Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,496
Huyo ni muingereza ila amehamishia ofisi yake singapore.Huwa credit inayombeba huyu msingapore ni kuwa ameshawahi kufanya kazi Goldman Sachs. So anapata vichwa vingi Sana. Yaani Kuna watu wanatishiaga wengine kuwa namna ya banks zinavyo trade ili kula vichwa.
Kuna mwingine nilimcheki majuzi akaanza na biti la kuwa nabeti kuwa hautoongalia mpaka mwisho hii video.[emoji3][emoji3].
Yaani bana trading raha Sana. Watu wanaonyesha trades zao jinsi walivyopiga hela nyingi Ila hajawahi onyesha muamala ulivyosoma bank from trading account.
Pia Kuna wengine Fulani Wana group la telegram wanaonyesha sijui ni demo mud a huo huo wanakuambia ujiinge na vip wanaitwa fxtrade1 sijui.
Kampuni yake anayofundishia inaitwa IPTM yupo yeye na mwenzake anaitwa Raj Malhotra wote walikuwa traders.
Kwa kiasi fulani yupo sahihi ila kwa kiasi kikubwa anakosea sana.