Ego is the Enemy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,201
- 16,246
- Thread starter
-
- #261
Naona tuko pamoja kwa Anthony Kreil Ila saivi mie nimeshaachana naye. Mie namuona ni blah blah. He isn't specific what to do kabisa.Anton Kreil ni muingereza. Alienda US kufanya kazi.
Alipoacha akarudi uingereza badae ndo akafungua kampuni yake akaihamishia Singapore.
Huwa anazunguka maeneo mbalimbali kufundisha mf, london, thailand, new york.
Nimekuwa namfuatilia kwa miaka mitatu sasa.
Yaani mkuu Kama unani sahili. Ujue ukiwa na demo yenye history nzuri unaweza ukaituma sehemu ukapewa kazi katika hedge,pension funds or banks mkuu.Nadhani hujanijibu swali langu. Nataka kufahamu timeframe. Umeanza siku flani mpaka leo.
Kama hutajali naomba screenshot ya zile trade zako 10-20 za mwanzo baada ya kupewa hiyo demo account.
Na kama trader kazi yako ni ku_monitor movement ya 6 currency indexSi unazijua correlated pairs katika world of trading lakini.
Hii itakusaidia Sana ukishajua. Mfano anaye tredi mafuta na cad ni kitu kimoja kwa movement,pia aud na gold is + correlated nzd and milk price milk.
Pia Kuna Kama pairs sita ziko very strong duniani.
Wakati hizi zikiwa bearish tatu zingine zinakuwa bullish and vice versa just to balance equilibrium ya uchumi wa dunia
Hapo ni chart inayoikunyesha currency imekuwa strong na ipi ni weak.Na kama trader kazi yako ni ku_monitor movement ya 6 currency index
How??
Picha hii hapa:
View attachment 1808986
Hapo ni chart inayoikunyesha currency imekuwa strong na ipi ni weak.
Kuna wengine Wana tredi kwa style hiyo yaaani anacheki iliyo strongest Ana pea na iliyo weakest so Ana tredi.
Mie kila kitu nacheki chart ndo msema ukweli Wala sio naniihii akaongea
5 Best Proprietary Trading Firms (No. 3 top recommended)Mana nimejaribu kufuatilia kwa zile prop traders wanakupa mtaji unafanya kazi
https://5bestproprietarytradingfirms.com
Nashukuru mwalmu ngoja nicheki vizuri. Sema wengi wanakuambia kuwa niwatumie Kama laki 300 fee yao. Mie nawauliza kuwa kilichonifanya nakuja kwenu sina capital so inakuwaje Tena mnaniomba hela5 Best Proprietary Trading Firms (No. 3 top recommended)
Ukipitia maelezo utaona kuna kampuni mbili wanakupa Real Live na, Ni direct unaanza kupiga mzigo.Code:https://5bestproprietarytradingfirms.com
View attachment 1809036
Hakikisha unasoma na kuzielewa Terms and Condition zao.Mie nawauliza kuwa kilichonifanya nakuja kwenu sina capital so inakuwaje Tena mnaniomba hela
Yaani kibaya mie mtu akishaniomba hela tu ananivuruga.
Ila sio mbili tu nadhani ni nyingi.5 Best Proprietary Trading Firms (No. 3 top recommended)
Ukipitia maelezo utaona kuna kampuni mbili wanakupa Real Live na, Ni direct unaanza kupiga mzigo.Code:https://5bestproprietarytradingfirms.com
View attachment 1809036
Umeona hizo fees zao.huwa nawaambia kuwa nipeni nifanye yaani nikipata faida tu mnatoa hela yenu nabaki nafanya kazi Kama kawaida5 Best Proprietary Trading Firms (No. 3 top recommended)
Ukipitia maelezo utaona kuna kampuni mbili wanakupa Real Live na, Ni direct unaanza kupiga mzigo.Code:https://5bestproprietarytradingfirms.com
View attachment 1809036
keisangoraNi jukumu lako kufanya tafiti na kujiunga na kampuni sahihi.
Nimekuwa kwenye forex business toka wakati Ontario yupo sekondary.Mkuu sio kuwa wewe ndiye Ontario Mana ule uzi mlikuwaga mnasapotiana Sana. Uko wapi saivi kwa hapa tz.
Yaani trading ni watu masikini wachache Sana wanaifanya inaonekana Kama ni utapeli.
Mana Kama Hawa account management wamejaa sana.
Wanachofanya nikiwa na akaunti mbili nabofya lot kubwa Sana kwa sell kwako na kwa mbususu nabofya buy so Kama kwako imeji double yule nimeunguza ,natumia ya kwako kutafuta wenye greed na kupata pesa ya haraka..
Mchezo unakuwa ni huo huo.kuna watu wanaifanya kazi hela za watu Mana za kwao ni za Moto kuzishika
Ilibaki kidogo nijiunge kwenye IPTM yake wakati huo natafuta mentorship ya great traders wa Stocks. Video zake zilinihamasisha ila ile ya kupondea wenzako ili uonekane unafaa ilinifanya nianze kujiuliza maswali mengi sana. Nikaachana nae.Naona tuko pamoja kwa Anthony Kreil Ila saivi mie nimeshaachana naye. Mie namuona ni blah blah. He isn't specific what to do kabisa.
Ila mazew hii kitu Ina safari ndefu Sana. Ni rahisi sana kuishia njiani.
Uko mkoa gani hapa tz wewe Bavaria
Anyways, nilitaka nijue timeframe ili nijue risk management na position sizing yako.Yaani mkuu Kama unani sahili. Ujue ukiwa na demo yenye history nzuri unaweza ukaituma sehemu ukapewa kazi katika hedge,pension funds or banks mkuu.
Samahani sintohitaji ku prove anything to anybody. Mana na lengo ni Kuja kuwa inspiration kwa wengine kuwaambia ukweli kuwa ni lazima uwe tayari ku dedicated almost 5 years na hapo ni study and demo trade and nothing else.
Mana Jesse Livermore anasema ukishajua game millions zina flow kuja kwa akaunti yako easily kuliko thousands trades uliofanya ukiwa amateur na ignorant.
This is professionalism like any other professionalism so Ina miiko yake pia.inatkiwa uipe heshima zake.
Kiukweli mtu anaye post trades zake sio pia kabisa namie nakiri nimekosa Mana huwa nawachora Sana hao wanaotamanisha kuwa ni ya ukweli.
Nishawahi pewa demo yenye nembo ya real Ile ya kuwatamanisha ili uwatoe hela.
Ila ukimuuliza tuone muamala wa bank hauonekani na hizo zingine anakuonyesha.
Hapo ndipo unapowakamatia.
So namie ni newbie na nitakuwa newbie kila siku Mana kila siku soko linakuchapa.
Muhimu ni kutafuta mpunga wako na kuweka.keisangora
Alernative fund account yako wewe binafsi kisha chagua broker mwenye leverage kubwa kama exness au justforex piga profit zako. Achana na hayo makampuni sababu Terms and conditions zao, na business model zao haziendani na mtazamo wako.
View attachment 1809077
Wanachofanya wengine[emoji115], Wanapiga profit hadi broker husika naye anawekeza kwa trader, Tupambane.
first deposite niliyo ifanya ilikuwa 120$ nilipandisha kwa muda wa wiki hadi ikafika 800$,
Hii Haina uhakika mkuu,Mana mtu hawezi piga kelele kiasi icho. Huwezi mlazimishia mtu kuwa aje umpe njia ya kupata hela.keisangora
Alernative fund account yako wewe binafsi kisha chagua broker mwenye leverage kubwa kama exness au justforex piga profit zako. Achana na hayo makampuni sababu Terms and conditions zao, na business model zao haziendani na mtazamo wako.
View attachment 1809077
Wanachofanya wengine👆, Wanapiga profit hadi broker husika naye anawekeza kwa trader, Tupambane.
Sema hiyo kufanya tafiti na kujiunga na kampuni sahihi. Mfano Kama ftmo huwa nawaona wanajirekodi kuwa wanachofanya. Mfano Kuna mdada aliye wazi Sana alianza na Dola Mia hivi sijui anaitwa HannahHakikisha unasoma na kuzielewa Terms and Condition zao.
Kila kitu kimewekwa wazi. Ni jukumu lako kufanya tafiti na kujiunga na kampuni sahihi.
The mement you have smaller account, you are exposed to over trading, poor risk management and excessive use of high leverage.120usd to 800usd per week? Hii sio 700% ROI kweli? Hata traders wakubwa duniani hawana ROI ya namna hii.
This was a time bomb.