Dr. Zaganza
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 1,414
- 2,181
- Thread starter
- #141
BAADHI YA VIPODOZI UNAVYOWEZA KUTUMIA KWA MATUMIZI MENGI
1.Mafuta mgando ya karafuu
Dr Mussa Zaganza: Wengi hupenda kupaka ili ngozi isipauke. Lakini pia mafuta haya ni mbadala kwa wasiotumia lotion. Ukipaka midomoni huzuia lips kukatika, na ukipaka kwenye lips na sukari ,kisha ukascrub kidoogo, basi huhitaji kupaka lipstick
Mazuri kwa watoto wenye mapunye kichwani na matangotango kwa ngozi hasa wanafunzi
Mafuta haya ni mazuri kwa tiba ya magaga pamoja na sugu za mikononi