Uliza swali lako kuhusu CFD, Options, Bonds, Stocks and Currency Trading (Forex)

Yaani broker kwa wale traders wadogo anawajuaje unapo deposit hela below 3000$ ivi. Hapo anakumudu anakupa liquidity mwenyewe. Yaani anawaweka kwenye group A, ulianza kuwa una win mzee trades zako anazisogeza kwa real liquidity providers ambao ni big banks duniani mkuu,hedge and pension funds.
So ukiwa una win always anakuhamisha kwenye losers,
 
Sawa mkuu nakuelewa kwa speed ya 4G
 
When you place the order in MT4 or MT5 does it really mean you placed into the real markets ? same as bank do?
Kuna overheads Mana wewe ni wa mwisho kupata quotes za price mkuu.
Banks unaweza ukakuta wenyewe mfano pair ya eurusd ni 1.2189/1.2190 umeona tofauti ni 0.1 pip, wanauwauzia middle man ambao ni brokers kwa kwa 1.2191/1.2192 Ila Sasa broker kuja kwako mkuu inakuwa jinsi broker mwenyewe anavyojisikia Sasa hii inakuwa biashara Kama biashara zingine kila mtu anaweka faida anavyojisikia na ndo Mana ukiwachunguza brokers wanatofautiana spreads, Ila wengi wataanza kujiwekea tofauti ya 5 pips kwenda juu.

Pia brokers wazuri ni wale wasiotoa leverage kubwa Sana na hawajitangazi Sana. Mana real leverage that liquid providers can support is 1;100 Ila above that inakuwa ni biashara za brokers wao wenyewe mkuu
 
Sawa mkuu nakuelewa vizuri
 
Do banks when trading forex buy lot sizes the same as us, or do they exchange one huge of currency into another currency?
Banks na hizo hedge funds or pension funds mkuu zenyewe hazihitaji leverage Mana wao Wana billions of dollars kwanza wao ndo wanaifanya biashara ya kuuza leverage ndo Mana wewe ndiye the most worst quotation Mana unawezeshwa.

Kumbuka hii ilikuwa ni biashara ya mabanks makubwa Sana na kiwango Cha chini kununua ama kuuza kwa currency lilikuwa ni kuanzia mfank Dola laki moja ,ndo ilikuwa standard lot yaani ndogo kwao. Yaani zilikuwa zinauzwa kwa mafungu mafungu hayo ya Dola laki ama paundi laki and so on.

Baadaye ndipo akatokea brokers or middleman to link retailers traders just me and you tukapewa leverage afu tukawa tunachajiwa kamisheni ya ku access electronic communication network of interbanking system mkuu.

Hii ikitokea kwa miaka ya ivi karibuni sema before huko mana hii Mambo zilianza 1792 walikutana Kama dozen of brokers kuongea
 
When trading forex do we really exchange currency or do we buy just contracts?
First tunafanya kitu inaitwa CFD I e contract for future differences.
Hizi Mambo mkuu hazina tofauti Kama wanunuavyo magunia ya mpunga wakitrgemea kuwa yatapanda ili value iongezeke wapige hela. Umeona Kama mwaka huu.

Ukiuza mpunga ama ng'ombe zako afu Bei ikashuka so utakuwa umepata faida.yaani pale unaweka contract kuwa itapanda ama itashuka so iyo tofauti ndiyo differences kwa baadaye aka futures
 
sawa mkuu nakuelewa vizurii
 
Is MT4 OR MT5 a screen just used to show the movements of markets? Or it what people term it OTC(Over the counter)
Ni trading apps hizo mkuu na zingine zipo nyingi. So huwa zinaonyesha live bid/ask price iliyopo sokoni.
Ni kaama ukienda banks wamekuandikia pale ubaoni,ni apps ambayo waweza fanyia trade na inarekodi Mambo mengi Kama charts,waweza ku excute trades zako pia unaona live Bei ya iyo financial instrument yako unayoitaka kuifanyia contract for differences
 
Is forex a contract for difference? If yes /no How?
Hii nadhani nimekujibu huko juu mkuu.
Ila Kuna Aina mbili hapa Hilo swali lako naweza nisiwe nakumbuka vizuri Ila hii cfd no Kama Ile umefunga mktaba na kiwanda mfano Cha nguo kuwa wewe utakuwa unawapelekea pamba kwa ajili ya nguo kwa Bei maalumu ambayo haibadiliki yaani wewe ipande hata Mara kumi ama ishuke Mara mia Bei wananunu Ile Ile.
Haya niliyasoma Sana mwanzoni baadaye nilikuja kuyajua kuwa hata bila ya kujua waweza pata hela out of market. Sema Kama ndio unaanza inabidi unywe kila kitu baadaye utatokamo.
 
First tunafanya kitu inaitwa CFD I e contract for future differences.
Hizi Mambo mkuu hazina tofauti Kama wanunuavyo magunia ya mpunga wakitrgemea kuwa yatapanda ili value iongezeke wapige hela. Umeona Kama mwaka huu.
Ukiuza mpunga ama ng'ombe zako afu Bei ikashuka so utakuwa umepata faida.yaani pale unaweka contract kuwa itapanda ama itashuka so iyo tofauti ndiyo differences kwa baadaye aka futures
umenifungua macho, mi kingereza sijui sikuelewa vizuri.. mi nilijua unafunga mkataba na broker wako kitendo cha wewe kubofya either buy au sell batani hapo mnafungua contracts na baadae ukiclose trade yako kwa kwa either faida au asala basi mnafunga contract, hapo kama umepata faida yaani umewin trade .. broker ancash in kutoka account yake kuja kwako na kama umeloose broker anacash out hela kutoka account yako.. hapo kama broker ni liquidty provider wako na kama kuna external providers basi pesa unatayaipata inatoka huko na utakayopoteza inatoka kwako inaenda kwao then broker ankula spread na commision tu.. shukrani sanaa kwa mawazo yakoo
 
Hii nadhani nimekujibu huko juu mkuu.
Ila Kuna Aina mbili hapa Hilo swali lako naweza nisiwe nakumbuka vizuri Ila hii cfd no Kama Ile umefunga mktaba na kiwanda mfano Cha nguo kuwa wewe utakuwa unawapelekea pamba kwa ajili ya nguo kwa Bei maalumu ambayo haibadiliki yaani wewe ipande hata Mara kumi ama ishuke Mara mia Bei wananunu Ile Ile.
Haya niliyasoma Sana mwanzoni baadaye nilikuja kuyajua kuwa hata bila ya kujua waweza pata hela out of market. Sema Kama ndio unaanza inabidi unywe kila kitu baadaye utatokamo.
shukrani sanaa nakuwelewa vizuri
 
What is interbank market and retail market in forex
Interbank market ndo hapo unapoingizwa kwenye huo mfereji wa hela zinavyotiririka na unaweza kuchota za kwako na wewe ,ni system ambayo Kuna flow ya pesa electronically.
Broker ndiye anayekuunganisha kwenye huo mfumo mkuu ama kwenye iyo electric current ya pesa.
Retail market in forex ni sie wa mwisho kwenye pyramid ya trading ambao hata impact ya kulitingisha soko hata kidogo mkuu.
Mana mfano kwenye forex Kuna trillions around 6 per day zinafanyika transaction Ila sie waweza kuta hata watu hawafikishi billioni 600 duniani pote retailers
 
If retail market is CFD, do retail traders able to move the markets?
Hili nadhani nimekujibu,kumbuka pip moja kumove inatakiwa jumla ya Dola alfu kumi ndipo itembee Ile pips moja. So impact tunayo ndogo Sana ndugu
 
Back
Top Bottom