Uliza lolote kuhusu mgogoro ndani ya DRC hasa mapigano kati ya M23 na FARDC

Uliza lolote kuhusu mgogoro ndani ya DRC hasa mapigano kati ya M23 na FARDC

Yes...There you are FLASH HIDER kila nchi ina sovereignty yake...haiwezekani kabisa wewe unakitetea kikundi kinacho de stabilize nchi ya mwenzako......How comes watetezi wa Rwanda ndio wanaitetea M23? That means Rwanda=M23....Simple arithmetics.

Kitu ambacho nimegundua nikwamba watu wengi hawana information kuhusu jinsi ufaransa iliendelea kuandaa na kusupport FDLR ndani ya kongo mpaka leo,imetoa mafunzo,silaha na fedha kwa FDLR hilo linatambuliwa,sasa kwakua M23 iko against FDLR ndio maana hawa jamaa wameikomalia tatizo hamtaki kuelewa hiyo connection.
 
Last edited by a moderator:
Jamaa Mbishi,

Taratibu ingawa unayoyasema ni ukweli mtupu. Kwa mtazamo wangu mimi ni kuwa pindi RDC itakavyojijenga(sijui lini) bila shaka hakuna nchi itakayoigusa katika ukanda wetu huu. Unajua kitakwimu nchi hii ina watu zaidi ya Milioni 74, ndiyo nchi yenye madini mengi kuliko zote katika Africa, ni nchi yenye vyanzo vingi vya maji katika africa na ya tatu katika dunia, ina ardhi yenye rutuba, ina hali ya hewa nzuri, misitu nk. Economy is directly link with security. Ukiwa na uchumi mzuri utakuwa na jeshi imara, hivyo unaweza kujilinda na maadui wa ndani na nje. Ila Kagame na M7 UKWELI NI HATARI.

Mwaka jana nilipokuwa Uganda kuna jamaa yangu (mwenyeji wangu) wakati tunaongea aliniambi kuwa Kagame na M7 ni kitu kimoja na wanashauriana sana juu ya kuikamua DRC. Kule Uganda watu wanajuwa kuwa Kagame anapewa ushauri na M7 juu ya DRC mpaka wakaja kuanzisha military intelijensia ya kuchunguza namna ya ku-destabilize DRC. Jama wa Kagame wakienda Uganda kutoa ama kupata habari wanavaa nguo za kijeshi za Uganda ili wasijulikane na kuhisiwa na watu but people already know. Wana exchange habari then wanarudi Rwanda kuendeleza maovu kule DRC. Time will tell ila hawa watu lazima wauliwe tu ili East Africa iwe na amani, with them tutabaki kuchinjana tu huku wao wakitucheka and the region will never be at peace.
 
Ma-dictators huwa wanaona mbali sana na pia wanajua kuchukua advantage ya kila jambo linalotokea liwe jema au baya lazima wataona opportunity in it. unajua logically nchi zote za maziwa makuu na washirika wao zipo kwenye vita hata kama ni kinadhalia na instigator wa haya yooote ni PK na kimsingi ni kama vita ya dunia ila imemezwa na uwepo wa jumuiya ya umoja wa mataifa (UN) na sera zao za peacefull conflicts resolution ila technically PK ameiingiza dunia katika vita ya dunia ambayo haionekani
 
Mkuu FLASH RIDER huyu MUKAMMASIMBA ni idara ya intrllijensia ya Rwanda na si mtu mmoja bali seversl people uding the same ID.
Its easy to note.

Sio kweli hapo umechemsha,uzalendo sio kudanganya watu kwa kutaka kuwafurahisha nafikiri uzalendo unatakiwa kua mkweli,sasa mimi nimeona thread hii imeegemea upande mmoja,inawezekana huyu jamaa yuko goma ,na inaelekea ni msomi aliefanya research yakutosha lakini iliyo egamia upande mmoja ndio maana wabongo wengi mumeifurahia sana kwa sababu hiyo ndio maana nampa 50% kwani watusi sio vichaa wa kufa bure kuna sababu tena ya msingi iliyo wafanya washike silaha,nilichoona ni kujipamba na kujisifu kwa jeshi la tz.
 
Mimi naomba kujua ndugu Flash Hider, mshirika wa Rwanda ambaye ana-msupport kwa maana ya kununua hayo madini , kumpa silaha na support zingine kwa ujumla ni nani, maana dunia nzima naona haiko upande wake lakini yuko busy na kui-destabilize DRC, madini anauzia nchi gani? na washirika wake muhimu nje ya Africa ni kina nani? au mzigo wake unauzwa na marafiki zake Mu7 NA Uhuru ambao watakua wana act kama madalali, lakini bado Kenya haikuwa mshirika wa Rwanda tangu zamani labda hapa majuzi jamaa alipojiingiza EAC
 
Mwaka jana nilipokuwa Uganda kuna jamaa yangu (mwenyeji wangu) wakati tunaongea aliniambi kuwa Kagame na M7 ni kitu kimoja na wanashauriana sana juu ya kuikamua DRC. Kule Uganda watu wanajuwa kuwa Kagame anapewa ushauri na M7 juu ya DRC mpaka wakaja kuanzisha military intelijensia ya kuchunguza namna ya ku-destabilize DRC. Jama wa Kagame wakienda Uganda kutoa ama kupata habari wanavaa nguo za kijeshi za Uganda ili wasijulikane na kuhisiwa na watu but people already know. Wana exchange habari then wanarudi Rwanda kuendeleza maovu kule DRC. Time will tell ila hawa watu lazima wauliwe tu ili East Africa iwe na amani, with them tutabaki kuchinjana tu huku wao wakitucheka and the region will never be at peace.

Lakini sometimes muwe mnafikiria kabla ya kuandika kuua kagame na mseveni ndio utakua umeondoa watusi? kumbuka mtusi ni mtusi labda kama unataka kuleta genocide nyingine na ambayo haiwezekani tena.
 
I'm telling you, hapa solution ni kuua tu hawa perpetrators na si vinginevyo kwani hawa ndio wanaovunja amani DRC.

Kabisa Mkuu, Kagame afe tu pamoja na baadhi ya Watutsi wenzie kama Museveni ili DRC itulie.
 
Rwanda has nothing ni kelele tu. Kabila please anzisha vita na kuua moja kwa moja Rwanda, kamata viongozi wote pamoja na Kagame and butcher them.

Kwa kuongea tu. Mnaweza. Tena mnajificha nyuma ya pazia la JF....hivi mnadhani M23 mtawaweza? Jidanganyeni tu. Pale ni kwao nyie mmekuja kwa muda mtaondoka wao watabaki..you can't defeat the will of the people.
 
Ma-dictators huwa wanaona mbali sana na pia wanajua kuchukua advantage ya kila jambo linalotokea liwe jema au baya lazima wataona opportunity in it. unajua logically nchi zote za maziwa makuu na washirika wao zipo kwenye vita hata kama ni kinadhalia na instigator wa haya yooote ni PK na kimsingi ni kama vita ya dunia ila imemezwa na uwepo wa jumuiya ya umoja wa mataifa (UN) na sera zao za peacefull conflicts resolution ila technically PK ameiingiza dunia katika vita ya dunia ambayo haionekani

Ndio maana mi nasema Kagame na Museveni wakifa DRC amani itakuwepo.
 
Kwa kuongea tu. Mnaweza. Tena mnajificha nyuma ya pazia la JF....hivi mnadhani M23 mtawaweza? Jidanganyeni tu. Pale ni kwao nyie mmekuja kwa muda mtaondoka wao watabaki..you can't defeat the will of the people.

Tuwaweze mara ngapi?
 
Ma-dictators huwa wanaona mbali sana na pia wanajua kuchukua advantage ya kila jambo linalotokea liwe jema au baya lazima wataona opportunity in it. unajua logically nchi zote za maziwa makuu na washirika wao zipo kwenye vita hata kama ni kinadhalia na instigator wa haya yooote ni PK na kimsingi ni kama vita ya dunia ila imemezwa na uwepo wa jumuiya ya umoja wa mataifa (UN) na sera zao za peacefull conflicts resolution ila technically PK ameiingiza dunia katika vita ya dunia ambayo haionekani

Ningekubaliana na wewe kama ungesema viongozi wazuri ni wale waonao mbali,angalia uganda tangu m7 achukue hatamu hakuna mapinduzi inchi inamaendeleo,angalia rwanda ni nchi yenye usalama na maendeleo,mimi sioni tatizo lao,nafikiri tatizo la watanzania nikujipenda na wivu,tz mna utajili mwingi lakini unaliwa na makaburu,mkiona wengine wanaendelea mnaanza kutizama imekuaje anaendelea wakati unamzidi uwezo hapo kuna tatizo tenakubwa sasa mumeamua kufia congo eti kuzuia rwanda na uganda.
 
Kaka Flash Hider angalia sana kutoa personal information zako, naona watu wengi wana uchungu sana na wewe, watakufanyia kitu mbaya usipokua makini

Wasikutishe kwani wewe unatoa maoni yako kama sisi wote tena sioni baya ulilosema.
 
Lakini sometimes muwe mnafikiria kabla ya kuandika kuua kagame na mseveni ndio utakua umeondoa watusi? kumbuka mtusi ni mtusi labda kama unataka kuleta genocide nyingine na ambayo haiwezekani tena.

Fikiria kwanini nimeandika hivyo. I have thought about it tena kwa kina.
 
Fikiria kwanini nimeandika hivyo. I have thought about it tena kwa kina.

Sasa hapo umejidanganya katika watusi 90% ni wa kagame tena kuna wengine vichwa zaidi yake,sijui kama ndoto zako zitaweza timia,labda endelea kusoma dua zako.
 
M23 are NOT people but wajinga na vibaraka wa Kagame. There are many things being done behind the curtain by Kagame and M7 to destabilize the region.

Unaongea kagame kamavile yuko peke yake,kagame 98% ya wanyarwanda ni wafuasi wake,sasa sijui mtamfikia kivipi?
 
Kagame mi namkubali yaani..hata kama kuna mengine ambayo c mazuri kayafanya.ana mipango mizuri anajaribu kufanya vile vinaendana na mazingira yake..i salute u tall tree.!
 
Sasa hapo umejidanganya katika watusi 90% ni wa kagame tena kuna wengine vichwa zaidi yake,sijui kama ndoto zako zitaweza timia,labda endelea kusoma dua zako.

Sina haja ya kusoma dua. Kagame has watutsi wenzake pia wanaompinga ma yeye ana act au anafanya yale anayoyafanya because he has Museveni na others (watutsi) who are advising him on matters concerning peace and looting in the DRC. You kill him, those behind the curtain will stop and point fingers toone another whilst their clown is long gone. Think about it.
 
Unaongea kagame kamavile yuko peke yake,kagame 98% ya wanyarwanda ni wafuasi wake,sasa sijui mtamfikia kivipi?

Not true, wacha ujinga kijana. Si kweli kama 98% ya wanyarwanda wako nyuma ya Kagame....wale wanapiga kelele tu bcs Kagame anatawala the country with a fist na anafunga yeyote anayeongea kinyume na mtizamo wake. Kijana umekulia wapi? Acha propaganda za kijinga. I have lived in Rwanda and have seen civilians being killed and jailed all because wanasadikiwa kuwa walikuwa wanaongelea mambo ya genocide ama kuwa sympathize wahutu waliokufa kwenye genocide. In short, anaogopwa na si kupendwa. Akija kuuliwa utasikia vifijo na shangwe mpaka wewe mwenyewe utashangaa. We endelea kujidanganya tu with your fake belief. Unamkumbuka Sadam Hussein? Wa-Iraq walikuwa wanampenda na kumlilia akiongea hadharani, siku anauliwa watu karibia ya wote isipokuwa kabila lake tu walishangilia kwa furaha kuwa dictator katoweka. Si uliona jinsi wa-Iraq walivyovamia jumba lake na kuchukua mali zake pamoja na kuchoma picha zake na kuvunja sanamu zake, umewahi kujiuliza kwa nini wafanye vile kwa mtu waliyempenda? Hivyo usichanganye nidhamu ya uwoga na mapenzi, everybody in Rwanda knows perpetratow wa genocide ni Kagame, and you think people like him? Umepotea.
 
Back
Top Bottom