Uliza swali lako kuhusu CFD, Options, Bonds, Stocks and Currency Trading (Forex)

Upo vzr kweny programing language and mathematics,Machine learning ? unaweza ila jifunze kwanza reality inavyofanya kaz then tumia ujuz huo
 
Transition from c++ to mql4 or mql5 is fairly easy, Metaqoutes language and c++ are both object oriented programmes. Nadhani, automated programming is the way forward once you have developed a profitable strategy. We have witnessed the magic of artificial neural networks in diverse fields. In my opinion ANN would impact trading most forcibly .
 
Yaani ndugu napenda niwaelekeze watu ili wasipigwe. Mana watu wanadanganywa kuwahi kudeposit Hela na huku hawajajua Wa nachokifanya ni nini. Hapo jamaa wana organize na brokers matapeli wanawaibia watu wasioijua kwa IB contract.
Hii ishu ni ukweli ila ni kama professional kama professional zingine hakuna free lunch you've to dedicate your full commitment yaani kuliko unavyowaza.
Huwezi cheki video YouTube na kusoma VITABU kama vitano afu ukajua kujenga daraja eti tayari umekuwa Engineer.
Narudia tena Trading is professional like any other professional.
So don't expect to be rich overnight.
Mkuu kwanza Nikupe Salute kwa Uzi wako huu, umeongea vitu vya msingi sana.

Kwa kuongezea tu ni kwamba DSE Dar es salaam Stock Exchange wana app iko na iko na hizo assets almost zote.

Pili nikuulize hii ya kupigwa kwa OB contract inakuaje, btw mi ni trader japo sina muda mrefu kwenye hii tasnia lakini ni kweli inabidi uijue sana na uanze kupga hela, japo wkt naanza nishawahi kuanza na $30 ikafika hadi $1500.
 
Ngoja nikuambie Ila unanisikitisha unavyokuwa mvivu kuchimba vitu mwenyewe.
Life isn't easy but is simple.
Ib contract nakupa link unafungua akaunti kwa broker fulani ama unaulizwa namba ya aliyekupa tangazo unaweka.
So mfano Kama spreads ni 5 kwa pair ya eurusd or any financial instrument.
Then wanaongeza hata inakuwa jumla 8 so iyo tatu ni ya jamaa aliyesaidia kutangaza kampuni yao mpaka ikapata wateja so ni kazi ya jamaa kuingiza vichwa vingi na wanavyotredi oftenly mkuu ndivyo na jamaa anapata kamisheni.
Kumbuka ukibofya tu batani ya sell or buy tayari broker ameshachukua chake haijalishi kwako itakuwaje
 
Darasa la Forex

Mbona unakimbilia kufundisha si uchukue hela mbona zipo nyingi sana sokoni kuliko za kufundisha ama soko limekutandika Ila unataka utumie ujinga wa watu kuwapiga hela.
Kama unaijua chukua hela soko zipo mbona.
Ila watu bana Ila utawapiga wavivu wa kupambana wenyewe wanajua.

Kama hela ni nyepesi ivyo ni kwa Nini uzilazimishe kuziweka ndani ya mifuko ya watu.
Nyie ndio mnaofanya trading inaonekana Kama utapeli
Wamejaa wahindi wapakistani,wabangladesh,afaghanistan wasauzi,yaani mataifa masikini ndio wafundishao forex
 
mkuu mbona kama imekuuma sana watu kufundishwa Forex? hata wewe unakaribishwa
 
Habari zenu wanajamii forum!

Kama kichwa cha habari kilivyo nipo hapa kuisaidia umma Wa watanzania kuhusiana na biashara hizi ambazo zimeibuka ivi karibuni kwetu huku lakini ila huko nje ni biashara za muda mrefu sana tokea huko karne ya 18.

Sie tumezipata kutokana na ujio Wa simu janja ikiwa imeunganishwa na internet.

Watu wanajua kuwa kuna upigwaji kweli Upo kwa watu wengine kuwaambia wengine wao ni Guru wanawapiga pesa.
Kama tulivyoshuhudia huko kama miaka mitatu inapita ivi.

Ishu hii ni halali sema inatakiwa upate MTU sahihi sana akuelekeze ila siye mwenye kuweka Hela mbele.

Ukweli ni kuwa unaweza ukafanya kama kamari na unaweza ukaifanya kama biashara zingine tu.

Na uzuri Wa hii kuijua hakuna cha TRA,wateja,bosi,wala nani yaani hakuna kubembeleza mteja.

Pia kumbuka ni fani kama fani zingine zilivyo jamani mfano kuwa mfanyabiashara mkubwa ana uzoefu Wa kutosha na sio kuwa amelala na kuamka akajikuta hapo alipo.

Ni kama ilivyo sheria, engineering, Doctor of Medicine, mhasibu ama mwalimu.so hakuna ulelemama kuwa kuna pesa nyepesi kama wengi wanavyoinadi.

Binafsi nimejitoa kwa biashara hii hata kama itakuja kunilipa huko mbele kwa miaka 20 tokea sasa siogopi mana hakuna mafanikio cheap tunavyopenda binadamu.

Ila ni nzuri ukiijua unachofanya.

Biashara hii ni suala zima kuhusu psychology.

Pia haitakiwi ufanye live trades before ya demo trading na umeki faida kwa demo account kama mwaka mzima ndo uamue kuingia huko kwa live trades.

Wengi wanafundisha watu kwa kuwapotosha kuwa kuna pesa laini.

Hii fani sintoiacha mana najua hata wanangu nitawafundisha maarifa yake so yaweza kutokea kwao matunda.

Yaani unaipofanya tegemea miaka mitano ama kumi huko mbeleni kabisa usiwe na haraka na utoe mawazo ya Hela kichwani.
Usiwe kama students eti ni fani gani yenye kulipwa pesa nyingi.

Binafsi napenda niwe Nina interact na watu wenye passion nayo mana shuleni huwezi ukakaa mwenyewe. Pia unawafundisha wasio ijua kuna vitu unaimprove. Kwa wale walikuwa wanawaelekeza wenzao shuleni nadhani unajua unaletewa swali hulijui ila unashangaa unalijibu na unapata solutions fasta sana.
  • What is Higher High (HH), Higher Low (HL), Lower High (LH) and Lower Low(LL) in forex charts?
  • What is the difference between pin bars and hammer candlestick pattern?
  • What are the tweezer candlesticks and what make them valid?
  • How to know demands and supply areas in forex charts?
  • What is Difference between engulfing and inside bars candlesticks?
 
Hayo yote nayajua Ila nachokiona kwako ni Kama unanipima uzito mkuu. Ulipoyasoma kwa hayakuelezewa ama inakuwaje.
Niko beyond kuliko unavyowaza.
I can declare publicly kuwa somehow I know this shit.
I need to launch forex trading demo account contest.
 
mkuu mbona kama imekuuma sana watu kufundishwa Forex? hata wewe unakaribishwa
Hapana mkuu .ishu Iko Ivi Kuna watu wanatumia ule kutoelewa kwa watu Kama kuwapiga hela mkuu. So hii kitu nahitaji niikomeshe.
Wala sihitaji kufundishwa.
Kama mtu anaijua nachosema kuwa ni kwa Nini asichukue hela tokea sokoni.
Ina Mana ndio wamekuwa wazuri mpaka wanaolazimisha hela kuziweka kwenye mifuko ya watu
 
Hayo yote nayajua Ila nachokiona kwako ni Kama unanipima uzito mkuu. Ulipoyasoma kwa hayakuelezewa ama inakuwaje.
Niko beyond kuliko unavyowaza.
I can declare publicly kuwa somehow I know this shit.
I need to launch forex trading demo account contest.
hapana sikupimi mkuu, mi ndo siyaelewi hayo mi mwanafunzi naomba tu unifafanulie
 
  • What is Higher High (HH), Higher Low (HL), Lower High (LH) and Lower Low(LL) in forex charts?
  • What is the difference between pin bars and hammer candlestick pattern?
  • What are the tweezer candlesticks and what make them valid?
  • How to know demands and supply areas in forex charts?
  • What is Difference between engulfing and inside bars candlesticks?
1----- HH ni pale price action katika uptrending market inakuwa inapanda na kushuka .ikipanda Sana inachukua pause kidogo Mana wapo wanaochukua faida na wengine wanauza wakijua kuwa imefika mwisho so soon reversal gonna happen. Mana katika hii market kila kitu kipo biased Sana.
Ni kama unapanda ngazi tatu afu unavuta pumzi unashuka ngazi mbili ili kutafuta momentum ya kuruka hizo ngazi tatu Tena mkuu.
Yaani unapanda ngazi tatu baada ya hapo unatumia kidogo unarudi chini ama nyuma ngazi Kama mbili afu ndipo unaporuka.
Remember market has to move down in order to up and vice versa.
Higher highs and higher lows ndo huwa zinatokea ivyo kwa market ambayo Ina move upward pekee.

Sasa pale anaporudi hatua mbili nyuma ndipo panaitwa Higher lows na pale unaporuka tatu zaidi ndipo panaitwa Higher highs.
Try to ponder this concept first.
Vice versa kwa downtrend market
 
  • What is Higher High (HH), Higher Low (HL), Lower High (LH) and Lower Low(LL) in forex charts?
  • What is the difference between pin bars and hammer candlestick pattern?
  • What are the tweezer candlesticks and what make them valid?
  • How to know demands and supply areas in forex charts?
  • What is Difference between engulfing and inside bars candlesticks?
Tofauti ya pin bars na hammer ni Kama unachosema kuwa tofauti ya singida na Tanzania.
So singida ndio awe hammer na pin bars awe Tanzania.
So pin bars ni zile candlestick zinazokuwa na kivuli kikubwa kuliko body. Mfano hammer inafanyika during downtrend. Yaani watu waliingiwa na greed wakauza wakapitiliza baadaye bulls wakaja na wengine wakateki profit so utaiona kwa chini Ina pin Kama pini ndefu afu body ndogo Sana yaweza kuwa ya bearish or bullish,sema bullish ndo Ina uzito Sana. Afu top yake shadow inakuwepo sema ndogo Sana mkuu ama isiwepo kabisa.
Iyo low shadow inakuwa na ukubwa karibu twice or thrice ya real body.

Sasa pin bars imejumuisha baars zote zinazofanyika ni general term. Sasa pin bars zinazoongelewa hapa ni zote Kama hammer,inverted hammer,hanging man,dojis nazo zinaingia kwa pin bars Mana implications yake inakaribia kuwa sawa,

Ninakuomba kwenye pin bars or candles kiujumla usihangaike kujua majina yake ,ishu kubwa hangaika kujua nyuma yake Kuna i.e the anatomy of candles ndugu nadhani you won't bothered to know the names.
Na hizo pin bars zinakuwa relevant Sana kwenye zones, or support/resistance levels,Tena ukijua kucheza na ya Ile higher timeframe from 4h 1d and 1w ziko na uzito Sana Tena Sana.
 
  • What is Higher High (HH), Higher Low (HL), Lower High (LH) and Lower Low(LL) in forex charts?
  • What is the difference between pin bars and hammer candlestick pattern?
  • What are the tweezer candlesticks and what make them valid?
  • How to know demands and supply areas in forex charts?
  • What is Difference between engulfing and inside bars candlesticks?
Tweeezer candlestick zipo bottom and top , hapa unakuwa na candles za bulls and bears Kama ni top tweezers,afu zote zinalinagana Fulani,zinaweza kuwa na shadows both high/low Ila mzuri ni zile ambazo hazina shadow kubwa Sana ,shadow namaanisha wick ya candles

Na bottom utaanza bearish afu itafuata bulls candles.
Kinachozifanya zinakuwa valid ni Kama hizo hizo pin bars kuwa ziwe zimefanyika kwenye zones mkuu.
Mfano hizo tweezer candles ni huwa no doji Kama ukizijua candles.
Mfano ukiiona tweeezer katika 30M Ina Mana ukienda kwa 1h ni doji candlestick
 
  • What is Higher High (HH), Higher Low (HL), Lower High (LH) and Lower Low(LL) in forex charts?
  • What is the difference between pin bars and hammer candlestick pattern?
  • What are the tweezer candlesticks and what make them valid?
  • How to know demands and supply areas in forex charts?
  • What is Difference between engulfing and inside bars candlesticks?
How to know zones za demand ni sawa na support/resistance levels hizo inaangaliwa pale ambapo price ilikuwa inafanya reversal always. Unatafuta points mbili unaziunganisha kwa mstari. Wengine wanatumia rectangle Mana sio sio exact points. So eneo fulani bulls wakifika wanakuwa exhausted na bears wanatake over.
Hapa fuatilia how to draw s/r levels ni kitu kimoja ni namna tu wanavyoita kwa wepesi wao kukijua kitu. Na ndo Mana utajifunza afu uta twist forex ili iendane na personality yako ilivyo
 
Mkuu kwanza Nikupe Salute kwa Uzi wako huu, umeongea vitu vya msingi sana.

Kwa kuongezea tu ni kwamba DSE Dar es salaam Stock Exchange wana app iko na iko na hizo assets almost zote.

Pili nikuulize hii ya kupigwa kwa OB contract inakuaje, btw mi ni trader japo sina muda mrefu kwenye hii tasnia lakini ni kweli inabidi uijue sana na uanze kupga hela, japo wkt naanza nishawahi kuanza na $30 ikafika hadi $1500.
Siwezi kufuatilia dse Mana ni so much illiquid market,ninapenda liquid market ama volatile,yaani Ile namba zinakimbia Kama vile points za sekunde zinahesabiwa
 
How to know zones za demand ni sawa na support/resistance levels hizo inaangaliwa pale ambapo price ilikuwa inafanya reversal always. Unatafuta points mbili unaziunganisha kwa mstari. Wengine wanatumia rectangle Mana sio sio exact points. So eneo fulani bulls wakifika wanakuwa exhausted na bears wanatake over.
Hapa fuatilia how to draw s/r levels ni kitu kimoja ni namna tu wanavyoita kwa wepesi wao kukijua kitu. Na ndo Mana utajifunza afu uta twist forex ili iendane na personality yako ilivyo
shukrani sana na mengine
 
Back
Top Bottom