Ego is the Enemy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,201
- 16,246
- Thread starter
- #141
Ya mwisho ni engulfing and inside bars
- What is Higher High (HH), Higher Low (HL), Lower High (LH) and Lower Low(LL) in forex charts?
- What is the difference between pin bars and hammer candlestick pattern?
- What are the tweezer candlesticks and what make them valid?
- How to know demands and supply areas in forex charts?
- What is Difference between engulfing and inside bars candlesticks?
Inside bars za zenyewe ni reversal indicator so unajua reversal inapotokea.
Inside mfano top ama pale bulls wanapokuwa wamechoka. Kuna bulls candles inameza mazima bearish candle yaani inakuwa ndani yake mpaka wick yake.
Bulls candle kubwaaa afu Kuna bearish candle ndogo kuanzia kwenye low/high wicks na body yake inamezwa na iyo bull candle ya kwanza. Hii wakati mwingine inaitwa harami kwa Mana ya mimba. Ama Kitambo Fulani ivi mkuu ndo picha inayokuja.
Top inamana bearish candle inamezwa na bull candle. Na bottom Kuna bearish candle afu unatokea bull candle ambayo inamezwa kumbuka hapa lazima kwenye zones tu ndipo unapozitumia.
Na ndo maan baada ya kuwa imeumbwa kunaweza kukatokea candle kubwa Sana ambayo inaonyesha kuwa greed inakuwa kubwa Sana.
Na wick inaonyesha fear inakuwa kubwa Sana.
Kumbuka greed na fear ndizo force zinazofanya market itembeee.
Engulfing candles inakuwa ni kinyume chake ,hapa mfano top or resistance levels Kuna bullish candle afu inatokea bearish candle inameza Ile bull candle,Ile ya kwanza inazidiwa urefu na hii ya pili yaani inaifunika kiasi kwamba ukiangalia horizontally from right haiwezi iona Ile candle ya kwanza.
Kumbuka uonapo dalili hizi sio ukimbie kuvuta trigger wait for more confirmation,you better be late but to want to be first and eighths has greatest cost of all. Hayo maneno ya Jesse Livermore sio ya kwangu.
Yaani usisubiri kuwa mpaka mwisho ndipo uchukue faida na uwe wa kwanza kuingia kwenye reversal inapotokea