Uliza swali lolote kuhusu FREEMASONRY utapata majibu kwa usahihi

Uliza swali lolote kuhusu FREEMASONRY utapata majibu kwa usahihi

Dunia hii huna inashangaza sana kuona au kila unalolisikia ni siri, tatizo liko hapa kwenye kuweza kujua siri hiyo.. mfano hivi huwa tunasikia mbiguni ni juu na kwashetani ni chini? Je! Ushawahi kujiuliza kwanini iwe mbigu juu na sio chini?

Ni swali lahisi lenye majibu marahisi ila ni swali gumu na lisilo na jibu kwa mtu asiyefikiri nje ya Box
 
Watanzania wengi wamekuwa wakipata taabu kuifahamu FREEMASONRY Sasa utaenda kuifahamu kwa undani ikiwa utaleta maswali yenye tija, msingi, uhalisia hivyo utapata majibu kwa usahihi kabisa.

View attachment 2652303
Huu ni ukumbi wa FREEMASONRY, unapatikana jijini moshi, Kilimanjaro. Jengo hili lilizinduliwa mnamo 2005, Machi 26. Na kupewa namba 9794. Sir jayantilal keshavij chande ndiye mzinduzi na mwenyekiti wa jumuiya ya FREEMASONRY afrika ya mashariki.

Karibuni kwa maswali, hoja na mjadala ndugu watanzania.
Uki tayari ujitoe kafara ili utajirike?
 
Back
Top Bottom