Uliza swali lako kuhusu CFD, Options, Bonds, Stocks and Currency Trading (Forex)

Uliza swali lako kuhusu CFD, Options, Bonds, Stocks and Currency Trading (Forex)

Sasa unaweza kutuma na kutoa hela kutoka TEMPLERFX rahisi kabisa kwa kutumia M Pesa , Tigo Pesa , Airtel Money, Halo Pesa.

Kama hujafungua account, fungua sasa

Mahitaji

E mail

Namba yako ya simu kwa mitandao tajwa

Kitambulisho cha Kura AU

Kitambulisho cha Uraia AU

Leseni ya Udereva AU

Passport.

Msaada zaidi njoo PM

________________
---------------------
Dear Traders,
We're happy to announce that Mobile Money service is back.

You can use M-Pesa, Tigo, Airtel , Halotel options for depositing and withdrawals.

For using the service, please, select Mobile Money Tanzania ( Agent) option and follow the instructions you will see.

What makes our service the best in the industry:
-It's fast. You don't need to contact an agent, he/she will ping you first
-It's safe. We implement Deal Protect scheme that ensures safety of your funds.All you need is to stick to the security instructions on the deposit page
-It's convenient. The service is available 24/7

Best, Templer Customer Care Team
 
Mkuu ukiuliza hapa hapa namie nitakujibu kwa ninachokijua pia kwa faida ya Taiga letu lote ama kuna shida .
Ukiuliza swali namie nitakujibu na mwingine atajifunza pia
Ni kuhusu hizo gold coin bro unaweza nielekeza wapi naweza pata
 
Ni kuhusu hizo gold coin bro unaweza nielekeza wapi naweza pata
Nenda bank waaambie kuwa anahitaji kuzjnunua. Kuna muda gold Ilikuwa ni 3.9+++M tzs nikawaza nijilipue hata za Milioni kadhaa kuangalia kucheki muda si mrefu ikawa inasoma 4.6++++M INA ungeamua kuweka Hela ya mana ungevuna hata Milioni kadhaa kama ungenunua kuanzia 40M
 
CRDB nliongea na watoa huduma zao wakasema hawatoi hizo huduma pia na absa wao wamezilist kwa mfumo wa etf kwenye stock so sijapenda hyo style ya absa isingekuwa kwenye stock ingefaa kununua.sasa unaweza nisaidia channel nyngne wanaotoa hizo huduma
 
Yaani unataka uwe na tangible or intangible gold mkuu. Kama intangible jaribu kuwa cheki Skrill pia wanaiuza. Yaani waweza badili yako ikawa in terms of gold.
Swiss banks or BD swiss hawa ni brokers wauzao gold digital. Pia waweza fungus nao akaunti in terms of gold kama si unit
Hata kam unajua kampuni za gold etf pia unaweza nisaidia bro
 
Na upande wa tangible hao skrill hapana aisee wana update terms zao mara kwa mara
 
Yan bro kuna njia mbili za kuhold gold online kama sikosei kuna etf au etfn hyo ya etf huwez loose money ni unakuwa kama ukaondoka nayo nyumban na pia ukiutaka mzigo wako wanaukuletea sema gharama za usafiri ni juu yako hii kitu nmeona uko south africa ndo inafanyika na pia makampun mengi yanayofanya hivyo upande wa tz hawaaccept kama ukitaka kununua
 
Nakampuni nyngne zinazotoa huduma za gold online zinazokubali hapa tz wanakuwa waklnalist gold kama stock so unakuta hyo kampun ikipata hasara pia na wew unapata japo huwa wanafichaga..na huwa hizo kampun sio asilimia mia moja huwa zinakuwa backed na gold
 
Hata kam unajua kampuni za gold etf pia unaweza nisaidia bro

Niliwahi kuuliza juu ya wapi zinapatikana gold coins Tanazania nikaambiwa eti benki ya CRDB!!! Nimekwenda kuulizia pale naona wafanyakazi wao hata hawaelewi nini ninawauliza; hivyo nikajua kuwa huyo aliyetoa hiyo tarifa alikuwa hajui kitu juu ya upatikanaji wa gold coins!

It seems the only way one can invest in GOLD in Tanzania is through the purchase of Barrick stocks on the DSE.
 
Kununua,stock ya barrick sio kumiliki gold bro ...maan hapo lazima uwe unafuatilia news za barrick.
 
Kununua,stock ya barrick sio kumiliki gold bro ...maan hapo lazima uwe unafuatilia news za barrick

Una maana gani kuwa uwe unafuatilia news za Barrick? Unapofuatitilia news za stock ya BARRICK kwani unaangalia nini kama sio bei ya dhahabu? Hata ukiwa na Gold coins utakuwa unaangalia jinsi bei ya dhahabu kwenye soko la Dunia linavyokwenda!!!! Barrick Stock is internationally traded!!!
 
Back
Top Bottom