mokala1989
JF-Expert Member
- May 4, 2013
- 2,236
- 728
Tatizo lenu mliisha jiweka nafasi ya super power,na kingine minority kwenu hana haki,kwafikira hizo sioni ajabu TZ kusaidi FDLR.
sisi ni superpower na hilo hatakiwi kuhoji mtu yeyote mwenye akili timamu na ndiyo maana kila tunaloliamini na kulisimamia ndani ya afrika ni lazima litimie ! hatuwataki vibaraka wa rwanda na uganda DRC (M 23) NA TUMEWATIMUA, WATUSI NI LAZIMA WAONGEE NA FLDR LITAYIMIA MUDA SI MREFU, TENA KAGAME ATAOMBA MWENYEWE MAJI YATAKAPOMFIKA SHINGONI