Uliza lolote kuhusu mgogoro ndani ya DRC hasa mapigano kati ya M23 na FARDC

..at the end of the day sote ni ombaomba tu.

..hii safari ya Obama inaelekea imewauma sana. WHY?

..mimi naona safari ile haikuwa na maana yoyote ile kwa Tanzania, lakini Rwanda na Kenya are acting as if we took something frm them.

Hao wanuka Damu huwawezi kabisa ni watu wa kuwaogopa kama ukoma! kuna nchi nilikaa nao walikua wanagombana kila siku na kutaka hata kuuana kwenye nchi za watu,ni watu wenye kulipiza visasi na chuki za ajabu,pia wanajifanya wana akili nyingi eti wao ni waisrael! yaani kuna watu wanatuabisha sana waafrica!
 
Hii safari ya obama ilitufurahisha sote kama waafrika lakini aibu ni ile kujidharaulisha kama waafrika tukiomba omba,kikwete alituaibisha sana.

Umesahahu Kagame ndo alikua anaongoza EA kwa misaada ya kijeshi toka USA kabla ya juzi kukatiwa kutokana na kuisaidia M23.. Kikwete anakuaibisha nini wewe Mrwanda anapoomba msaada kuwasaidia Watanzania na nchi yao ambayo unaichukia na kuiponda acha UNAFIKI wewe sijawahi kukujibu hata siku moja hapa tho naonaga unaongea PUMBA nyiingi ila ukileta unafiki wako dhidi ya Tanzania hutatoka bure hapa.. Nchi pekee zisizo na madeni ya nchi za magharibi Africa ni Botswana na Libya na wala sio kwamba hazikopi WB na IMF hapa nazungumzia madeni ya nchi za magharibi sasa iyo Rwanda ikwapi..??? Hata km unaongea utumbo try to consider the limits.
 
Hiyo ilikua zamani,sikuhizi mambo yamebadilika,wakati huo ulikua ukipambana na wakoloni ambao hawakutaka kupoteza maisha yao bure na wakati walikua na plan B ya kuwatawala kwakupitia mlango wanyuma,unafikiri kama wangetaka kukomaa tz ingekuwepo? sometimes mnajisifu na kupitiliza,na mpaka hivi sasa nchi nyingi za afrika hazijajikomboa kiuchumi,hii ndio vita pk na m7 wanapigana nayo,tz yeye bado anafikiria ukombozi based on mipaka,na wakati wote utakua economical colonized, politicaly you are not free,na tz mnajidanganya kua mko free state wakati economy yenu imedhibitiwa na hao wageni,ndio maana wanawapeleka wanakotaka kama hii ya congo,watanzania wanafia nini? sifa tu?kwamba wamekomboa kivu?kwa faida yanani?hapo kuna swali?

na watusi wanaojiita m 23 wanafia nini DRC? Historia huwa inajirudia mukamasimba, na ndiyo maana tumewachakaza rwanda na uganda ndani ya DRC . Faida tunazo nyingi na hauna haja ya kuzifahamu.
 
Umesahahu Kagame ndo alikua anaongoza EA kwa misaada ya kijeshi toka USA kabla ya juzi kukatiwa kutokana na kuisaidia M23.. Kikwete anakuaibisha nini wewe Mrwanda anapoomba msaada kuwasaidia Watanzania na nchi yao ambayo unaichukia na kuiponda acha UNAFIKI wewe sijawahi kukujibu hata siku moja hapa tho naonaga unaongea PUMBA nyiingi ila ukileta unafiki wako dhidi ya Tanzania hutatoka bure hapa.. Nchi pekee zisizo na madeni ya nchi za magharibi Africa ni Botswana na Libya na wala sio kwamba hazikopi WB na IMF hapa nazungumzia madeni ya nchi za magharibi sasa iyo Rwanda ikwapi..??? Hata km unaongea utumbo try to consider the limits.

huyu mukamasimba ana tabia za kishoga, mwanaume mzima kazi kunungunika tu hata kwa mambo yasiyomhusu. kama kuna taifa lililotegemezi kiuchumi na kijeshi katika bara la africa ni watusi wa rwanda. Kagame na rpf yake waliwekwa madarakani kwa msaada mkubwa wa CIA na FBA kwa kwa ahadi za kuisaidia amerca kupora mali asili ya congo.Sasa wapenda amani wa dunia tumewastukia ndio maana kagame analia kama mbuzi jike
 
Bora hata ya hawa wengine. Wewe nilishasema hapa kuwa ni interahamwe uliyejificha huko tanzania. watu wakae wanajua kuwa unatafuta sympathy ya watanzania ili wakusaidie urudi rwanda. sasa ndoto yako haitafanikiwa labda ujisalimishe mwenyewe tuchunguze kama hukuua watu mwaka 1994

utawala wenu wa kikabila ndani ya rwanda unaelekea kikomo, majirani wenu tumewastukia rwanda mtajiondosha wenyewe kwa tabia zenu za kiporipori. Sisi tutaendelea kuwasaidia wanyarwanda wenye nia nzuri kujenga nchi yao. VIVA TANZANIA
 
HIVI FDLR WAKO WAPI KWANI NAONA HAKUNA MUDA MWINGINE MUAFAKA WA KURUDI NYUMBANI KIGALI,RWANDA KAMA WAKATi HUU
 
na watusi wanaojiita m 23 wanafia nini DRC? Historia huwa inajirudia mukamasimba, na ndiyo maana tumewachakaza rwanda na uganda ndani ya DRC . Faida tunazo nyingi na hauna haja ya kuzifahamu.

Kwa taarifa yako hiyo vita ilikua kati ya M23 na FRDC,FDLR,FIB,MONUC,MAIMAI sio rwanda na uganda,nashangaa vita imepiganwa na vikundi vingi dhidi ya M23 lakini watanzania ndio kujisifia hayo mafanikio wakati siyo yenu peke yenu.
 
huyu mukamasimba ana tabia za kishoga, mwanaume mzima kazi kunungunika tu hata kwa mambo yasiyomhusu. kama kuna taifa lililotegemezi kiuchumi na kijeshi katika bara la africa ni watusi wa rwanda. Kagame na rpf yake waliwekwa madarakani kwa msaada mkubwa wa CIA na FBA kwa kwa ahadi za kuisaidia amerca kupora mali asili ya congo.Sasa wapenda amani wa dunia tumewastukia ndio maana kagame analia kama mbuzi jike

Unajua mokala jamaa kitambo sana namsomaga tu hapa sijawahi mjibu cz yuko awkward awkward sa mi spendi ushenz.i ushenz.i ukileta upumbavu hapa tunakuambia ukweli ukinuna ukalale mbele yote tisa kumi hii ni forum ya watanzania. Hakuna nchi yenye ubavu wa kuikejeli tanzania duniani kwa kuomba misaada tena ambayo inaelekezwa kwenye huduma za kijamii sasa Rwanda na umaskini wote iliyonayo wanaomba misaada ya kijeshi halafu elimu mbovu, afya hovyo, miundombinu bado, pamoja na hizo military aids bado security is poor kila siku magrenade yanalipuka sokoni, tribal conflicts kila kukicha i would advise you not to step forward against Tanzania ongelea mengne na wengne lakini Tanzania iache km ilivyo inawahusu watanzania wenyewe na ukishindwa we'r here to deal with you..
 
mikikiki ya wanaume wameanza kuishuhudia GOMA na wataendelea kucheza ngoma ya JWTZ mpaka rwanda na uganda zitakapopata uhuru wa kweli

Lakini nyie uhuru gani mlio nao? watu mnaongozwa na ccm tangu uhuru bila mabadiliko yoyote na anayejaribu kui challenge anafungwa,kupigwa,na kuuwawa,je huo ndio uhuru? kabla huja tafuta uhuru wa rwanda na uganda anzeni kwenu.
 
Unajua mokala jamaa kitambo sana namsomaga tu hapa sijawahi mjibu cz yuko awkward awkward sa mi spendi ushenz.i ushenz.i ukileta upumbavu hapa tunakuambia ukweli ukinuna ukalale mbele yote tisa kumi hii ni forum ya watanzania. Hakuna nchi yenye ubavu wa kuikejeli tanzania duniani kwa kuomba misaada tena ambayo inaelekezwa kwenye huduma za kijamii sasa Rwanda na umaskini wote iliyonayo wanaomba misaada ya kijeshi halafu elimu mbovu, afya hovyo, miundombinu bado, pamoja na hizo military aids bado security is poor kila siku magrenade yanalipuka sokoni, tribal conflicts kila kukicha i would advise you not to step forward against Tanzania ongelea mengne na wengne lakini Tanzania iache km ilivyo inawahusu watanzania wenyewe na ukishindwa we'r here to deal with you..

Afadhali ungeendelea kunyamaza,umejibu kwa hasira wala hamna point humu,rudi jikoni.
 
HIVI FDLR WAKO WAPI KWANI NAONA HAKUNA MUDA MWINGINE MUAFAKA WA KURUDI NYUMBANI KIGALI,RWANDA KAMA WAKATi HUU

FDLR hawana lao kwani pretolia wameamua kuwasaka na kuwakamata na kuwapeleka rwanda ili wakabiliwe na mashtaka,uwezo wakivita haupo kwani ni toto sana kwa RDF.
 
Afadhali ungeendelea kunyamaza,umejibu kwa hasira wala hamna point humu,rudi jikoni.

Hasira ata Mungu anazo ata Kagame anazo, so kunishangaa mi kua na hasira kbla ya kumshangaa Kagame ni UNAFIKI tu na hapa tunachotaka ni kukomesha UNAFIKI. Ukija hapa ongea sensible arguments otherwise hutaachwa.
 
utawala wenu wa kikabila ndani ya rwanda unaelekea kikomo, majirani wenu tumewastukia rwanda mtajiondosha wenyewe kwa tabia zenu za kiporipori. Sisi tutaendelea kuwasaidia wanyarwanda wenye nia nzuri kujenga nchi yao. VIVA TANZANIA

Mshamba kabisa,hata hujui rwanda kuna kabila ngapi? acha nikuelimishe rwanda kuna kabila moja wanyarwanda.
 
Hasira ata Mungu anazo ata Kagame anazo, so kunishangaa mi kua na hasira kbla ya kumshangaa Kagame ni UNAFIKI tu na hapa tunachotaka ni kukomesha UNAFIKI. Ukija hapa ongea sensible arguments otherwise hutaachwa.

Mbona hizo sensible arguments zako hazionekani?
 
SADC wachovu hawawezi kitu,nilicho kisema East afrika hakuta kalika.na tatizo nikwamba watu wengi wanamtazamo kwamba watusi should be eliminated ndio maana na sema hakuta kalika bora watu wakae chini waongee bila hivyo hata amerika ameshindwa kuleta amani irak,Afghanistan na lyibia.

But who are you? unafikiri una mchango upi katika amani ya Maziwa Makuu?, unafurahishwa na nini katika vita vya M 23 chini ya ufadhili wa Rwanda dhidi ya serikali iliyoingia madarakani kidemokrasia ya Rais Joseph Kabila?, May you please answer those questions gentleman, I'll be back soon.
 
Back
Top Bottom