mokala1989
JF-Expert Member
- May 4, 2013
- 2,236
- 728
Tatizo lenu mliisha jiweka nafasi ya super power,na kingine minority kwenu hana haki,kwafikira hizo sioni ajabu TZ kusaidi FDLR.
wewe mukamasimba ni mshenzi tena -------- uliyepitiliza kusema kua kikwete anawatia waafrika aibu kwa kuomba misaada nhe ndo ukweli..??? Ile mliyokatiwa na usa na eu kwa kuwasaidia m23 ni nini..??? Sio misaada..??? Mshenzi mkubwa wewe tena blood stupid kbsa
ungeanzisha uzi wako, uone majibu kutoka kwa watanzania waliostaarabika! Acha utegemezi kuanzisha uzi hapa ni bure kwanini uparamie uzi wa mwenzako kwa faida zenu? Ni sehemu ya ubaguzi . Poor tutsi
Sasa wewe askari police nini? Kwanza mimi ni mwafrika,pili mchango wangu ni advise kwa kutatuliwa mgogoro wa kivu kwa kuuchimbua mzizi mkuu unaoleta matatizo kivu bila kulaumu watu fulani na mzizi mkuu ni ubaguzi unaofanywa dhidi ya watusi waishio kivu,tatu kabila na mataifa fulani ndio wanafadhili FDLR kuupindua uongozi wa pk uliochaguliwa kidemokraia,sio kabila yeye aliiba kura chisekedi analijua hilo,ufadhili wa rwanda haumo kwani M23 isinge shindwa kirahisi hivyo kama rwanda ingefadhili,nafikiri nimekujibu afande.
hapa baamedi nani na msela nani?
colonel omuli akiwa na "mabaamedi".
2. "washindi hao"
hebu niambie watusi,wanaongea lugha gani ya asilia?
Watu wanahitaji kuelimishwa rwanda kuna kabila moja tu "wanyarwanda"hayo ya wahutu,watusi na watwa,ni tabaka la watu:wakulima,wafugaji na wawindaji,sasa sikuhizi huwezi watofautisha kuna watu walikua katika tabaka la wafugaji hivi ni wakulima naa kuna wengine walikua wakulima sasa ni wafugaji,hivyo ndivyo wanyarwanda wanavyo define tutsi,hutu and twa.
Majibu yako nimeyapenda achana na hawa Bongo fleva wengine magumashi
ANGALIA TUNACHOWAFANYA, NA BADO SAFARI YA KIGALI IPO MBIONI MTALIJUA TANZANIA
Wewe Mukamasimba ni mshenzi tena -------- uliyepitiliza kusema kua kikwete anawatia waafrika aibu kwa kuomba misaada nhe ndo ukweli..??? Ile mliyokatiwa na USA na EU kwa kuwasaidia M23 ni nini..??? sio misaada..??? Mshenzi mkubwa wewe tena blood stupid kbsa
Nafikiri pk aliisha sema kwamba wanahaki ya kukata misaada kwani hakuna aliye waomba misaada ni wenyewe wanaji commit,pk huwa haombi wanajileta wenyewe.
kumbe waliostarabika wako wapi ma nigga ujasomeka na ambao wajastarabika ndio mmoja wapo wewe eti.....
Vita ilipiganiwa rwanda hii leo kiwaune waswahili.kweli mbongo ni mmbea ka marekani ila marekani yuko kimaslahi zaid sijui nyinyi mko kivip kule drc au mnasubiri mungu atawalipa ....?????
sisi ni superpower na hilo hatakiwi kuhoji mtu yeyote mwenye akili timamu na ndiyo maana kila tunaloliamini na kulisimamia ndani ya afrika ni lazima litimie ! hatuwataki vibaraka wa rwanda na uganda DRC (M 23) NA TUMEWATIMUA, WATUSI NI LAZIMA WAONGEE NA FLDR LITAYIMIA MUDA SI MREFU, TENA KAGAME ATAOMBA MWENYEWE MAJI YATAKAPOMFIKA SHINGONI
ANGALIA TUNACHOWAFANYA, NA BADO SAFARI YA KIGALI IPO MBIONI MTALIJUA TANZANIA
kagame ni sawa na watanzania wote wa dar es salaam he is a real nigga,real man, ma man,the president my president is black,
#sufferingfromsuccess
mungu ni mwema, tumekomboa mataifa mengi sana ya dunia hii na si drc tu aliyotulipa mungu ni mengi hata nikiyaweka hapa hapatatosha. Kubwa mungu amewaweka maadui wetu mikononi mwetu wote wakiwamo rwanda mpaka wanajiumbua wenyewe kama kagame anabaki akilia kam mbuzi
Kagame ni sawa na watanzania wote wa Dar es salaam He is a real Nigga,real man, Ma Man,The President my President is Black,
#sufferingfromsuccess
mkuu wewe sijui kama msinamo wako ni wawatazania wote,kwani sina uhakika kama watazania wata ku support kuingia vita na rwanda kwani si rahisi kama unavyo fikiria.
mungu ni mwema, tumekomboa mataifa mengi sana ya dunia hii na si drc tu aliyotulipa mungu ni mengi hata nikiyaweka hapa hapatatosha. Kubwa mungu amewaweka maadui wetu mikononi mwetu wote wakiwamo rwanda mpaka wanajiumbua wenyewe kama kagame anabaki akilia kam mbuzi