Uliza swali lako kuhusu CFD, Options, Bonds, Stocks and Currency Trading (Forex)

Uliza swali lako kuhusu CFD, Options, Bonds, Stocks and Currency Trading (Forex)

Tumezoea Bonds jina kusikika masikioni mwetu ila pia kuna Bills and Notes ni aina za bond tofauti ni muda wake mpaka zije kuiva ama kuwa matured.
Bonds,bills ama Notes ni Hela ambayo serikali taasisi kubwa za serikali ama private Wa naomba kukopa Hela from public kuliko mabenki mana huko kuna riba kubwa sana.
 
Mfano kuna muda NMB walitangaza watu kuweka fixed kwa riba ya 9.5% hii ni nzuri sana . pia ukiwa na kuanzia like 200M unaweza ukaongea na mabenki wakawa wanakupatia riba nzuri hata 13% kwa mwaka INA mana kwa mwaka unapata 26M wakitoa 10% withholding tax unabaki na 23.4M ambayo wanakula kila baada ya miezi mitatu ama kila mwezi hivyo kila mwezi ni 23.4÷12=1.95M kila mwezi na huku umekaa tu Hela inakufanyia kazi huu ndo utajiri halisi yaani hata ukalala wiki nzima unacheza na wanao pesa unaingia.

Mabenki,hata bandari ,serikali huwa zinatangaza bonds zao. So watu wanazinunua.
Hata BOT huwa wanatangaza ukiziangalia kwa website yao. Minimum nadhani huwa ni 5M so wewe unabidi kuwa kila sh mia utawapa ngapi.

Hizi biashara wanazijua watoto Wa kihindi mana sie hapa tumekomalia sana watt wakariri shule ili wawe Wa kwanza ama waongee English hapo sasa ndo unapokuwa proud.
Jamani tuokoe Taifa letu. Kuna ma TO wengi kibao nawajua mpaka Leo wanasafa mtaani ama waliokuwa na uwezo mkubwa sana.
Mpatie MTT maarifa angali mdogo sana.
 
Mfano una 40M hazina kazi ukiweka fixed riba ni ndogo yaani ni ndogo sana bora hata uiache ikae ivyo ivyo sijajua labda inflation rate itaathiri value ya Hela.
Sasa ukikuatana na hizi bond unanunua.
Nchi zilizoendelea huwa wana bonds mpaka za miaka 30 hii unakuta riba yake ni asilimia kubwa sana.
Badala ya kuweka benki unanunua bonds sema inategemeana kuwa hiyo Hela inahitajika lini. Ila kuna hizo notes ni below six months ama ndani ya mwezi hivi.
 
Mkuu hautakiwi kujibu hivi, you're making discourage kwa mtu ambaye anafatilia lesson yako. Unachotakiwa either umDirect ambako anaweza kupata msaada ama iwe homework yako kujifunza kama hujui. Mbona umeanza Uzi fresh halafu unataka kupuyanga tena
Thank you ndugu Mashauri kwa Ushauri mzuri na murua.
 
naomba msaada ivi m pesa MasterCard unaweza ukaitumia ku deposit and withdraw kwenye expert option?
No single trader
will become profitable within the early stages of trading! It is not a smooth sailing journey; you will experience a turbulence of learning curves, which shall
mold you into a successful trader over time.
 
naomba msaada ivi m pesa MasterCard unaweza ukaitumia ku deposit and withdraw kwenye expert option?
No single trader
will become profitable within the early stages of trading! It is not a smooth sailing journey; you will experience a turbulence of learning curves, which shall
mold you into a successful trader over time.
help kuhusu ku deposit and withdraw funds from expert option it can be done by using m pesa MasterCard?
 
In Tanzania where can you buy/sell GOLD coins? BOT wanauza GOLD coins?
 
In Tanzania where can you buy/sell GOLD coins? BOT wanauza GOLD coin
Kwa bongo mkuu sijui. CRDB wanaiuza na kununua . ila waweza nunua online. You convert your money to store them in terms of gold value just to secure its value.
Since gold acts as safe haven even CHF aka Swissie Franc.
 
watz wengi wanashindwa kutofautisha pyramid schemes na hizi stocks ,forex business na ata unapota kumuelekeza mtu uwa mbishi tu basi tu yaani atakubishia bila fact yyte tuna kizazi cha ajabu sana.
 
Back
Top Bottom