Dr. Zaganza
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 1,814
- 2,738
Kwa uzoefu wa zaidi ya miaka 10 kwenye eneo la Anatomy, Fiziolojia na Mimea tiba nilojifunza maeneo tofauti kuanzia Guangzhou, Dubai , MUHAS (Muhimbili kitengo cha tiba asili) na tafiti kwa matabobi wakongwe . Nitakuwa nashare nanyi uzoefu na kutoa kozi fupi fupi za wanaopenda kubobea maeneo hayo. Kwa tafsiri kidogo:
1. Anatomy: Hii ni elimu inayohusu sehemu za mwili na maeneo zilipo .Inasaidia mgonjwa anapogusa eneo lenye maumivu , tabibu unapata kujua moja ya magonjwa yanayomsumbua ni yepi na yepi.
2. Fiziolojia ni elimu juu ya sehemu za mwili (tissue na viungo n.k) jinsi zinavyofanya kazi pamoja na kufanya binadamu abaki hai.
Kwa upande wa Mimea Tiba maeneo ya kuzingatia ni kama yafuatayo;
1.Pharmacology: Ni elimu juu ya mwingiliano wa dawa ya asili(mimea) au kidonge na binadamu Mfano Ukinywa tumeric , mwili unai-treat kama ni dawa hatarishi,hivyo ini linaikusanya na kuipeleka kwenye figo itolewe haraka kama mkojo. Ili kuiongezea Tumeric muda wa kukaa kwenye mwili na kutibu zaidi, lazima uchanganye na kiwango kidogo cha black pepper (pilipili manga),hapo tumeric hupata ufanisi mara 2(200%) zaidi kuliko ingekuwa peke yake
2.Toxicology: Uhusiano wa dawa na uzito wa mwili, umri nk
mfano kijiko kidogo cha nyumba ni gram 5 na kikubwa ni gram 10. Dozi ya mtu mzima inaweza kuwa sumu kwa mtoto.
Kwa Tanzania , taasisi ya NIMR iliundwa mwaka 1980 ,ili kukusanya tiba za mimea kutoka makabila yote 120 yaliyopo Tanzania , kufanyia majaribio na kuandaa zitumike kama mbadala wa dawa za viwandani kama ilivotokea wakati wa Corona, mimea ilitumika badala ya chanjo.
Kwa mujibu wa SUA, Tanzania tuna makabila (species) zaidi ya elf 15 za mimea tiba.
Uliza juu ya ugonjwa unaojirudia rudia kujua mtindo wa maisha wa kubadili, tiba yake ya mimea na jinsi ya kuandaa dozi.
Pia wanaohitaji kozi za mimea tiba ,tuwasiliane kwa
0713 039 875
Dr.Mussa Zaganza Kibaha