maghambo619
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 1,537
- 1,360
ilikuaje Uganda na burundi wakaamua kuisuport rwanda kuishambulia congo??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes...There you are FLASH HIDER kila nchi ina sovereignty yake...haiwezekani kabisa wewe unakitetea kikundi kinacho de stabilize nchi ya mwenzako......How comes watetezi wa Rwanda ndio wanaitetea M23? That means Rwanda=M23....Simple arithmetics.
Jamaa Mbishi,
Taratibu ingawa unayoyasema ni ukweli mtupu. Kwa mtazamo wangu mimi ni kuwa pindi RDC itakavyojijenga(sijui lini) bila shaka hakuna nchi itakayoigusa katika ukanda wetu huu. Unajua kitakwimu nchi hii ina watu zaidi ya Milioni 74, ndiyo nchi yenye madini mengi kuliko zote katika Africa, ni nchi yenye vyanzo vingi vya maji katika africa na ya tatu katika dunia, ina ardhi yenye rutuba, ina hali ya hewa nzuri, misitu nk. Economy is directly link with security. Ukiwa na uchumi mzuri utakuwa na jeshi imara, hivyo unaweza kujilinda na maadui wa ndani na nje. Ila Kagame na M7 UKWELI NI HATARI.
Mkuu FLASH RIDER huyu MUKAMMASIMBA ni idara ya intrllijensia ya Rwanda na si mtu mmoja bali seversl people uding the same ID.
Its easy to note.
Mwaka jana nilipokuwa Uganda kuna jamaa yangu (mwenyeji wangu) wakati tunaongea aliniambi kuwa Kagame na M7 ni kitu kimoja na wanashauriana sana juu ya kuikamua DRC. Kule Uganda watu wanajuwa kuwa Kagame anapewa ushauri na M7 juu ya DRC mpaka wakaja kuanzisha military intelijensia ya kuchunguza namna ya ku-destabilize DRC. Jama wa Kagame wakienda Uganda kutoa ama kupata habari wanavaa nguo za kijeshi za Uganda ili wasijulikane na kuhisiwa na watu but people already know. Wana exchange habari then wanarudi Rwanda kuendeleza maovu kule DRC. Time will tell ila hawa watu lazima wauliwe tu ili East Africa iwe na amani, with them tutabaki kuchinjana tu huku wao wakitucheka and the region will never be at peace.
I'm telling you, hapa solution ni kuua tu hawa perpetrators na si vinginevyo kwani hawa ndio wanaovunja amani DRC.
Rwanda has nothing ni kelele tu. Kabila please anzisha vita na kuua moja kwa moja Rwanda, kamata viongozi wote pamoja na Kagame and butcher them.
Ma-dictators huwa wanaona mbali sana na pia wanajua kuchukua advantage ya kila jambo linalotokea liwe jema au baya lazima wataona opportunity in it. unajua logically nchi zote za maziwa makuu na washirika wao zipo kwenye vita hata kama ni kinadhalia na instigator wa haya yooote ni PK na kimsingi ni kama vita ya dunia ila imemezwa na uwepo wa jumuiya ya umoja wa mataifa (UN) na sera zao za peacefull conflicts resolution ila technically PK ameiingiza dunia katika vita ya dunia ambayo haionekani
Kwa kuongea tu. Mnaweza. Tena mnajificha nyuma ya pazia la JF....hivi mnadhani M23 mtawaweza? Jidanganyeni tu. Pale ni kwao nyie mmekuja kwa muda mtaondoka wao watabaki..you can't defeat the will of the people.
Ma-dictators huwa wanaona mbali sana na pia wanajua kuchukua advantage ya kila jambo linalotokea liwe jema au baya lazima wataona opportunity in it. unajua logically nchi zote za maziwa makuu na washirika wao zipo kwenye vita hata kama ni kinadhalia na instigator wa haya yooote ni PK na kimsingi ni kama vita ya dunia ila imemezwa na uwepo wa jumuiya ya umoja wa mataifa (UN) na sera zao za peacefull conflicts resolution ila technically PK ameiingiza dunia katika vita ya dunia ambayo haionekani
Kaka Flash Hider angalia sana kutoa personal information zako, naona watu wengi wana uchungu sana na wewe, watakufanyia kitu mbaya usipokua makini
Lakini sometimes muwe mnafikiria kabla ya kuandika kuua kagame na mseveni ndio utakua umeondoa watusi? kumbuka mtusi ni mtusi labda kama unataka kuleta genocide nyingine na ambayo haiwezekani tena.
Fikiria kwanini nimeandika hivyo. I have thought about it tena kwa kina.
Kabisa Mkuu, Kagame afe tu pamoja na baadhi ya Watutsi wenzie kama Museveni ili DRC itulie.
M23 are NOT people but wajinga na vibaraka wa Kagame. There are many things being done behind the curtain by Kagame and M7 to destabilize the region.
Sasa hapo umejidanganya katika watusi 90% ni wa kagame tena kuna wengine vichwa zaidi yake,sijui kama ndoto zako zitaweza timia,labda endelea kusoma dua zako.
Unaongea kagame kamavile yuko peke yake,kagame 98% ya wanyarwanda ni wafuasi wake,sasa sijui mtamfikia kivipi?