MUKAMASIMBA
JF-Expert Member
- Aug 11, 2013
- 1,655
- 362
Bwana Flash Hider, usijiweke wazi sana. usimwamini kila mtu kwenye mtandao huu mpaka uwe na uhakika naye sana. Wapo agents wengi wa PK hapa ambao wanaweza wakakuona sawa na wale wanajeshi wetu waliowapa kichapo hao wabakaji wanaojulikana kama M23.
Lakini na nyie mnadharau sana,yani unaona Kagame atapoteza muda wake kufuatilia huyo muuza vijiwe? kwanza story zenyewe ni copy paste hana lolote jipya aliloleta,story zake zote kazitoa kwenye magazeti ya kongo na wapinzani wa serikali ya kagame,so asiwe na wasiwasi.
Hahahahahahaha....chama cha ukombozi. Cha kukukomboa wewe? Utasubiri sana. Utarudi Rwanda kwa pingu tu wakati tunakupeleka kwenye mahakama ya ICTR kujibu mashtaka. Unasikia wewe interahamwe.
hiyo mahakama ya ICTR ipo nchi gani vile?????
Mimi naona kwa nchi yetu ni bora kuwapoteza Kenya, Uganda na Rwanda tukajenga ushirika na Congo nchi tajiri kuliko zote Africa.
Lakini na nyie mnadharau sana,yani unaona Kagame atapoteza muda wake kufuatilia huyo muuza vijiwe? kwanza story zenyewe ni copy paste hana lolote jipya aliloleta,story zake zote kazitoa kwenye magazeti ya kongo na wapinzani wa serikali ya kagame,so asiwe na wasiwasi.
Mkuu wanajaribu kuingia congo kwa mlango mwingine. Pengine kuna mathaifu huko central maana huku east kimenuka kwa rwanda. Hv ndio nafikirja. Wewe unaonaje
Ahsante bwana flash hider...napenda sana kuja Goma..ila zile dola 36 wanazotoza kila ukivuka ni balaa...nafuatiliza viza ya Kongo ili nikakamue nyama choma vizuri hukoThanks kwa Taarifa.
Vuka uje hapa GOMA kaka tule nyama choma.
Jamani karibuni DRC kuna fursa nyingi sana. Kwa nini jamaa wa West Africa wawe wengi hapa kuliko Wabongo? Kama issue ni usalama sasa hivi mambo shwari kabisa. Mkuu MKAMASIMBA upo wapi? Tunaomba update ya afya ya GEneral Makenga.
Mkuu FLASH HIDER; nasikia (BBC) MUNUSCO imenza kupambana na waasi wa FDRL, naomba updates
Flash Hider
umekuwa mtu muhimu sana kwa wafuatiliaji wa jukwaa hili. Ubarikiwe.
Ahsante sana FLASH HIDER maana tamko la amani ni ushindi kwa DRC. Lakini kwanini mwenyeji wao amekuwa Uhuru na si M7 kama ilivokuwa? (Kwanini yamefanyika Nairobi na si Uganda). Pia FARDC na MUNUSCO wakiwadefeat FDRL hawaoni utakuwa ushindi zaidi kwa serikali ya Kagame?