Uliza lolote kuhusu mgogoro ndani ya DRC hasa mapigano kati ya M23 na FARDC

Uliza lolote kuhusu mgogoro ndani ya DRC hasa mapigano kati ya M23 na FARDC

Sina haja ya kusoma dua. Kagame has watutsi wenzake pia wanaompinga ma yeye ana act au anafanya yale anayoyafanya because he has Museveni na others (watutsi) who are advising him on matters concerning peace and looting in the DRC. You kill him, those behind the curtain will stop and point fingers toone another whilst their clown is long gone. Think about it.

Kweli watu wengine hamjui nani kiongozi na nani muuaji nenda rwanda uulize wananchi wa tabakazote jinsi walivyo na maisha mazuri ambayo hawajawahi ya shuhudi kwa marais walio mtangulia,wewe una pokea information kwa hao wauaji na wezi wa pesa zanchi walio jificha tz na sehemu zingine na kujustify mtazamo wako kwa kagame,please nenda kwa ground ujionee.
 
Kuna jamaa kanishangaza,eti kagame hana support ya 98% ya wanyarwanda eti sababu watu wanafungwa sana,kwani ni nchi gani haina magereza,nani asiye adhibiwa akichokoza selikali hata tz wanatilewa hadi makucha,nafikiri kagame ni mtu mzuri sana bila hivyi 80% ya wanyarwanda wangekua jela kutokana na mauaji,lakini aliwachuja na kufunga wachache,rwanda unakula mali ya uma unafungwa ndio hao waki chomoka ndio upaza sauti eti kagame ni dikteta,mwambie kikwete aanzr kukamata wala mali yauma wataanza kumuita dicteta.
 
Unamwambia nani wakati mie niko Rwanda, vijiwe vyote vimeyeyuka. Washkaji zangu kibao wamesepa. Kumbe ww jamaa haupo Rwanda unajifanya kuongopea watu sio! Kweli Propaganda kitu hatari, na nikipata chance, nitakuwekea clip moja hapa uwasikilze mayanki wanavyochonga. Au ukweli unaujua unafanya kusudi,

ahahaha duh!sasa wewe nihabari mpya kabisa nenda kigali acha story za kijiweni mwenge.
 
Kweli watu wengine hamjui nani kiongozi na nani muuaji nenda rwanda uulize wananchi wa tabakazote jinsi walivyo na maisha mazuri ambayo hawajawahi ya shuhudi kwa marais walio mtangulia,wewe una pokea information kwa hao wauaji na wezi wa pesa zanchi walio jificha tz na sehemu zingine na kujustify mtazamo wako kwa kagame,please nenda kwa ground ujionee.

Let me tell you. Kagame ndiye aliye-destabilize Rwanda in the late 80's akitokea Uganda where he was a general katika jeshi la Museveni. Alipotaka kurejea rwanda kukamata nchi Museveni ndiye aliyempa wanajeshi kuja kuichukua Rwanda. In doing so, akawa anaua watu mpakani kwa kutupa mabomu ili tu nchi iwe destabilized which he succeeded. Akawa anafanya cold war in the country, sasa jiulize nchi itawezaje kuendelea kama iko na vita? Si unaona anavyofanya Congo, he is doing what he did to rwanda there in the DRC so he can loot the wealth there.Yaani story ni ndefu ila kwa kifupi ni hayo tu kwa sasa. But I'm glad as the world knows it is M7 na Kagame ndio wenye matatizo na Kenyatta asipoangalia watamzunguka kwani hawa lao moja.
 
Chapa huyu akuye bongo tumfunge

ni kweli kabisa moja ya ngome kuu ya m23 ni bunagana ambapo ni moja ya entry point ya kuingia drc kutokea uganda. Hebu tafuta ramani ya rwanda, uganda na drc itaona jinsi nchi hizi zilivyopakana. Kuna uwezekano mkubwa wakakimbila uganda au wakajisalimisha wakiwa pale. Leo vyombo vya habari hapa goma vinadai makenga kakimbilia rwanda.
 
Siasa zooote na ujinga wooote wa MUKAMASIMBA kuhusu watutsi hazina maana
Hawa watutsi ni kupambana nao kwa miaka 200 ijayo watakuwa wameisha duniani coz tunawatafuta dunia nzima.
Mijitu ya vita tu haitaki amani, what's this idiot????
 
Last edited by a moderator:
Sasa hapo umejidanganya katika watusi 90% ni wa kagame tena kuna wengine vichwa zaidi yake,sijui kama ndoto zako zitaweza timia,labda endelea kusoma dua zako.
Huwezi kuchangia hoja bila kutaja neno "watusi" na "kagame"??

Huoni aibu kumtaja taja mwanaume mwenzio kila sekunde??
 
Huwezi kuchangia hoja bila kutaja neno "watusi" na "kagame"??

Huoni aibu kumtaja taja mwanaume mwenzio kila sekunde??

Mkuu huyo MUKAMASIMBA siyo mtu mmoja ni several people wanaotumia ID moja na naona ni idara ya usalama mtandaoni ya Rwanda.
Katika majibu yake yote uta note ni watusi waliosomea hapa Tanzania.
 
Let me tell you. Kagame ndiye aliye-destabilize Rwanda in the late 80's akitokea Uganda where he was a general katika jeshi la Museveni. Alipotaka kurejea rwanda kukamata nchi Museveni ndiye aliyempa wanajeshi kuja kuichukua Rwanda. In doing so, akawa anaua watu mpakani kwa kutupa mabomu ili tu nchi iwe destabilized which he succeeded. Akawa anafanya cold war in the country, sasa jiulize nchi itawezaje kuendelea kama iko na vita? Si unaona anavyofanya Congo, he is doing what he did to rwanda there in the DRC so he can loot the wealth there.Yaani story ni ndefu ila kwa kifupi ni hayo tu kwa sasa. But I'm glad as the world knows it is M7 na Kagame ndio wenye matatizo na Kenyatta asipoangalia watamzunguka kwani hawa lao moja.

Lakini wewe hujui haki za wananchi,watusi wameishi nje ya nchi zaidi ya miaka 30 serikali ya ikiwa haitaki warudi kamwe tena waliomba sana ndio kuchukua silaha,lakini hawa wa FDLR rwanda imefanya juhudi ya kuwaomba warudi na wengi wamesha rudi nyumbani
 
Mkuu huyo MUKAMASIMBA siyo mtu mmoja ni several people wanaotumia ID moja na naona ni idara ya usalama mtandaoni ya Rwanda.
Katika majibu yake yote uta note ni watusi waliosomea hapa Tanzania.

Watu mnamatatizo hamtaki kuusikia ukweli,majibu yangu yote yanaambatana na comment niyotaka kujibu,watusi,kagame ni nyie mnao ileta humu jamvini kuhusu ujasusi hapo mnajidanganya,mimi siyo jasusi,ukweli najua haufurahishi wengi kwani wengi humu wanataka kusikia wanavyo taka wao kusikia,nasema watusi kwani wao ndio target ya wauaji,na sema kagame ni kiongozi bora na shupavu anaye thamini utu na uafrika.
 
Lakini wewe hujui haki za wananchi,watusi wameishi nje ya nchi zaidi ya miaka 30 serikali ya ikiwa haitaki warudi kamwe tena waliomba sana ndio kuchukua silaha,lakini hawa wa FDLR rwanda imefanya juhudi ya kuwaomba warudi na wengi wamesha rudi nyumbani

Mimi sijabisha hayo nasema kwamba and I am sticking to my point that Kagame ni kikwazo katika ukanda huu wa Afrika. Yeye na Museveni wakiendelea kuishi ukanda wetu wa Afrika hautakuwa na amani which will give al shabab nguvu zaidi ya kushambulia Kenya na zitazuka chaos za hajabu hajabu tu kiasi kwamba wananchi wengi watateseka. Uganda kuna wanyarwanda wengi sana wakimbizi na wengi wao wanamlalamikia Kagame na utawala wake ila wakiwa Rwanda hawawezi kulalamika kuogopa kunyongwa na kufungwa. Sasa jiulize watu kama hawa wakipata fursa ya kumpindua Kagame na kumfanyia maovu unafikiri watamwachia? People are tired na the day will come tu. Watutsi walikimbia Rwanda na kuishi nje ya nchi toka 1959 mpaka 1994.....kwa nini wahutu waliopo Uganda na DRC pamoja na European diaspora wasijipange upya (which they do) kuja kuichukua Rwanda? Kumbuka vita vya kikabila ni sawa na vita ya kidini kwani wanaoshindwa wanakuwa hawakubali matokeo.
 
Siasa zooote na ujinga wooote wa MUKAMASIMBA kuhusu watutsi hazina maana
Hawa watutsi ni kupambana nao kwa miaka 200 ijayo watakuwa wameisha duniani coz tunawatafuta dunia nzima.
Mijitu ya vita tu haitaki amani, what's this idiot????

Watusi ni watu wa amani sana tatizo ni kwamba ni minority na most of africans they believe in majority based on ukabila sasa hawa watu waliweza kujirudishia heshima yao pindi walipo shika madaraka rwanda na kwa sasa watu wote wanashirikishwa katika nyanja mbalimbali katika selikari bila ubaguzi kitu ambacho hakikutoke hapo zamani,kiasi kwamba hata wahutu wanashangaa kuona wanachangia kilakitu na watusi kitu kwao isinge wezekana it is aprocess itachukua muda watu waweze kuaminiana 100% ndio maana unahao watu wasiotaka kurudi rwanda,chakushangaza hakuna mtu aliye paza sauti kuwatetea watusi waliokua wametengwa kipindi hicho katika nyanja zote,hivi hii serikali ya rwanda inajitahidi kusahihisha hilo tatizo.
 
Last edited by a moderator:
Vipi kuhusu kundi jipya la M18 unadhani lina mgogoro gani na serikali ya Congo,
Je hili kundi nalo limejitoa kutoka serikani??
 
Sio kweli hapo umechemsha,uzalendo sio kudanganya watu kwa kutaka kuwafurahisha nafikiri uzalendo unatakiwa kua mkweli,sasa mimi nimeona thread hii imeegemea upande mmoja,inawezekana huyu jamaa yuko goma ,na inaelekea ni msomi aliefanya research yakutosha lakini iliyo egamia upande mmoja ndio maana wabongo wengi mumeifurahia sana kwa sababu hiyo ndio maana nampa 50% kwani watusi sio vichaa wa kufa bure kuna sababu tena ya msingi iliyo wafanya washike silaha,nilichoona ni kujipamba na kujisifu kwa jeshi la tz.

tumieni akili kidogo basi, intelijensia na uzalendo huwa vinaenda pamoja for maximum performance
 
Wadau hasa flash hider na mukamasimba kwanza nawakubali kwa ufafanuzi wenu mzuri. Kwakuwa mmeonyesha kuwa wawazi kwetu me swala langu ni dogo tu nani aliyehusika hasa na mauaji ya Kabila (senior) ambae mtoto wake kwasasa ndio rais wa congo? Je, ni kweli mtoto wake (rais wa sasa) anahusika? Naomba ufafanuzi wenu jamani!
 
Unaongea kagame kamavile yuko peke yake,kagame 98% ya wanyarwanda ni wafuasi wake,sasa sijui mtamfikia kivipi?

ndoto za mchana kuamini 98% ya wanyarwanda wapo chini ya kagame hata watusi wanaomuunga mkono kagame ni chini ya 30% na ndiyo maana FLDR inapata nguvu kila kunapokucha. Kitanuka kigali muda si mrefu yupo wapi generali nyaumba aliyenusurika kuuwawa na kagame? tusemeje kuhusu mshirika wake wa karibu aliesaidia sana RPF kuingia madarakani mr Bizimungu? ni bomu linalosubiri kupasuka mmefanikiwa kumdhibiti yeye lakini mawazo yake yapo katika mioyo ya wanyarwanda ambayohamtaweza kuyafuta kwa ukabila wenu kamwe
 
Watu mnamatatizo hamtaki kuusikia ukweli,majibu yangu yote yanaambatana na comment niyotaka kujibu,watusi,kagame ni nyie mnao ileta humu jamvini kuhusu ujasusi hapo mnajidanganya,mimi siyo jasusi,ukweli najua haufurahishi wengi kwani wengi humu wanataka kusikia wanavyo taka wao kusikia,nasema watusi kwani wao ndio target ya wauaji,na sema kagame ni kiongozi bora na shupavu anaye thamini utu na uafrika.

These are just some of the evidence on Kagame. The guy is a brutal killer and remember he will never say I have killed but will always hide the truth only his aides will come forward with true stories. Take a look:

Kagame the African Adolf Hitler.(Has killed 7Millions of people so far). - YouTube

Who will bring Kagame to Justice???? - YouTube

PAUL KAGAME KILLED PRESIDENT JUVENAL HABYARIMANA CIUT radio - Canada Part1 - YouTube

PAUL KAGAME BELONGS TO ICC - YouTube
(kwa wasiojuwa kifaransa. Hii ya mwisho wananchi wa afrika wa canada wanaandamana na kumpinga Kagame na kusema kuwa ni yeye ndiye muuaji wa marais wa Burundi na Rwanda pamoja na Mze Kabila bila kusahau maelfu ya watu wa ukanda huo na huyu mama anasema kila mtu anajuwa hivyo kuwa Kagame ni muuaji).
 
Watusi ni watu wa amani sana tatizo ni kwamba ni minority na most of africans they believe in majority based on ukabila sasa hawa watu waliweza kujirudishia heshima yao pindi walipo shika madaraka rwanda na kwa sasa watu wote wanashirikishwa katika nyanja mbalimbali katika selikari bila ubaguzi kitu ambacho hakikutoke hapo zamani,kiasi kwamba hata wahutu wanashangaa kuona wanachangia kilakitu na watusi kitu kwao isinge wezekana it is aprocess itachukua muda watu waweze kuaminiana 100% ndio maana unahao watu wasiotaka kurudi rwanda,chakushangaza hakuna mtu aliye paza sauti kuwatetea watusi waliokua wametengwa kipindi hicho katika nyanja zote,hivi hii serikali ya rwanda inajitahidi kusahihisha hilo tatizo.

Mhutu Pasteur Bizimungu mlimfanya nini? na DRC mnatafuta nini?
 
Mimi sioni nikwa jinsi gani kagame na museveni wanachangia usalama mdogo afrika mashariki,al shabab kuishambulia kenya na fikiri yanatokana na uhusiano wa amerika na kenya sio m7 na pk,hao walio nje ni percentage ndogo ya wanyarwanda tena sio wote wanaopinga selikali ya rwanda,wengi wa hao wapinzani ni watu wasio kubaliana kisiasa,wengie walishiriki mauaji na wengine wezi walio toroka mkono wa sheria,naweza kukuambia kitu kidogo tu,mara baada ya kuingia madarakani kuna watu walio kamata ardhi kubwa kwasababu walikua na connection na utawala wa sasa na kagame hakulifuraia hilo ilibidi awanyanganye na kupatia wanchi hizo aridhi basi wengi wahao watu walio nyanganywa walikimbia nchi nakuanza kusema ni dikteta yeye ni mtu wa watu,hao siotishio sana,tukija kwa amani ya afrika hawa watu wako mstali wambele kupambana na ukoloni mambo leo na hili wazungu hawalifurahii ndio maana nchi za kiafrika zinatumiwa kubomoana ndio sababu utaona muungano wa nchi za afrika haita wezekana,ukichukulia mfano wakaribu EAC.
 
Back
Top Bottom