MUKAMASIMBA
JF-Expert Member
- Aug 11, 2013
- 1,655
- 362
Bwana Flash Hider, usijiweke wazi sana. usimwamini kila mtu kwenye mtandao huu mpaka uwe na uhakika naye sana. Wapo agents wengi wa PK hapa ambao wanaweza wakakuona sawa na wale wanajeshi wetu waliowapa kichapo hao wabakaji wanaojulikana kama M23.
Lakini na nyie mnadharau sana,yani unaona Kagame atapoteza muda wake kufuatilia huyo muuza vijiwe? kwanza story zenyewe ni copy paste hana lolote jipya aliloleta,story zake zote kazitoa kwenye magazeti ya kongo na wapinzani wa serikali ya kagame,so asiwe na wasiwasi.