Una maana gani kuwa uwe unafuatilia news za Barrick? Unapofuatitilia news za stock ya BARRICK kwani unaangalia nini kama sio bei ya dhahabu? Hata ukiwa na Gold coins utakuwa unaangalia jinsi bei ya dhahabu kwenye soko la Dunia linavyokwenda!!!! Barrick Stock is internationally traded!!!
Yes bro lakini tofautisha kampuni inayomiliki dhahabu na mtu anayemiliki dhahabu mfano tu what if barrick went bank rupt na umenunua share zake??? na wew unaangalia upande mmoja tu wa bei ya dhahabu???
Una maana gani kuwa uwe unafuatilia news za Barrick? Unapofuatitilia news za stock ya BARRICK kwani unaangalia nini kama sio bei ya dhahabu? Hata ukiwa na Gold coins utakuwa unaangalia jinsi bei ya dhahabu kwenye soko la Dunia linavyokwenda!!!! Barrick Stock is internationally traded!!!
Ukiwa part owner wa Kampuni inayoijhusisha na dhahabu maana yake you are also part owner wa dhahabu kufuatana na wingi wa hisa zako!! Hata ukiwa na Gold coins faida na hasara pia inategemeana na bei ya dhahabu kama imeshuka au kupanda kutegemeana na bei ulionunulia!
Unatumia Pepperstone and fxchoice ila napigana nijiandikishe na ICMarket. I never seen best broker ever kama huyu mana ni pure ecn brokers for financials securities.
Ubaya don't accept Tanzania traders
Miaka miwili iliyopita nilijiunga na ICmarkets.Ni wazuri Lakini walikuwa hawana baadhi ya stocks ambazo nilikuwa nataka. Hasa za africa na USA. Kinachonivutia kwa broker ni customer service. Na prefer kuongea kwenye simu zaidi ya email.
IG ni wazuri na wana better customer service ambayo sijawahi kuona kwa broker yoyote mpaka sasa.
Ni rahisi ku deposit about just a few seconds. Hasa sisi watu wa CFD ambao saa nyingine tunataka mambo faster faster.
Vile vile kwenye ku withdrawal ni wazuri kama unatumia PayPal. Ni hapo kwa kwapo mkwanja upo kwenye account yako ya bank.
Halafu wapo wazuri kwenye ku refund kama kuna technical issues. Mfano siku za karibuni kutokana volatility ya baadhi ya America assets. Nilishindwa login wakati US stock market walipofungua kwa zaidi ya dakika 30. Baadae nikaongea nao na waka refund stock ambazo nilishindwa kuzifunga na nilikuwa nimepoteza pesa. Halafu hii sio mara ya kwanza kufanya hivi.
Ngoja nitakutumia link mkuu ujiunge usome tani yako mwenyewe. Usichoke kumbuka binadamu huwa tunatumia 0.0000001% ya uwezo wetu Wa ubongo mpaka tunazeeka so jaribu kutumia hata robo tu ifike.
WhatsApp Messenger: More than 2 billion people in over 180 countries use WhatsApp to stay in touch with friends and family, anytime and anywhere. WhatsApp is free and offers simple, secure, reliable messaging and calling, available on phones all over the world.
Proof of work ( ni mkusanyiko wa computer mbalimbal dunian ambao kaz yake kua add transactions kweny blockchain
Proof of stake- ni mfumo kama huo ila umebadilikaa ambao una add transactions easy and faster unaweka funds zako kweny crypto unayotaka kuwekeza so inakua automatically inapiga kaz crypto mpya nying zinatumia mfumo huu.
No single trader
will become profitable within the early stages of trading! It is not a smooth sailing journey; you will experience a turbulence of learning curves, which shall
mold you into a successful trader over time.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.