Uliza lolote kuhusu mgogoro ndani ya DRC hasa mapigano kati ya M23 na FARDC

Uliza lolote kuhusu mgogoro ndani ya DRC hasa mapigano kati ya M23 na FARDC

Hana haja yakwenda SA kwani huyo ZUMA,KIKWETE ndio mafisa mipango ya ku distabilize Rwanda,mzee pk hawezi kaa meza moja na hao watu kama hao,cha muhimu mushikiwabo alimuakilisha na mpango mzima wa hao jamaa ku distabilize rwanda umeharibika.

atachukiana na mataifa yote ya dunia hii! nashangaa sana watusi kufurahia hili, time will tell
 
Wana JF, nadhani huyu MUKAMASIMBA ana matatizo yake. Viongozi wa M23 wameeleza kuwa wamepigwa na sasa wapo tayari kusaini mkataba bila masharti yoyote, wewe unakataa. Labda uwe ni kiongozi wa juu kabisa wa M23.

Hiyo operation imeishaharibika haita wezekana tena,ingewezezekana wakati ule wa M23 ikipigania mpakani mwa rwanda lakini sasa haiwezekani,hivi mkilianzisha ni kulielekeza linakotokea halafu msikilize mziki kwani naona mnahamu sana ya kichapo.
 
Hana haja yakwenda SA kwani huyo ZUMA,KIKWETE ndio mafisa mipango ya ku distabilize Rwanda,mzee pk hawezi kaa meza moja na hao watu kama hao,cha muhimu mushikiwabo alimuakilisha na mpango mzima wa hao jamaa ku distabilize rwanda umeharibika.

na kweli mtu aliyeshindwa vita asingeweza kuongea na wababe wa vita waliomshikisha adabu. Yupo Kigali anaomboleza na kujiandaa kisakologia awamu ya pili ya kudistabilize serikali dhalimu za uganda na rwanda
 
Leo nimesoma tamko rasmi la Serikali ya DRC nimecheka sana, wanadai sasa siyo :smiling:agrement bali ni :confused2:declaration kwasababu huwezi kufanya agreement na kitu kisichokuwepo........

Na utacheka sana kwani wakatu wote DRC haikutaka amani,kwenda kampala ilitokana na mkonkoto wa M23,sasa hayo mapigano waliyo yafanya walifikiri wakimuondoa M23 hakutakua haja ya kusaini mkataba,hilo sijui kama litawezekana kwani kuna mataifa makubwa yanaishurutisha congo kusaini,kingine atajulikana nani anataka amani kivu,kingine nikwamba mpaka muda huu M23 nitishio kwa congo kwani hawajaenda popote kwahiyo hawezi kuwadharau
 
Pole saana Mukumasimba, kweli Watusi ni watu ila kuna wakuu wamebeba jukumu la kuwatetea huku wakiangamiza
Watu wengine kwa nia mbaya!!
Hao wanaleta chuki kwa wapenda
Amani!!
 
Wana JF, nadhani huyu MUKAMASIMBA ana matatizo yake. Viongozi wa M23 wameeleza kuwa wamepigwa na sasa wapo tayari kusaini mkataba bila masharti yoyote, wewe unakataa. Labda uwe ni kiongozi wa juu kabisa wa M23.

Wana JF,huyu jamaa asiwadanganye,M23 ilikubali mapema kabla ya kutoa hilo tangazo,kwani wakati walikua kampala baada ya kumaliza mambo yote kilichokua kimebakia ilikua kusaini na M23 ikasema ikotayari kusaini siku hiyo lakini congo wakatoa muda wakusaini wakitegeme mambo kubadilika katika uwanja wa mapambano ndio wakatoa sharti M23 itoetangazo la kuweka silaha chini na ikafanya hivyo,na ukweli nikwamba M23 iko congo haijatoka ndani ya mipaka ya congo baliimejichimbia ndani ya virunga mountains upande wa congo sasa hiyo ndio utaita kushindwa,hapa kuna kamchezo kakutaka kuonyesha nani hatakii amani congo,hata hamuwezi fikiria ile withdrawal ya speed kama ile ilikua planned?sasa subirini mtaona what was behind immediate withdrawal and stop fighting.
 
Pole saana Mukumasimba, kweli Watusi ni watu ila kuna wakuu wamebeba jukumu la kuwatetea huku wakiangamiza
Watu wengine kwa nia mbaya!!
Hao wanaleta chuki kwa wapenda
Amani!!

Kwakweli hakuna ukweli kwa uliyo andika,watusi wa kongo wakati wote walikua wakijilinda mashambulizi toka kwa interahamwe,hawaja wahi kupambana kwa malengo ya kuua makabila mengine ya congo,wakati wote wamekua defensive lakini selikali ya congo haikuwalinda instead ilipatia silaha hao wauaji.
 
hayo ya FLDR na ADF kurudishwa kwao ni matakwa ya watusi wa rwanda na waliolowea uganda na si ya wacongoman. FLDR, ADF watarudi kwao kuchukua nchi kutoka katika serikali dhalimu za pk na m 7

Sasa mimi nakueleza walio amua katika mkutano wa pretolia jana,hayo siotena ya watusi.
 
Wana JF, nadhani huyu MUKAMASIMBA ana matatizo yake. Viongozi wa M23 wameeleza kuwa wamepigwa na sasa wapo tayari kusaini mkataba bila masharti yoyote, wewe unakataa. Labda uwe ni kiongozi wa juu kabisa wa M23.

Hivi wewe flash hider nikuulize...unajua maana ya battle na war. Mmeshinda one battle lakini hamjashinda war. Kama nilivyowaelezea hapo awali Wanyamulenge ni wakongo kama vile hapo tanzania kuna wamaasai wa kenya na wa tanzania au wakuria wa tanzania na wajaluo wa kenya. Kwa hiyo wale hata ufanyeje pale ni kwao hapa wamerudi nyuma, watajipanga halafu utaniambia. hao watanzania hela za wafadhili zikiisha watarudi huko na m23 watachukua hayo maeneo tena kwa sababu jeshi la congo halina uwezo wa kulinda hayo maeneo. wana njaa sana. kwa hiyo mkae mkijua kuwa the war is not over yet. this is just round one of 12 rounds. upo hapo.
 
Pole saana Mukumasimba, kweli Watusi ni watu ila kuna wakuu wamebeba jukumu la kuwatetea huku wakiangamiza
Watu wengine kwa nia mbaya!!
Hao wanaleta chuki kwa wapenda
Amani!!

Hebu nikupe ya watusi wa rwanda,nafikiri unakumbuka watusi wa rwanda walifukuza nchini mwao 1959 na kukaa ukimbizini zaidi ya miaka 30 wakiomba kurudi kwao wakikataliwa tena hawa watu hakuna maovu waliotendea wahutu kama FDLR ya sasa ambayo serikali ya sasa inaita kila mtoto wa rwanda kurudi kwao tofauti na serikali ya wakati huo,watusi sio watu katili kama mnavyo fikiria imagune wakatiule hakuna mtusi aliyekua serikalini,jeshini,hata
mashuleni walibaguliwa,lakini sasa wahutu hawabaguliwi,haya walio ua watu wengi wamesamehewa,tatizo ni watu wanaotaka kurudisha hutu domination kwa interest zao eg.france kwani imesha poteza influence rwanda.
 
hayo ya FLDR na ADF kurudishwa kwao ni matakwa ya watusi wa rwanda na waliolowea uganda na si ya wacongoman. FLDR, ADF watarudi kwao kuchukua nchi kutoka katika serikali dhalimu za pk na m 7

Bora hata ya hawa wengine. Wewe nilishasema hapa kuwa ni interahamwe uliyejificha huko tanzania. watu wakae wanajua kuwa unatafuta sympathy ya watanzania ili wakusaidie urudi rwanda. sasa ndoto yako haitafanikiwa labda ujisalimishe mwenyewe tuchunguze kama hukuua watu mwaka 1994
 
Ahasante kijana kwa taarifa nzuri!
WaTZ. hali ikitulia vijana tafuteni fursa!!
Huyo Bwn Kabila aanze mipango ya maendeleo, shule, hospitali, barabara, reli na miundo mbinu zingine kuleta Amani na utulivu
DRC!!
 
Hana haja yakwenda SA kwani huyo ZUMA,KIKWETE ndio mafisa mipango ya ku distabilize Rwanda,mzee pk hawezi kaa meza moja na hao watu kama hao,cha muhimu mushikiwabo alimuakilisha na mpango mzima wa hao jamaa ku distabilize rwanda umeharibika.#*#UNAMAANISHA ILI RWANDA IWE STABLE NI LAZIMA KU-DISTABILIZE DRC?
 
Sasa ilikuaje hakwenda?Kile ni kikao cha ma rais. PK alitakiwa awepo bila kukosa.
Hana haja yakwenda SA kwani huyo ZUMA,KIKWETE ndio mafisa mipango ya ku distabilize Rwanda,mzee pk hawezi kaa meza moja na hao watu kama hao,cha muhimu mushikiwabo alimuakilisha na mpango mzima wa hao jamaa ku distabilize rwanda umeharibika.
 
Bora hata ya hawa wengine. Wewe nilishasema hapa kuwa ni interahamwe uliyejificha huko tanzania. watu wakae wanajua kuwa unatafuta sympathy ya watanzania ili wakusaidie urudi rwanda. sasa ndoto yako haitafanikiwa labda ujisalimishe mwenyewe tuchunguze kama hukuua watu mwaka 1994

Hapo umempa ukweli,hawa jamaa interahamwe walikua kwa namna fulani wameweza kuishawishi tz kuwasaidia katika agenda yao,lakini muda unavyozidi kwenda tz itagundua kua ilijidanganya,kwani ni nuksi kwa tz kusaidi watu kama hawa ambao waliua watu bila hatia bila kujali watoto na mama wajawazito,waliamini kwamba watawamaliza lakini mungu aliwapa adhabu na kuwaonyesha kwamba yeye ndiye hutoa na kutwaa now pk is the leader of all rwandaise.
 
Mbona KIKWETE alikuja Rwanda na akakaa meza moja na PK na akamsalimia kwa kumshika mkono. Nani hapo ana feel guilty!?
Hana haja yakwenda SA kwani huyo ZUMA,KIKWETE ndio mafisa mipango ya ku distabilize Rwanda,mzee pk hawezi kaa meza moja na hao watu kama hao,cha muhimu mushikiwabo alimuakilisha na mpango mzima wa hao jamaa ku distabilize rwanda umeharibika.
 
Sasa ilikuaje hakwenda?Kile ni kikao cha ma rais. PK alitakiwa awepo bila kukosa.

Mimi naona bado kuna issue ya pk na Zuma inatakiwa itatuliwe kama ilivyokua kati ya pk na kikwete,kumbuka zuma ana wa support wale general kayumba ambaye ameanzisha jeshi la kupindua serikali ya kigali tena kwa wazi,kwenda huko kwa mimi naona ni kuhatarisha usalama wake.
 
Back
Top Bottom