TEAM 666
JF-Expert Member
- Dec 7, 2017
- 4,399
- 8,594
bado kuna madarasa ya forex?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bado kuna madarasa ya forex?
sawa mkuu nakuelewsa sanaaInterbank market ndo hapo unapoingizwa kwenye huo mfereji wa hela zinavyotiririka na unaweza kuchota za kwako na wewe ,ni system ambayo Kuna flow ya pesa electronically.
Broker ndiye anayekuunganisha kwenye huo mfumo mkuu ama kwenye iyo electric current ya pesa.
Retail market in forex ni sie wa mwisho kwenye pyramid ya trading ambao hata impact ya kulitingisha soko hata kidogo mkuu.
Mana mfano kwenye forex Kuna trillions around 6 per day zinafanyika transaction Ila sie waweza kuta hata watu hawafikishi billioni 600 duniani pote retailers
Ile Bei ya papo kwa papo ya Ile live kabisa ikiwa fresh haijapoa.When some one tell yo OTC market, how brain understudy it?
Unataka la famasia amabado kuna madarasa ya forex?
Hii nishakujibu kuwa anakuuzia zike quotes alizoweka overheads amaHow the CFD being performed between you and your broker?
Hii ni kwa insiders Ila kutengeneza hela jamaa wanakutoa kwenye losers wanakuweka kwenye winners group ambao brokers hauhusiki na nyie ni direct to liquid providers.How sure you believe your oder placed sent to liquidy providers?
Hii usihangaike kuijua hata ukizijua haitokusaidia kumeki. Ishu kubwa ukipata broker uka excute trades zako na zika run basi wewe unaishia kujua hapo. Kuna brokers wengine wanasema liquidity providers wao wengine hawasemiWho your liquidity providers
Ni pepperstone na fxchoice.ni kwa Nini ni kwa sababu niliitokea kuwawaelewa. Saivi Nina mpango wa kwenda kwa td365 Mana huyu jamaa anazo fixed spreads even during news releaseWhat broker your using till now? And why you chosen to work with him?
Afu billgate ameshapumzishwa na akina Elon Musk na akina Jeff Bezos. Mzee kumove market sio la kitoto kumbuka market ni mjumuiko wa watu wengi duniani pote wanaifanya trading mbakubalina.kumbuka ukiuza Kuna mwingine anakubali kununua kwa iyo. Ukinunua yupo aliyekubali kukuuzia kwa Bei iyocould you be able to move the markets, if you were a billionea like billgate?
Sie hapa tuna speculate ,unaponunua unategemea ama unafanya analysis zako zinakuambia kuwa soko litapanda so ndo ivyo iyo derivative siiijui ama siikumbuki vizuri mkuu.differentiate between a derivative trader and a speculator trader
Business unanunua bidhaa unakuja kuuza ili upate faida mfano dukani wanachofanya ama usafirishaji ama mawasiliwano.what is the different between busness and investment
Ni business mkuu Mana unaifanya kwa muda mfupi sana.ila investment una miliki shares za kampuni kwa zaidi ya miaka kadhaa,ni long term Ila trading ni short term unafaidika kwa due to small increment or fluctuationsif forex a investments or busness?
Hii unaweza ukawa upo sawa. Ila kumbuka Kuna namna wewe ukinunua anakuunganjsha aliyeuza mkuu labda naweza nikawa mie. Sema iyo cfd umeielezea vizuri Kama inaleta logic kuwa ukifungua trade umefunga mktaba ukiifunga umejitoa kwa contract kwa like kitakachokuwepo.umenifungua macho, mi kingereza sijui sikuelewa vizuri.. mi nilijua unafunga mkataba na broker wako kitendo cha wewe kubofya either buy au sell batani hapo mnafungua contracts na baadae ukiclose trade yako kwa kwa either faida au asala basi mnafunga contract, hapo kama umepata faida yaani umewin trade .. broker ancash in kutoka account yake kuja kwako na kama umeloose broker anacash out hela kutoka account yako.. hapo kama broker ni liquidty provider wako na kama kuna external providers basi pesa unatayaipata inatoka huko na utakayopoteza inatoka kwako inaenda kwao then broker ankula spread na commision tu.. shukrani sanaa kwa mawazo yakoo
Zipo sehemu za wadogowadogo pianyamongo msoma? huko si mnachimba kitaalamu na wazungu?
TUMSUBILI MWALIMUMkuu keisangora ataka niweke hela kidogo ya boom na ninayojichanga pale UTT Amis. Naona mademu wanataka kunizidi nguvu nikipata hela inazubaa kidogo natupia uko naishi kwa bajeti tu.
Nipe experience yako kuna return kiasi gani kwa miezi 6 nikiwa naweka laki kwa mwezi. Wao wameandika napata 10%-20%, kuna ukweli?
Nimeuliza raia wote hawajui
dah! nilivoanza siku ya kwanza nilitupia laki, siku mbili nikadouble nikachomoa laki nione uhalisia kwa macho, ikatoka laki ikabaki inasoma laki tena.. nikasema ngoja nikaitanue kwanza yote, nikaila kwa fujo. nikabuy kadet na shati 50k, iliyobaki nikatanua misosi, nikajua teali mchezo nauweza so hata kesho nitapata tu, kilichofata kesho yake hadi leo ni kuchoma tu. lakini nimerudi kusoma tenaa, wiki ijayo narudi tena kwa fujoI remember during our schools time era especially during exams.
Tulikuwa na usemi kuwa pepa ama mtihani ukishatoka nje ya chumba Cha mtihani unakuwa mwepesi Sana.
Pia pepa ikishapigwa upepo inaeleweka Sana Ila Sasa ngoja ichanwe tu afu iwekwe mbele yako ndo utajua hujui the same with forex when you're trading live market. Na ndo Mana wengi wanakimbilia kufundisha i.e kusovu past pepa,
Ila ingia kwenye mtihani Kama wewe ni mbabe tuone.
Forex is all about controlling emotions when you're in profit or in loss.
Utafunguka utasoma vitabu vyote,utapitia website zote about trading from Asia America Europe Africa labda kutafuta Siri aka holy Grail baadaye utakuja kugundua kuwa forex is simple but not easy.
Life pia ni simple but not easy.
Wanaofundisha ni wengi Sana wengine ni YouTubers Ila muulizie miamala ya benki from brokers wake povu lake I'll.
Anatolea mfano kuwa Kuna makocha wanaofundisha Ila hawakuwa wachezaji akina sijui Alex Ferguson Ila Sina uhakika wadau wa Dola msije mkanishambulia.
Ila Ipo hii ni ukweli.
Forex is like real life kila mtu Ana mtazamo wake.
Iyo itakuwa ni cycle sijui ya Nini mkuu ,iyo kudhani kuwa ukirudi kusoma Sana na kujikusanyia kuwa labda Kuna kitu unakikosa.hakuna unachokosa katika maarifa Ila shida Ila shida ama tatizo lipo kichwani mwako.yaani siku ukifikia ama ulianza kujitaazama wewe Kama wewe ndipo utakapokuwa umejua Cha kufanya. Siri haipo kwenye vitabu ama kwenye komputa Bali kichwani mwako, enemy within can do harm not outside enemy.dah! nilivoanza siku ya kwanza nilitupia laki, siku mbili nikadouble nikachomoa laki nione uhalisia kwa macho, ikatoka laki ikabaki inasoma laki tena.. nikasema ngoja nikaitanue kwanza yote, nikaila kwa fujo. nikabuy kadet na shati 50k, iliyobaki nikatanua misosi, nikajua teali mchezo nauweza so hata kesho nitapata tu, kilichofata kesho yake hadi leo ni kuchoma tu. lakini nimerudi kusoma tenaa, wiki ijayo narudi tena kwa fujo