Uliza swali lako kuhusu CFD, Options, Bonds, Stocks and Currency Trading (Forex)

Uliza swali lako kuhusu CFD, Options, Bonds, Stocks and Currency Trading (Forex)

Am ready to reap even after 20 years from now so am not longer afraid as longer as I know what's at the end
20 yrs mbona ni mingi sana?

3 years is enough (Part time)
Year 1: Ingia darasani, fundishwa basics, intermediate and advanced course
Year2: Put your knowledge on test under supervision
Year3: Put all together-uliyofundishwa na uliyojifunza; be consistent
Year4: Profit on your way.

Hii plan inaweza kukufaa ndani ya miezi 12 pia (Full time)
Q1:Jan-Mar
Q2:Apr-Jun
Q3:Jul-Sep
Q4: Oct-Dec
By January 2022 you will be consistent profitable
 
Habari zenu wanajamii forum!

Kama kichwa cha habari kilivyo nipo hapa kuisaidia umma Wa watanzania kuhusiana na biashara hizi ambazo zimeibuka ivi karibuni kwetu huku lakini ila huko nje ni biashara za muda mrefu sana tokea huko karne ya 18.

Sie tumezipata kutokana na ujio Wa simu janja ikiwa imeunganishwa na internet.

Watu wanajua kuwa kuna upigwaji kweli Upo kwa watu wengine kuwaambia wengine wao ni Guru wanawapiga pesa.
Kama tulivyoshuhudia huko kama miaka mitatu inapita ivi.

Ishu hii ni halali sema inatakiwa upate MTU sahihi sana akuelekeze ila siye mwenye kuweka Hela mbele.

Ukweli ni kuwa unaweza ukafanya kama kamari na unaweza ukaifanya kama biashara zingine tu.

Na uzuri Wa hii kuijua hakuna cha TRA,wateja,bosi,wala nani yaani hakuna kubembeleza mteja.

Pia kumbuka ni fani kama fani zingine zilivyo jamani mfano kuwa mfanyabiashara mkubwa ana uzoefu Wa kutosha na sio kuwa amelala na kuamka akajikuta hapo alipo.

Ni kama ilivyo sheria, engineering, Doctor of Medicine, mhasibu ama mwalimu.so hakuna ulelemama kuwa kuna pesa nyepesi kama wengi wanavyoinadi.

Binafsi nimejitoa kwa biashara hii hata kama itakuja kunilipa huko mbele kwa miaka 20 tokea sasa siogopi mana hakuna mafanikio cheap tunavyopenda binadamu.

Ila ni nzuri ukiijua unachofanya.

Biashara hii ni suala zima kuhusu psychology.

Pia haitakiwi ufanye live trades before ya demo trading na umeki faida kwa demo account kama mwaka mzima ndo uamue kuingia huko kwa live trades.

Wengi wanafundisha watu kwa kuwapotosha kuwa kuna pesa laini.

Hii fani sintoiacha mana najua hata wanangu nitawafundisha maarifa yake so yaweza kutokea kwao matunda.

Yaani unaipofanya tegemea miaka mitano ama kumi huko mbeleni kabisa usiwe na haraka na utoe mawazo ya Hela kichwani.
Usiwe kama students eti ni fani gani yenye kulipwa pesa nyingi.

Binafsi napenda niwe Nina interact na watu wenye passion nayo mana shuleni huwezi ukakaa mwenyewe. Pia unawafundisha wasio ijua kuna vitu unaimprove. Kwa wale walikuwa wanawaelekeza wenzao shuleni nadhani unajua unaletewa swali hulijui ila unashangaa unalijibu na unapata solutions fasta sana.
Broker mzuri wa stock ni yupi anakubali tz.
 
Hapana sipo huko kaka. Jaribu kugogu labda utaipata. Ila mie nimefocus kwa bonds,stocks,CFD,etfs ,indexes, commodities,and related ila cryptocurrency naziogopa mana haziona fundamentals kiufupi

Kuna bonds za makampuni hapa Tz sokon?
 
Kwamba mkuu ununue hizo stocks through local brokers kama ambavyo wanasimamia kuuza bonds ama stocks za makampuni ya hapa nyumbani ama ni nini unaamanisha.

Yes thru local brokers..
Au international broker wenye ofis hapa Tz
 
Thank
20 yrs mbona ni mingi sana?

3 years is enough (Part time)
Year 1: Ingia darasani, fundishwa basics, intermediate and advanced course
Year2: Put your knowledge on test under supervision
Year3: Put all together-uliyofundishwa na uliyojifunza; be consistent
Year4: Profit on your way.

Hii plan inaweza kukufaa ndani ya miezi 12 pia (Full time)
Q1:Jan-Mar
Q2:Apr-Jun
Q3:Jul-Sep
Q4: Oct-Dec
By January 2022 you will be consistent profitable
Thank you ndugu. Nimeonyesha ni jinsi gani nilivyo tayari mkuu to pay price of trading. Do you success can not be bought but earned.
Am not afraid or scared with the price of trading career aka speculation career.
 
Hapana hapa kwa hapa kama unavyouliza mkuu. Hii kitu ni kipya sana so bado brokers Wa nje kuwekeza hawatapata return ya kiivyo. Local brokers wanadili na local companies za hapa nyumbani.
Ila Wa nje pia hawapo hapa nyumbani.
Yes thru local brokers..
Au international broker wenye ofis hapa Tz
 
Jaribu Solomon brothers ama ingia kwa mabenki pia wanadili sana na hizo securities assets ndugu uwaulize wanaziuza sana.

Wewe unatumia broka gani kununua stocks , naongelea stocks za marekan. Umenijibu kama mtu ambaye hatrade stocks.
 
Wewe unatumia broka gani kununua stocks , naongelea stocks za marekan. Umenijibu kama mtu ambaye hatrade stocks.
Unatumia Pepperstone and fxchoice ila napigana nijiandikishe na ICMarket. I never seen best broker ever kama huyu mana ni pure ecn brokers for financials securities.
Ubaya don't accept Tanzania traders
 
Unatumia Pepperstone and fxchoice ila napigana nijiandikishe na ICMarket. I never seen best broker ever kama huyu mana ni pure ecn brokers for financials securities.
Ubaya don't accept Tanzania traders
Unajua unachokiongea kweli? Hao mabroker unaowataja ni fx na sio stock.


Wewe ni forex trader...
 
Nimefuatilia comments zote hapa na nilichogundua wengi humu ni vijana kati ya 23 to 35 ambao ni "half cooked"!

Wengi wanatafuta namna ya kutoka kupitia industries kama hizi stocks,forex ,cryptocurrencies n.k lakini hawana maarifa.

Halafu wabongo wengi hata kama hajui kitu cha kwanza anatanguliza ubishi na kushupaza shingo hivyo kujifunza au kufundishwa kitu kipya inakuwa ngumu sana!

Hii Dunia ya digitali lazima ( YOU MUST) "ujifunze kujifunza mwenyewe"!
 
Huyu ni Broker mwingine wa kutrade Index Kama boom ,crash volatility 75 pamoja na currencies zote, uzuri wa huyu broker anatumia MT4 platform , spreads zake zipo low Sana hasa kwenye index.

Minimum deposit ni $1 kwa account zote
Verification ni chap chap wanachohitaji ni ID Ya DRIVING, au national ID na bank statement
Link https://bit.ly/39tMONP
 
Unatumia Pepperstone and fxchoice ila napigana nijiandikishe na ICMarket. I never seen best broker ever kama huyu mana ni pure ecn brokers for financials securities.
Ubaya don't accept Tanzania traders
Utatumia mbinu gani sasa kama Tanzania hakubali
 
Back
Top Bottom