Dr. Zaganza
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 1,414
- 2,181
- Thread starter
-
- #141
haya mafuta nimesikia sifa zake nyingi sana,ngoja niyatafute2.HABAT SAUDA
Wengi walikuwa wakiitumia kwa kuipa ngozi unyevu(moisture).Lakini kunywa mafuta ya habat sauda kuna faida nyingi ikiwemo kuupa mwili nguvu na uchangamfu, kuondoa hali ya kuchanganyikiwa (stress) na wasiwasi au huzuni (Anxiety), madonda ya koo (tonsils).Mafuta haya ni sehemu ya tiba ya kuondoa maumivu ya mgongo na kiuno,ganzi ya miguu na mikono ,sambamba na kurudisha ute wa magoti. Hakuna namna ya kuelezea Habat sauda vizuri zaidi kuliko kuyatumia.
View attachment 3128457