Uliza swali lolote kuhusu FREEMASONRY utapata majibu kwa usahihi

NI SIKU YA JUMANNE, NI SIKU KAMA SIKU ZINGINE, ITAKUWA NI MWISHO WA KUJADILI MADA ZA FREEMASON KATIKA HILI JUKWAA.

AHSANTE KWA KUSHIRIKI NDUGU YANGU.
Mkuu vipi kuhusu Lucky Dube.. je nae alikuwa mwanachama? Maana kuna songi lake moja huwa nalisikilizaga... Hilo songi la majuto sana... Yaani wale wazee wa kusikiliza deep zaidi kutambua namna gani alikuwa anajihisi muandishi na muimbaji wa nyimbo nilifeel ile hali ambayo jamaa alikuwa anapitia........ Bwana leftie worldie akinijibu nitawatajia songi lenyewe.....
 
RASTAFARI WENGI WAPO HURU, WENGI HAWAPENDI MAMBO YA USHETANI, WENGI HAWAPENDI MAOVU. KWAHIYO LUCKY DUBE KAMWE HAKUWAHI KUWA MWANASHIRIKA WA FREEMASON.
 
HUWEZI KUMPANGIA MUNGU MWENYEZI, YEYE NDIYO ALIPANGA IWE HIVYO. NA ALIJUA HILO LITATOKEA ILA ANA SABABU ZAKE.

SHETANI HATA ANGEMTUPA HUKO MARS BADO ANGEKUJA DUNIANI KURUBUNI WANADAMU. HALAFU MPAKA SASA SHETANI HUWA ANAKUTANA NA MUNGU MWENYEZI USO KWA USO ANA KWA ANA TENA WANAZUNGUMZA KABISA.

KUZIMU NI MBALI MNO NA DUNIA TENA NI MBALI SANA NDIO MAANA WACHAWI HUTUMIA BAHARI AU ZIWA KUTUMIA MAZINGAUMBWE KWENDA KUZIMU KWA MSAADA WA SHETANI BILA HIVYO HUFIKI KUNA DUA ZAO WANAOMBA YAANI KWA UFUPI BAHARI NA ZIWA AU MITO MIKUBWA HUWA NI SHORT CUT YA KWENDA KUZIMU.
 
Acha kushinda kwenye vijiwe vya Gahawa.
 
GET RICH OR DIE TRYING

NDUGU ZANGU WANA JAMII FORUMS, NDUGU ZANGU WATANZANIA.

KUPANGA NI KUCHAGUA, KATIKA FUMBO AMBALO MWANADAMU AMEFICHWA BASI NI KIFO YAANI KUONJA UMAUTI.

WENGI TUMETAMANI KUWA NA MAISHA BORA, KWA UHALALI AU HARAMU LAKINI HOFU YETU NI KIFO.

UKIWA DUNIANI BASI HAKIKISHA UNA ISHI VIZURI BILA KUJALI UTAKWENDA WAPI BAADA YA KIFO.

USIJIDANGANYE UFE MASKINI ILI UPATE HURUMA YA KUIONA PEPO/MBINGU WAKATI HUKUTENDA YAMPENDEZAYO MOLA, WEWE UTAKWENDA MOTONI.

MWANADAMU LAZIMA AISHI SEHEMU MBILI NI WEWE KUPANGA NA KUCHAGUA,
DUNIANI AU MBINGUNI.
DUNIANI AU MOTONI.

HILI JUKUMU LIPO KWAKO TAFAKARI VYEMA FANYA MAAMUZI SAHIHI.

DHAMBI NI SAWA, HAKUNA KUBWA WALA NDOGO.

UKIMPENDA MUNGU MPENDE KWELI UKIMPENDA SHETANI MPENDE SAWA SAWA.

KILA LA KHERI WAKUU. JITAFAKARI JITATHIMINI, JITAMBUE.

GET RICH OR DIE TRYING.

 
Hizi stori ulithibitisha au nawewe uliambiwa tu?
 
Hapana madam sisi hatupo hapa kuchukua pesa ya mtu.

Watanzania wanatapeliwa kwa kukosa maarifa wavivu wa kuumiza kichwa.

Hapa tunatoa elimu na kujadiliana kukomesha maovu ya lusse fere, yaani Lucifer.
Una ji contradict mara umo humo, mara unahimiza watu wa deal na Mungu.. uko pande gan?
 
kaka hujajibu hapa
Siku hizi wameungana. For the past 300 years Freemason na Illuminati wameungana.
Na wengine pia.
Hakuna tofauti kati ya Freemason na Illuminati,isipokuwa labda Illuminati ni waovu zaidi.
Elewa,hawa watu siku hizi hawaitwi Illuminati au Freemason. Fikiria hili swali linaloulizwa kila siku,"Nyie Freemasons mnaamini mashetani?"
Kwa hiyo,kwa ajili ya maswali kama haya,Freemasons na Illuminati wamebadilisha majina yao.
 
Reactions: _ly
In return wanakupa hela au!?
 
Umenifanya niachane na hii thread kwa uongo Pumbavu yani mtu atoe mbuzi dume apate utajiri??? Mbona una uwezo mdogo wa kufikiri ingekuwa hivyo wangapi wangekuwa freemason kwa kuua mbuzi tu
 
Umenifanya niachane na hii thread kwa uongo Pumbavu yani mtu atoe mbuzi dume apate utajiri??? Mbona una uwezo mdogo wa kufikiri ingekuwa hivyo wangapi wangekuwa freemason kwa kuua mbuzi tu
Umeambiwa unatoa nafsi yako kwenda kuzimu mbona una upeo mdogo ww kenge
 
Enlightment maana yake nini? Kwanini hii fraternity yenu ina shabikia kuwa elite na kujenga elitists?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…