..at the end of the day sote ni ombaomba tu.
..hii safari ya Obama inaelekea imewauma sana. WHY?
..mimi naona safari ile haikuwa na maana yoyote ile kwa Tanzania, lakini Rwanda na Kenya are acting as if we took something frm them.
Hao wanuka Damu huwawezi kabisa ni watu wa kuwaogopa kama ukoma! kuna nchi nilikaa nao walikua wanagombana kila siku na kutaka hata kuuana kwenye nchi za watu,ni watu wenye kulipiza visasi na chuki za ajabu,pia wanajifanya wana akili nyingi eti wao ni waisrael! yaani kuna watu wanatuabisha sana waafrica!