Uliza lolote kuhusu mgogoro ndani ya DRC hasa mapigano kati ya M23 na FARDC

Hana haja yakwenda SA kwani huyo ZUMA,KIKWETE ndio mafisa mipango ya ku distabilize Rwanda,mzee pk hawezi kaa meza moja na hao watu kama hao,cha muhimu mushikiwabo alimuakilisha na mpango mzima wa hao jamaa ku distabilize rwanda umeharibika.#*#UNAMAANISHA ILI RWANDA IWE STABLE NI LAZIMA KU-DISTABILIZE DRC?

Sijasema hivyo,bali usalama wa congo niusalama wa rwanda,kutokuwepo tishio dhidi ya rwanda ndani ya mipaka ya congo ni usalama kwa rwanda,sasa mimi sioni haja ya rwanda faida ya ku distabilize congo,mimi nachokiona kulikua na mpango wa kudistabilize rwanda lakini M23 ikawa
kikwazo sasa M23 imeondolewa sasa tusubiri tuone hawajamaa france,beligium,zuma na kikwete watatumia njia ipi kuleta matatizo rwanda,kwani walitaka kutumia M23 kufikia lengo lao,sasa haipo acha tuone plan B yao.
 
atachukiana na mataifa yote ya dunia hii! nashangaa sana watusi kufurahia hili, time will tell

Sio kuchukiana na maifa yote duniani bali nikuchukiwa na baadhi ya mataifa ambayo hayafurahishwi na uongozi bora na shupavu wa pk ambao kwao huona kama nikizingiti cha interest zao,always pk ana wambia deal deal you win i win not you win i loose,South Afrika anataka ku dominate afrika politicaly,economicaly,miltarily and politicaly,sasa kuna watu kama pk,m7 wamekua kizingiti kwao sasa wanatafuta jinsi ya kuwaondoa ili waweze kufikia lengo lao wakiwatumia watu kama kikwete waliozoea kudandia magari wasiojua yanaelekea wapi.
 
jipe moyo, hamna ambalo Tanzania ilishawahi kulisimamia na kuliamini likashindikana , pk na m 7 laima warudi porini kama mizinga yetu itawaponyesha

Ni kweli kuanzia Msumbiji, Namibia, Angola, Zimbabwe, Afrika Kusini, kote huko JWTZ limehusika kupigana au kufundisha majeshi ya nchi hizo. Matokeo yake ni ushindi tu, hakuna kushindwa. Hilo pia limeonekana hapa DRC, jamani tujivunie JWTZ letu.
 
Hiyo ilikua zamani,sikuhizi mambo yamebadilika,wakati huo ulikua ukipambana na wakoloni ambao hawakutaka kupoteza maisha yao bure na wakati walikua na plan B ya kuwatawala kwakupitia mlango wanyuma,unafikiri kama wangetaka kukomaa tz ingekuwepo? sometimes mnajisifu na kupitiliza,na mpaka hivi sasa nchi nyingi za afrika hazijajikomboa kiuchumi,hii ndio vita pk na m7 wanapigana nayo,tz yeye bado anafikiria ukombozi based on mipaka,na wakati wote utakua economical colonized, politicaly you are not free,na tz mnajidanganya kua mko free state wakati economy yenu imedhibitiwa na hao wageni,ndio maana wanawapeleka wanakotaka kama hii ya congo,watanzania wanafia nini? sifa tu?kwamba wamekomboa kivu?kwa faida yanani?hapo kuna swali?
 
Hawa ndiyo wanaitwa ma HARD CORE.

Sijasema hivyo,bali usalama wa congo niusalama wa rwanda,kutokuwepo tishio dhidi ya rwanda ndani ya mipaka ya congo ni usalama kwa rwanda,sasa mimi sioni haja ya rwanda faida ya ku distabilize congo,mimi nachokiona kulikua na mpango wa kudistabilize rwanda lakini M23 ikawa
kikwazo sasa M23 imeondolewa sasa tusubiri tuone hawajamaa france,beligium,zuma na kikwete watatumia njia ipi kuleta matatizo rwanda,kwani walitaka kutumia M23 kufikia lengo lao,sasa haipo acha tuone plan B yao.
 
Mimi mtazamo wangu siku zote ni kuwa Rwanda iache kukisaidia kikundi hiki cha M23 kinacholeta machafuko DRC. Habari ya kujisifu kwa JWTZ huko kupo wazi na kunatokana na mafanikio yake. Hata baada ya ukoloni, bado TZ imekuwa mstari wa mbele kuhakikisha majirani nao wanapata amani. Ni baadhi ya watu wachache ambao wanataka kunufaika na matatizo ya jirani. Hao ndiyo tunatakiwa tuungane na kuwapinga kabisa. Najua Rwanda inawauma sana kwa ushindi huu dhidi ya M23. Lakini kama ilivyosemwa na mmoja wa wachangiaji, Ukweli siku zote hushinda.

Hiyo ilikua zamani,sikuhizi mambo yamebadilika,wakati huo ulikua ukipambana na wakoloni ambao hawakutaka kupoteza maisha yao bure na wakati walikua na plan B ya kuwatawala kwakupitia mlango wanyuma,unafikiri kama wangetaka kukomaa tz ingekuwepo? sometimes mnajisifu na kupitiliza,na mpaka hivi sasa nchi nyingi za afrika hazijajikomboa kiuchumi,hii ndio vita pk na m7 wanapigana nayo,tz yeye bado anafikiria ukombozi based on mipaka,na wakati wote utakua economical colonized, politicaly you are not free,na tz mnajidanganya kua mko free state wakati economy yenu imedhibitiwa na hao wageni,ndio maana wanawapeleka wanakotaka kama hii ya congo,watanzania wanafia nini? sifa tu?kwamba wamekomboa kivu?kwa faida yanani?hapo kuna swali?
 
Hapo umempa ukweli,hawa jamaa interahamwe walikua kwa namna fulani wameweza kuishawishi tz kuwasaidia katika agenda yao,lakini muda unavyozidi kwenda tz itagundua kua ilijidanganya,kwani ni nuksi kwa tz kusaidi watu kama hawa ambao waliua watu bila hatia bila kujali watoto na mama wajawazito,waliamini kwamba watawamaliza lakini mungu aliwapa adhabu na kuwaonyesha kwamba yeye ndiye hutoa na kutwaa now pk is the leader of all rwandaise.

endeleeni kujiaminisha hivyo hivyo. waswahili tuna msemo 'sikio la kufa halisikii dawa'. Muda wa PK unaelekea ukingoni!
 
Naomba bwana MUKAMASIMBA unijibu hivi General Kayonga yupo wapi? na alifanya nini mpaka akadhalilishwa vile? Haiwezekani Mkuu wa Majeshi akaachishwa kazi kupitia vyombo vya habari. Hivi aliwaudhi nini?
 
Nasikia anabadilisha katiba kinyemela ili agombee tena. Nitashangaa.

endeleeni kujiaminisha hivyo hivyo. waswahili tuna msemo 'sikio la kufa halisikii dawa'. Muda wa PK unaelekea ukingoni!
 
Hawaja kimbilia rwanda wako congo ndani ya virunga mountains,na kusalimu amri lilikua sharti la SADC ili congo isaini mkataba,elewa kwamba SADC wasinge lainika wakati wote M23 ingeendelea kujiweka juu na ukumbuke hayo majeshi ya SADC wamepoteza askali wengi katika hayo mapigano na wakagundua hii vita inaweza kuchukua muda mrefu na kuwa cost mengi,sasa ili yaishe kwa faida ya pande zote M23 imekubali kuweka silaha chini na kabila atasaini mkataba na kutatua matatizo ya wanakivu ambapo FDLR,ADF watakamatwa na kurudishwa makwao,je huoni huo ushindi?
source ya habari hizi ni wapi?
 
Tanzania hamjaeleweka kabisa hii leo mnasema mnatengwa na other members wa EAC hii leo mna kua na Beef na Kagame mseveni kuhusu Kongo kua hamuoni kua nyinyi mnakua wanafiki tena naweza sema wachawi MARA HUMU MNAPIGA MIKWARA (anyway kila mtu yuko huru kusema chochote) je Nyinyi ni SADC AU EAC au TZ ni dem malaya ela anataka na kugongwa anataka.....???? Nahitaji majibu wale wanazi wa Kitanzania
N:B mimi ni mtanzania ila nchi angu imekaa vibaya.
 
Jamani msianzishe front nyingine na SA. Uwezo wa kushindana nao hamna, tuambiane ukweli.

Mimi naona bado kuna issue ya pk na Zuma inatakiwa itatuliwe kama ilivyokua kati ya pk na kikwete,kumbuka zuma ana wa support wale general kayumba ambaye ameanzisha jeshi la kupindua serikali ya kigali tena kwa wazi,kwenda huko kwa mimi naona ni kuhatarisha usalama wake.
 
Kwa matazamo wako, it is better to Declare kuwa PK is the leader of all Tutsi. Kwani hutaki kusikia HUTU or Twa

Hapo umempa ukweli,hawa jamaa interahamwe walikua kwa namna fulani wameweza kuishawishi tz kuwasaidia katika agenda yao,lakini muda unavyozidi kwenda tz itagundua kua ilijidanganya,kwani ni nuksi kwa tz kusaidi watu kama hawa ambao waliua watu bila hatia bila kujali watoto na mama wajawazito,waliamini kwamba watawamaliza lakini mungu aliwapa adhabu na kuwaonyesha kwamba yeye ndiye hutoa na kutwaa now pk is the leader of all rwandaise.
 
Mkuu wewe ni mchabuzi wa ukweli. Na pia ni kwanini PK nae alivyoambiwa kuwa aongee na FDLR alikuwa mkali?

PK alikasirika kwa sababu FDLR ndio wenye nchi halali. PK akisaidiwa na Museveni walipindua nchi ya Rwanda, jeshi la Rwanda wakati huo ndio linatengeneza FDLR ya leo, kwa hiyo FDLR kimsingi ndio jeshi halali la Rwanda na lina support kubwa toka kwa wahutu ambao ndio majority (over 80%) ya wanyarwanda. FDLR wakirudi Rwanda na kushiriki uchaguzi halali PK will be out.
Ndio maana PK na serikali yake ya kitutsi wanashikilia uzushi kuwa FDLR ndio waliotenda mauaji ya kimbari ili dunia nzima iwatenge FDLR.
 
Kazi mliyotumwa mmemaliza,sasa ni wakati wa kusaini mkataba wa amani na kutekeleza mara moja,na kwa jinsi mkataba ulivyo M23 IMESHINDA kwani waliyokua wakilalamikia yamo kwenye mkatabahuo na congo ikisaini itakua ushindi kwa M23,always congo husikia kwa njia ya mtutu,sasa wengine waliofikiria kua vita itaingia rwanda wasahau kabisa.

you mean Congo imekubali kutoa amnesty kwa kina bisimwa au nimekuelewa vibaya?
 
Matusi na lugha zisizofaa sidhani kama ni utamaduni wa Wa TZ. Kwa maana hiyo, sidhani kama kuna M-TZ atakujibu ipasavyo swali lako labda kwa kukukejeli pia.

Tanzania hamjaeleweka kabisa hii leo mnasema mnatengwa na other members wa EAC hii leo mna kua na Beef na Kagame mseveni kuhusu Kongo kua hamuoni kua nyinyi mnakua wanafiki tena naweza sema wachawi MARA HUMU MNAPIGA MIKWARA (anyway kila mtu yuko huru kusema chochote) je Nyinyi ni SADC AU EAC au TZ ni dem malaya ela anataka na kugongwa anataka.....???? Nahitaji majibu wale wanazi wa Kitanzania
N:B mimi ni mtanzania ila nchi angu imekaa vibaya.
 
Matusi na lugha zisizofaa sidhani kama ni utamaduni wa Wa TZ. Kwa maana hiyo, sidhani kama kuna M-TZ atakujibu ipasavyo swali lako labda kwa kukukejeli pia.
Kuna watu hii language wanaielewa wewe umeona matusi ma Nigga..!!!!
 
Bila shaka ukweli huu unatakiwa usomwe na MUKAMASIMBA.

Back
Top Bottom