jooohs
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 2,524
- 10,287
Kweli ndugu kuna watu wanatabia ya kuchallenge mtu lakini kwa mtu ambaye anaelewa ,kwenye forex industry you can't be right all the time, sio kwamba market isipofata analysis zako ndio kuwa huelewi hapana.Hii nimekujibu Mana na tred usdcad,gbpusd,us30 na xauusd. Ndo pair zangu zingine ni nacheki tu Kama mtazamaji mwingine Ila hasahasa hizo za forex ndo nataka ziote kichwani mwangu. Gold na us30 huwa nakuwa nazo Mana during any world economy crisis you can make a fortune like March 2020 kacheki korona ilichoifanya us30. Yaani ilishuka from 29500 mpaka 18600 ivi.kuanzia figa ya tatu Sina uhakika Ila mbili za mwanzo Nina uhakika.
Mana Kuna wengine wao ni kumcheki makosa kukosoa ama kumu approve mtu wrong pia mie sio guru jamani. Bado ni newbie najifunza pia napenda Sana kukosolewa na sipendi niwe sahihi, yaani you can call me kilaza it's okay as long what I care is just to make my living out of market an sio kukufanya kuwa mie ni guru nianze kuwatoa watu hela mifukoni mwao.
Nachopenda ni kuwapa wengine haka kamwanga kadogo Sana kama chembe ya mbegu ya ulezi Mana haradani sijawahi kuiona kuhusu Forex wasije wakapigwa na wajue kuwa Kuna kazi utafanya nothing easy, nothing free,
Mimi wakati nimeanza kujifunza forex miaka michache hapo nyuma nilikuwa ni mtu mwenye tamaa sana, na tamaa yangu ilichochewa sana na first deposite niliyo ifanya ilikuwa 120$ nilipandisha kwa muda wa wiki hadi ikafika 800$,
Kuanzia hapo nikawa sijipi nafasi yaani sipumziki sio usiku sio mchana nikutrade tu halafu lotsize nilizokuwa nikiingia nazo kwenye soko nilikuwa najipa pips 50 au 60 kuchoma acc.
Ile market crush iliotokea 2018 kwenye pair zenye yen mfano gj ule usiku nilitengeneza 3500$ kupitia Gj kwa lot ya 0.5
But all in all hazikudumu nilianza kuzipoteza siku baada ya siku, soko likianza kunifundisha discipline taratibu taratibu, ile confidence ya kuweka lotsize kubwa ikapotea, kiukweli nimejifunza mambo mengi sana upande wa nidhamu.
Imefika mahala ili nichome acc nimejiwekea gap la pips 500 au zaidi now hata market ikiniendea vibaya hasara inakuwa ndogo, kwa uchumi wa bongo ukiwa hata na 3000$ ukawa unafukuzia profit ya 15$ hadi 20$ hata market ikienda vibaya ukapoteza 50$ bado ni stahimilivu.