MTAZAMO
JF-Expert Member
- Feb 8, 2011
- 19,675
- 33,583
MUKAMASIMBA tunashukuru kwa propaganda zako zilizoshindwa! ulitaka kuwaogopesha Watanzania kwa uongo lakini usemi wa Mzee Mwinyi "mwongo mwongoze" umefanya kazi!
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
M23 wamesalim amri na wako tayari kusaini makubaliano yote yawekwayo na DRC. chanzo BBC Facebook.
Asante kwa ufafanuzi mkuu!Taarifa zilizopo ni kuwa Uganda iliacha kuwasaidia M23 tokea mwaka jana. Kuna kitu walitofautiana. Lakini kwa Rwanda, hilo lipo wazi, huoni hata jamaa yetu MUKAMASIMBA anavyotetea?
[/QUOTE]Mh!! huyu jamaa na roho ya Paka. Yaani mpAa sasa haamini kuwa hakuna kitu kinachoitwa M23 hapa DRC.
ubiri DRC itekeleze utiaji saini na utekelezaji wa agreement.unafikiri kwanini wameweka mbele maongezi ya kampala? nikwa sababu wanajua wazi bila kusikilizana na M23 congo haiwezi kua na amani kwani watu wanahitaji kujikita katika mambo ya maendeleo siyo vita,kingine M23 inataka kuunyesha ulimwengu kwamba wao wanataka amani sio vita,na ninauhakika DRC haita tekeleza agreement ya kampala kwani imejibu matatizo mengi ya M23,na kuto kutekeleza kwa agreement ya kampala DRC itaonekana kua ndio inayotaka vita,na M23 ikirudi vitani halitakua tatizo la M23,kingine hii move imevuruga plan ya mataifa yaliyokua yakitaka kupeleka vita ya M23 RWANDA kwa kisingizio kwamba rwanda imeishambulia UN na ndio maana wakati wa kibumba congo ilishambulia rwanda na rwanda haikujibu kwani France,TZ,SA,FDLR,FRDC walikua tayari kuishambulia RWANDA,sasa jamaa plan yao imeharibika na ime wacost vingi,maisha ya wanajeshi wao na pesa,kwa ufupi mission yao imekufa.
MUKAMASIMBA tunashukuru kwa propaganda zako zilizoshindwa! ulitaka kuwaogopesha Watanzania kwa uongo lakini usemi wa Mzee Mwinyi "mwongo mwongoze" umefanya kazi!
Aaaaah wapi!!!!!!!!!!!!! Labda front kuwe humu JF:target:
Ha ha ha!!Media ya Kenya zimeandika hivi '...Next movie is to take PK to ICC. 3 president K. from Kigali, K from Kampala and K from Nairobi will meet in prison soon" nimeisoma humu humu kwenye jukwaa hili.
Vilevile HUTU Empire haiwezekani,hivi FDLR wote inatakiwa kukamatwa,ahadi zote walizo pewa na kikwete zimekula kwao.Hakuna kitu hapa. Bahima empire is collapse.
Tatizo halijaisha.This is just a step forward.Tuingie kwenye hatua ya pili muhimu zaidi.We have to stabilize DRC and destabilize Kagame regime(not Rwanda).This is going to be a big war more than the one we have won on the battlefield today.Going from combat to covert operations.