDLR have decided to take the road back to Rwanda through the Virunga National Park.
Sources say that Colonel Gasari is leading the contingent of 1,000 militias who entered the Virunga National Park at the foot of mount Sabyinyo. Among the officers commanding the troops, people noticed commanders YASOLO, Gavana , KASONGO,MWAMI , Koffi and Claude the commander of the troops that were based at Kinyana .
The commanders are determined to return to Rwanda to fight based on the recommendations of Tanzanian and Congolese presidents, says the source.
Having been unable to convince their allies until the end of the war, FARDC opened fire and clashes lasted more than two hours before seeing the FDLR disappear heavily armed, in the forest for a new adventure.
This incident is expected to harm relations between the allies (FARDC and FDLR). The Tanzanian contingent that is in the Intervention Brigade tried to convince the FDLR to wait until the end of M23 and plan an organized departure to Rwanda, something the FDLR didnt accept.