Uliza swali lolote kuhusu Mzumbe, wahenga tutakujibu

Cendy

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2015
Posts
1,252
Reaction score
2,314
Wakuu habarini zenu, sitaki kuwachosha na salamu nyingi naenda moja kwa moja kwenye topic yetu.

Kama una swali lolote kuhusu chuo kikuu cha mzumbe uliza kwenye huu Uzi na wahenga wa Mzumbe tutakujibu, wahenga mojawapo ni Mimi cendy, Daby, the bold na wengine.
Kiufupi Mzumbe main campus iko Morogoro takribani kilometers 23 kutoka Morogoro mjini ipo wilaya ya Mvomero.

Mzumbe ina schools mbili, Institute moja na faculties ikiwemo faculty of law, fss, fst
Mzumbe ina course nzuri sana inayoitwa bachelor of science in health system and management ambayo ndio course inayochukua watu wa art na mkopo ni compulsory.
Kwa taarifa zaidi ingia www.mzumbeuniversity.ac.tz

 
Mkuu, Unazungumzia Mu ya Dar, Moro au Mbeya?
By the way, wakati tuko wadogo tulikuwa tunaambiwa pale MU ya Morogoro chini kumejaa mahandaki! Yani ikitokea vita, wana MU wote mnaweza kuingia kule chini na kujificha kwenye mahandaki. Je taarifa hizi zina ukweli wowote?
 
Ni kweli kuna mahandaki. Mengi tu.
Ila sijui kama bado yanatumika.
 
Nimesema main cumpus

the great
 
Vipi mkuu, wewe hujatelekeza mtoto pale Changarawe? Nasikia watoto wa Changarawe wana akili sana kwa kuwa baba zao ni wasomi wa chuo kikuu...
Nimeacha kanyirenda kadogo[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]

the great
 
Kufanya

the great
 
Vipi mkuu, wewe hujatelekeza mtoto pale Changarawe? Nasikia watoto wa Changarawe wana akili sana kwa kuwa baba zao ni wasomi wa chuo kikuu...
Mimi ni ke. Nimeishi huko.
Enzi hizo MZUMBE UNIVERSITY inaitwa IDM-MZUMBE..Kuna jamaa mmoja aliyekuwa anachukua course inaitwa ADEP akampa mimba dada wa changarawe. Dada alipojifungua mtoto akampa jina la ADEP maana hakuwa anajua jina la baba mtoto. ADEP yupo mpaka leo.
 
Daah! Nime-miss Sana Magazeti
Pale Cafeteria.
Kwa Sisi Mzumbe Boys Pale Palikuwa Pa Kutambia.
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]

the great
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…